Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Hoja za kipumbavu walovamia Iraq, Syria Libya Lebanon na nchi nyingne ni kina nani?

Huu ndo unafiki wa makafiri


Usiwe mropokaji, tumia akili.
Waliovamia Iraq au mahali popote walienda hapo kama Jeshi la Wakristo? Na waliwavamia wairaq kwa sababu ni waislam? Mbona Iran iliivamia Iraq, kwa hiyo wairan siyo waislam? Na hao waliowavamia Iraq, walikuwa wanaenda kuwaua waislam misikitini? Kwa akili yako hiyo duni, na Maduro alienda akanyofolewa kule Venezuela kwa sababu ni muislam?

Tofautisha mashambulio ya nchi fulani dhidi ya nchi nyingine, na mashambulio ya waumini wa imani fulani dhidi ya waumini wa dini tofauti, huku washambuliaji wakijitambulisha kuyafanya hayo kwa maagizo ya imani yao.

Tanzania iliwahi kushambuliwa na Id Amin ambaye alikuwa kiongozi muislam, lakini huwezi kusema uvamizi ule ulikuwa ni wa waislam wa Uganda dhidi ya wakristo wa Tanzania. Ukiamini hivyo utakuwa mwendawazimu!
 

Nimekuambia, hakuna dini hata moja ambayo nimewahi kusikia kuwa inahamasisha waumini wake wavae mavazi yasiyo ya heshima. Kama ipo, niambie ni ipi.

Awe mkeo au dadako au binti yako, sidhani utapenda avae mavazi yanayoonesha sehemu ambazo kila mmoja anajua kuwa zinatakiwa kusitiriwa, na hilo siyo kwa sababu ya kuogopa kuwa atatongozwa, bali ni kulinda maadili ya jumla. Hata wewe hapo ukawa na dadako, amevaa hovyo, ni dhahiri kuvaa kwake hovyo hakuwezi kukufanya wewe umtongoze, lakini itakukera kwa vile dadako inaonekana haheshimu utu wake.

Kuna kosa linafanyika, tendo la mtu binafsi iwe huyo mtu ni mkristo au muislam au wa dini nyingine yoyote, lisichukuliwe kuwa ndiyo mafundisho au maagizo ya dini yake. Miiaka ya huko nyuma ukienda beach hotel ilikuwa inaitwa Silversands Hotel, mita chache kabla ya kufika hotelini unawaona mabinti wanavua hijabu, wanabakia na vimini, zile hijabu wanawapa vijana wawatunzie. Ukiwauliza wazoevu wa.mazingira yale, utshangaa utakachoambiwa. Lakini ujumbe wa wazi unaoupata ni kwamba wale mabinti ni lazima wanatoka kwenye familia zisizoruhusu uvaaji wa namna ile, lakini ambaye hakumwona wakati anatoa hizo hijab, kama akimwona vile alivyokuwa na vimini, na akijua ni muislam, unataka aamini kuwa uislam ndiyo umemwelekeza avae vile? Nilienda Zanzibar, nako ni vile vile, tena naona kule imekuwa rasmi. Kwenye mahoteli makubwa yale ya kitalii, mabinti wa kiislam wanatoka majumbani na hijabu, wakifika pale kuna chumba maalum cha kwenda kubadilishia nguo, wanatoa hijab wanatoka na vimini.

Ndiyo maana tunasema kuwa kwenye imani, mfundishe muumini anachotakiwa kufanya, uamuzi wa mwisho ni wa kwake. Huwezi kulazimisha imani, la sivyo utadanganywa. Mimi sinywi pombe, siyo kwa sababu ya imani, bali mwenyewe siamini kama ni kinywaji chema. Kwa sababu hicho ndicho ninachokiamimi, siyo rahisi mtu kunibadilisha. Lakini wapo waislam ambao wanaambiwa wasinywe pombe, wanakubali, lakini wakitoka hapo, wanaitafuta hata kwa gharama kubwa, lazima wapate. Nenda Saud Arabia, ukishuka tu uwanja wa ndege wa Riadhi, unaanza kufuatwa na waarabu wa pale, kwa siri wanaanza kukuuliza kama unataka pombe au mwanamke, uwaambie utakuwa hoteli gani ili wakuletee. Lakini Saud Arabia, biashara ya pombe na ukahaba imezuiwa. Ukienda kwenye takwimu za ununuzi wa mitambo ya kutengenezea pombe majumbani toka Marekani, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kununua. Kwa hiyo ina maana pombe haitengenezwi kwenye viwanda rasmi, inatengenezwa majumbani.
 

