Igundu nsonda
Member
- Apr 29, 2017
- 88
- 48
Kwa hali hii jipongeze maana wanaojua kutongoza wanakubaliwa ila ikifika inshu ya kuwapa pesa madem zao wanarudi kujutia kwa nini walitongoza
utakula kwa machoHizo zlipendwa
ni kweli kwenye mitandao kuna mengi utakutana nayo ila sasa kwa huyu mleta mada ana tatizo aisee...nilisema ajimwage kule ili ajenge uzoefu na kujiamini namna ya kuwatokea na kuwatongoza wanawake..hapo ajipige tuition ya kutosha akija uraiani usiwe tena domo zegeMkuu umeongelea hapo kwenye mitandoa kiukweli hawa wadada tunaowaona/kuchat nao kwenye mitandao sivyo walivyo ukionana naye mubashara ni wa bovu hatari mimi ni mhanga japo huwa hawahitaji maneno mengi, mkisha chat naye tu mkakubaliana kukutana hapo hata huhitaji tena kuongea hususani mitandao ya fb IG.
Natafta mziz now nitawakamata tuutakula kwa macho
Puli inakuhusutupo wengi
Mtoto wa kusingiziwa huyuKama ndio hivyo huyo mtoto umempataje? Maana naona unaitwa 'baba dullah'. Au mwenzetu uliteleza ukadondokea papuchi mambo yakajipa?
Habari za Saa hizi wasichana wa kike na wa kiume,
Binafsi nina tatizo la kutokuweza kutongoza, mashaallah, mimi ni kijana handsome na mashine nimejaaliwa ila wanawake nawaogopa sana.
Yaani kila nikisimamisha msichana nimtongoze najikuta namsalimia tu huku natetemeka yani domo linakua zito, kibaya zaidi hata mwenye simu inakua shida kwangu kutongoza. Naomba nishauriwe cha kufanya.
Hahahahaha! Basi sawaMtoto wa kusingiziwa huyu
unaenda kwa madent eeeh 30yrs zinakuusuNatafta mziz now nitawakamata tu
Madent sigusi nakomaa na mimama tuunaenda kwa madent eeeh 30yrs zinakuusu
Nataka bikra mim au umemanisha bint yakonitafute nikupe mmoja wa kwangu maana mm hadi naogopa
heee kumbe marioo utaki kutafuta eeeh utakufa cku c zakoMadent sigusi nakomaa na mimama tu
bikra labda umzae wewNataka bikra mim au umemanisha bint yako