Nilidhani nitakuwa tofauti na mzee, ila naona nilijidanganya

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Heri ya mifungo ndugu Wakristo na Waislamu.

Nakumbuka wakati nikiwa kidato cha nne, 'washkaji' zangu wa enzi hizo waliwahi kunitania siku moja utani mchungu mno. Kuna jamaa yangu akabong'oa kabisa mbele yangu tena mbele ya wanafunzi wengine, tukiwa kwenye 'hall' moja hivi.

Akasema "wewe nakujua huna meno(joka kibisa), ikisimama mimi nakupa elfu kumi hapa hapa". Watu walicheka sana. Nililia kwa uchungu mno niliporudi nyumbani.

Nimuelezee mzee kwa ufupi, ingawa nami ni mzee ila nimepata bahati ya kuzeeka na mzee wangu. Yeye alikuwa ni mpenda wanawake sana ujanani na hata uzeeni.

Hivyo nilijiona tofauti na watu walikuwa wakisema sijarithi tabia za mzee wangu.

Dhihaka zilikuwa nyingi kwangu kwa sababu ya ukimya na upole wangu. Kidato cha sita napo nilidhihakiwa mno ila ukweli niliujua mimi. Nilikuwa niko fit na mzima ila nilikuwa domo zege.

Jeshini (JKT) kuna dada(afande) aliniambia wewe ni handsome(tena ni zaidi ya mmoja), na nitakuwa malaya sana. Nikacheka tu kwa sababu nilijijua. Yaani muda wote huo sikuwahi kutongoza msichana kabisa.

Nilipofika chuo kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho, semester ya pili ndipo nikaanza kuona mabadiliko makubwa. Hapo nilikuwa nina miaka 24.

Nikaanza 'automatic' kutokuwa mwoga na nikaanza kuwa 'selective'. Nilikuwa nachagua mno wasichana kwa sababu ilikuwa ni haki yangu. Nilikuwa handsome na nikajikubali kuanzia hapo. 'Though' nina komwe kidogo ila wadada nikaanza kuwala.

Kutokana na malezi ya nyumbani nilikuwa nafuliwa kila kitu ila nikaanza kujifunza kufua boksa mara kwa mara katika umri huo.

Msichana wa kwanza kumuonesha 'unyamwezi' nilimuambia, nanukuu, "I'm hungry with you and I wanna fvck you babe". Akaingia ringi.

Nilikuwa na lugha za kihuni mno. Hapo ndipo nikakumbuka 'prophecy' za wale wadada. Pia nikagundua kwenye ukoo wetu Mungu ametupa kibali/zawadi ya kuishi miaka mingi.

Pia, hata kukua (kubalehe) tunachelewa sana. Miaka 30 kwenye familia yetu unahesabika bado mtoto. Mimi nikiwa na 25 kasoro bado nilikuwa nikichungwa kiasi chake na kuitwa mtoto.

Unahesabika mtu mzima mpaka ufike angalau miaka 33+ hivi.

Wanasema msichana akijijua mzuri atasumbua mno. Vijana wa kiume wanatumia kila mbinu kumuaminisha msichana kuwa yeye si lolote, ili asije jitambua kuwa ni mzuri.

Mimi nilijitambua kutokana na sifa nyingi za akina dada hivyo rasmi nikaanza kuwa 'kiwembe'. Ule uoga wote ulikwisha kabisa na nikawa sina aibu(kwenye kufanya mapenzi tu), ingawa kwa nje nilikuwa ni kama kijana mwoga mwoga hivi mwenye aibu aibu asiyejiamini. Ila ndani nilikuwa jasiri simba akasome.

Nakumbuka nikaanza kupenda 'threesome', nikapiga mpaka 4some. Wanawake wawili wanaume wawili. Nikafika hatua ya kupenda ngono kupitia matiti.

Ila kitu kimoja nilikuwa sikipendi, nacho ni kunyonywa uume/korodani au kitu chochote kile changu. Pia sikupenda kunyonya uchi ila matiti.

Nilipenda makalio makubwa na kuyachapa makofi. Sikuwa na aibu kugeuka na kutazama makalio.

Nina mengi ya ujana ya kushiriki na vijana na 'teenagers' wa humu. Wakati mwingine nikipata muda, nitaendelea.

Ahsanteni sana.

Wasalaam!.

NB: maneno ndani ya funga semi ni aidha ya kiingereza au si rasmi. Lengo la uzi wangu ni kushiriki na vijana maisha ya ujana, na kuwaasa wajiamini na wajipende wao kwanza. Kuna marafiki watakaokuaminisha wewe si chochote na huna lolote, ili kukuzuia usijitambue na kujiamini, ili wa-take advantage of that.
Usiige kibaya, iga chema. Haya ni mapito tu!.
 
una jamaa yangu akabong'oa kabisa mbele yangu tena mbele ya wanafunzi wengine, tukiwa kwenye 'hall' moja hivi.
Huyo kijana ni wa jinsia gani? Kama wa kiume basi hakika ulizungukwa na makuchu. Mtoto wa kiume rijali hawezi mbong'olea mwenzie hata kwa utani abadan.

Maelezo mengine nimeona ni porojo za utoto tu ukikuwa na kuzoea papuchi utaacha.

Angalizo tu bwana komwe, hawa kina dada nzuri kwao ni pesa tu mengine yote ni by the way. Sasa usije kukaa ukabweteka kwa kujiamini ni mzuri, utagongewa mpaka na viwete wenye pesa.
 
Mzee I'm your biggest fan.....
Usipopiga threesome utapiga lini??
Achana na hao wanasema eti unajiletea umaskini, ukianza kuelewa maisha yalivyo mafupi.....utajifunza kuienjoy vitu vidogovidogo
 
Back
Top Bottom