Domo zege linanitesa jamani

Domo zege linanitesa jamani

sasa mkuu kwa dunia ya sasa hata kutongoza kwa whatsapp huwez?
 
Habari za Saa hizi wasichana wa kike na wa kiume,

Binafsi nina tatizo la kutokuweza kutongoza, mashaallah, mimi ni kijana handsome na mashine nimejaaliwa ila wanawake nawaogopa sana.

Yaani kila nikisimamisha msichana nimtongoze najikuta namsalimia tu huku natetemeka yani domo linakua zito, kibaya zaidi hata mwenye simu inakua shida kwangu kutongoza. Naomba nishauriwe cha kufanya.
Wasichana wa kike na wakiume mmmmm mkuu be serious
 
Hata wakununua umeshindwa
Asante, ulijuaje kuwa nataka kumuuliza hilo swali?!... mwambieni aende hata sewa bar hatongozi, atatongozwa yeye awe na buku2 ya show time na buku 3 bao 2. jumla 5000
 
nunua hilo doli ufanye mambo usisumbuke sana mchina kakurahisishia
 

Attachments

  • IMG_20180116_122501_013.jpg
    IMG_20180116_122501_013.jpg
    39.7 KB · Views: 39
Back
Top Bottom