babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
- Thread starter
- #41
Utanitapeli tuKama una pesa njoo nkupe darasa kidogo nahisi utaleta mrejesho humu humu halafu maswala ya kujisifia kua we ni handsome mambo ya primary na secondary hayo
Utanitapeli tuKama una pesa njoo nkupe darasa kidogo nahisi utaleta mrejesho humu humu halafu maswala ya kujisifia kua we ni handsome mambo ya primary na secondary hayo
Tuunde umoja kama chaputaBac nna amani saiv kumbe tupo wengi '"domo chandi'" uuuhuu...
Hizo zlipendwawape hela tu mengine watajiongeza wenyew
We me au keChakufanya nitumie laki moja nikuletee mmoja
Hahahaa..cha kwetu tukiitejeTuunde umoja kama chaputa
Ni namba harisi na wanjulikana wapo magomeni hauta kwama wewe na kuchagua tuMmh cyo namba ya wasiojulikana hii
Nitafanyia kaziKama unaweza kuongea na kuelewa lugha ya kiingereza ingia youtube mtafute jamaa anaitwa RSDMAX huyu ni mwalimu wa kufundisha watu kuondokana na uoga wa kutongoza..
Anakuonyesha kabisa jinsi ya kumsimamisha msichana usiemfahamu na kuanza kumtongoza
Pia kama wewe ni mtu wa kwenda bar na night club pia ana videos za kukupa mbinu za kutongoza kwenye mazingira hayo
Na mimi miaka 2 nyuma nilikua domozege kama wewe ila saiv niko fiti kutongoza demu yoyote hata mastaa wa bingo movie na bongofleva (joke)
Thank me later

Piga nyetoHabari za Saa hizi wasichana wa kike na wa kiume,
Binafsi nina tatizo la kutokuweza kutongoza, mashaallah, mimi ni kijana handsome na mashine nimejaaliwa ila wanawake nawaogopa sana.
Yaani kila nikisimamisha msichana nimtongoze najikuta namsalimia tu huku natetemeka yani domo linakua zito, kibaya zaidi hata mwenye simu inakua shida kwangu kutongoza. Naomba nishauriwe cha kufanya.
Npo serious mkuuNimecheka saana..! We boya sana huna nyege bwege wewe..![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Goma linasoma 4gWasichana wa kike na wa kiume??????
Handsome na mashine umejaaliwa ila yawezekana haifanyi kazi.
Ungekuwa ushafunguka mwenyewe mkuu.
20 yrstujue kwanza umri wako plz
Alishakunyonya damu wewe, ndio maana domo zege! Mwombe msamaha[emoji3][emoji3]Life gumu amekimbia coz nimemkazia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wasichana wa kike na kiume...We kweli domo zege
Mkuu umeongelea hapo kwenye mitandoa kiukweli hawa wadada tunaowaona/kuchat nao kwenye mitandao sivyo walivyo ukionana naye mubashara ni wa bovu hatari mimi ni mhanga japo huwa hawahitaji maneno mengi, mkisha chat naye tu mkakubaliana kukutana hapo hata huhitaji tena kuongea hususani mitandao ya fb IG.aisee je kutongoza kwenye mitadao nako unaogopa..kama vile facebook, tagged n.k
mkuu hapo ni ishu ya kujiamini tu na kupangilia mistari umwagike, sio wote utakaotongoza watakumbali hata hivyo usikate tamaa maana practise practise makes perfect.
kua na super mtalibo na kujiamini ziro babu hakukusiadii kabisa....
Kudadeki Nitakua kitombi mwaka huuMkuu umeongelea hapo kwenye mitandoa kiukweli hawa wadada tunaowaona/kuchat nao kwenye mitandao sivyo walivyo ukionana naye mubashara ni wa bovu hatari mimi ni mhanga japo huwa hawahitaji maneno mengi, mkisha chat naye tu mkakubaliana kukutana hapo hata huhitaji tena kuongea hususani mitandao ya fb IG.
Pole mkuu, mtafute timbulo atakupa namna amesolve mkuuHabari za Saa hizi wasichana wa kike na wa kiume,