Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

We kweli kimeo.

Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
ukisoma vizuri utaona keyword uchumi alafu ndo uache kukurupuka, kushuka kwa hela hata rwanda wana hela kubwa kuzidi sisi lakini kauchumi kadogo same to nigeria vs south africa vs kenya
 
Unaujua impact ya USD kupanda..!?

USD inaweza kushuka hata ikawa chini ya TSH and usifeel any effect kwako, BUT some worldwide issues might happen, in terms of global exchange , stocks, bonds, IOU's and all issues related to this, katika maisha yako kuna uwezekano hata huna direct usage na dollar ukiachana na zile shobo za kutaka kuonekana, a large percent you use tshillings! kuna nchi nyingi ambazo hazina shobo na USD mfano mwaka 2014 CUBA, AFGANISTAN, RUSSIA, CHINA & JAPAN waliacha kutumia USD for any services, some use gold some use crypto and many more options!
 
Asume unaagiza gari toka SBT Japan au BE FORWARD, kwa USD na wewe una Tshs. Hilo gari utalinunua kwa bei ndogo kama Dola IPO chini na the same gari kwa the same price in USD, utalinunua kwa bei kubwa KAMA USD itapanda zaidi
 
Naona haujawahi kununua bidhaa au huduma yoyote mtandaoni
Bidhaa inauzwa mtandaoni ni dola 10, chukulia kipindi kile USD 1 ni sawa na shiling 1500.
Kwa sasa utanunua kwa shilingi ngapi? Unafikiri nao watashusha bei?
sasa dola kupanda na uchumi wa tanzania wap wap mzee? Kuongezeka kwa ukubwa wa dola sio lazima tsh iwe imeshuka
 
Ukiacha kutumia dola haimaniishi utakuwa unatumia pesa kidogo.
Biashara zote za kimataifa huwa zinapangwa bei kwa dola kisha kipimo hicho hutumika kupanga bei kulingana na nchi husika.
USD haikwepeki
USD inaweza kushuka hata ikawa chini ya TSH and usifeel any effect kwako, BUT some worldwide issues might happen, in terms of global exchange , stocks, bonds, IOU's and all issues related to this, katika maisha yako kuna uwezekano hata huna direct usage na dollar ukiachana na zile shobo za kutaka kuonekana, a large percent you use tshillings! kuna nchi nyingi ambazo hazina shobo na USD mfano mwaka 2014 CUBA, AFGANISTAN, RUSSIA, CHINA & JAPAN waliacha kutumia USD for any services, some use gold some use crypto and many more options!
 
Naona haujawahi kununua bidhaa au huduma yoyote mtandaoni
Bidhaa inauzwa mtandaoni ni dola 10, chukulia kipindi kile USD 1 ni sawa na shiling 1500.
Kwa sasa utanunua kwa shilingi ngapi? Unafikiri nao watashusha bei?

ukinunua kitu mtandaoni bank creates an IOU, this IOU kwa jina rahisi ni credit, after its creation your payment is succeful, hizo IOU znaenda BOT kama deni la taifa, in simple words unaiambia nchi ingine kwamba mlipe mtu flan $10 saaahv then tutakulipa baadae! This method is a bit complicated if you trade via crypto as there is no any bank to work your transaction on your behalf
 
Ukiacha kutumia dola haimaniishi utakuwa unatumia pesa kidogo.
Biashara zote za kimataifa huwa zinapangwa bei kwa dola kisha kipimo hicho hutumika kupanga bei kulingana na nchi husika.
USD haikwepeki

kazi kubwa ya USD to kuhakikisha nchi zote maskini hazipati ushawishi mkubwa kiuchumi kutoka mataifa mengine, magufuli katika kipindi chake alianzisha mfumo wa gold standard bahati mbaya hakumalizia mchakato! nchi zingine ambazo hazitambui usd katika mahesabu yake ni kama afganistan, russia, china + cuba! japan and korea and the latest to join, but there is hope as crypto is gaining momentum
 
Asume unaagiza gari toka SBT Japan au BE FORWARD, kwa USD na wewe una Tshs. Hilo gari utalinunua kwa bei ndogo kama Dola IPO chini na the same gari kwa the same price in USD, utalinunua kwa bei kubwa KAMA USD itapanda zaidi

but hautalipa kwa USD ila utalipa kwa tsh but under the (IOU) terms, na BOT itaandika hio transaction yako kwenye deni la taifa, pesa ulizokua nazo kwenye kufanya manunuzi inarudi kwenye mzunguko, and the circle goes on and on always,
 
We kweli kimeo.

Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Kwani Kupanda kwa Dola kunasababishwa na
. TOZO za Simu
Tozo za Majengo
Au Import and Export difference.
Tuliosoma Fine Art tusaidieni
 
but hautalipa kwa USD ila utalipa kwa tsh but under the (IOU) terms, na BOT itaandika hio transaction yako kwenye deni la taifa, pesa ulizokua nazo kwenye kufanya manunuzi inarudi kwenye mzunguko, and the circle goes on and on always,
Umewahi kuagiza gari nje!? Maana isije tukawa tunaongelea theory na siyo hali halisi
 
Back
Top Bottom