Domo zege linanitesa jamani

Domo zege linanitesa jamani

babadullah

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
508
Reaction score
320
Habari za Saa hizi wasichana wa kike na wa kiume,

Binafsi nina tatizo la kutokuweza kutongoza, mashaallah, mimi ni kijana handsome na mashine nimejaaliwa ila wanawake nawaogopa sana.

Yaani kila nikisimamisha msichana nimtongoze najikuta namsalimia tu huku natetemeka yani domo linakua zito, kibaya zaidi hata mwenye simu inakua shida kwangu kutongoza. Naomba nishauriwe cha kufanya.
 
Sasa huko dar nako huwa mnatongoza si nasikiaga huko ni wapo wa kununua
 
Habari za SAA hizi wasichana wakike na wakiume
Binafsi Nina tatzo la kutokueza kutongoza,mashaallah,me ni kjana handsome na mashine nimejaaliwa ila wanaake nawaogopa sana yan kila nikisimamisha demu nimtongoze najikuta namsalimia tu huku natetemeka yan domo linakua zito,kibaya zaidi hata mwenye simu inakua, shida kwangu kutongoza
Naomba nishauriwe cha kufanya, mana nina URARU hatary yan aina demu wa kuzipunguza

Wajuvi wa mambo wanasema Mtu asiyejua ' Kutongoza ' hata ' Kubandua ' vizuri pia huwa kunakuwa na ' problem '.
 
aisee je kutongoza kwenye mitadao nako unaogopa..kama vile facebook, tagged n.k
mkuu hapo ni ishu ya kujiamini tu na kupangilia mistari umwagike, sio wote utakaotongoza watakumbali hata hivyo usikate tamaa maana practise practise makes perfect.
kua na super mtalibo na kujiamini ziro babu hakukusiadii kabisa....
 
Sasa mbona unaitwa baba dullah huyo dullah umesingiziwa nini?
 
Yule shetani aliyetaka kukupa uganga umefikia naye wapi.. ?
 
Back
Top Bottom