Nimekuambia, hakuna dini hata moja ambayo nimewahi kusikia kuwa inahamasisha waumini wake wavae mavazi yasiyo ya heshima. Kama ipo, niambie ni ipi.

Awe mkeo au dadako au binti yako, sidhani utapenda avae mavazi yanayoonesha sehemu ambazo kila mmoja anajua kuwa zinatakiwa kusitiriwa, na hilo siyo kwa sababu ya kuogopa kuwa atatongozwa, bali ni kulinda maadili ya jumla. Hata wewe hapo ukawa na dadako, amevaa hovyo, ni dhahiri kuvaa kwake hovyo hakuwezi kukufanya wewe umtongoze, lakini itakukera kwa vile dadako inaonekana haheshimu utu wake.

Kuna kosa linafanyika, tendo la mtu binafsi iwe huyo mtu ni mkristo au muislam au wa dini nyingine yoyote, lisichukuliwe kuwa ndiyo mafundisho au maagizo ya dini yake. Mimi mwenyewe, miaka ya huko nyuma nilienda beach hotel ilikuwa inaitwa Silversands Hotel muda wa jioni, mita chache kabla ya kufika hotelini tumawaona mabinti wanavua hijabu, wanabakia na vimini, zile hijabu wanawapa vijana wawatunzie. Nilishtuka, nilipowauliza wazoevu wa.mazingira yale, nilishangaa. Lakini ujumbe wa wazi nilioupata ni kwamba wale mabinti ni lazima wanatoka kwenye familia zisizoruhusu uvaaji wa namna ile, lakini ambaye hakumwona wakati anatoa hizo hijab, kama akimwona vile alivyokuwa na vimini, na akijua ni muislam, unataka aamini kuwa uislam ndiyo umemwelekeza avae vile. Nilienda Zanzibar, nako ni vile vile, tena naona kule imekuwa rasmi. Kwenye mahoteli makubwa yale ya kitalii, mabinti wa kiislam wanatoka majumbani na hijabu, wakifika pale kuna chuma maalum cha kwenda kubadilishia nguo, wanatoka na vimini.

Ndiyo maana tunasema kuwa kwenye imani, mfundishe muumini anachotakiwa kufanya, uamuzi wa mwisho ni wa kwake. Huwezi kulazimisha imani, la sivyo utadanganywa. Mimi sinywi pombe, siyo kwa sababu ya imani, bali mwenyewe siamini kaa ni kinywaji chema. Kwa sababu hicho ndicho ninachokiamimi, siyo rahisi mtu kunibadilisha. Lakini wapo waislam ambao wanaambiwa wasinywe pombe, wanakubali, lakini wakitoka hapo, wanaitafuta hata kwa gharama kubwa, lazima wapate. Nenda Saud Arabia, ukishuka tu uwanja wa ndege wa Riadhi, unaanza kufuatwa na waarabu wa pale, kwa siri wanaanza kukuuliza kama unataka pombe au mwanamke, uwaambie utakuwa hoteli gani ili wakuletee. Lakini Saud Arabia, biashara ya pombe na ukahaba imezuiwa. Ukienda kwenye takwimu za ununuzi wa mitambo ya kutengenezea pombe majumbani toka Marekani, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kununua. Kwa hiyo ina maana pombe haitengenezwi kwenye viwanda rasmi, inatengenezwa majumbani
 
Hii ni Dini ya Mwenyezi Mungu au Kilinge cha Wachawi?

Maana ukiuwacha uchawi ni lazima uuliwe:

Hii ni Dini pekee ulimwenguni ambayo baadhi ya waumini wake wanauwa watu wasio na hatia ili kumridhisha mungu wao:

Wakishaua wanaimba kwa furaha za juu kabisa:
Allah Akibaruu...!

Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"

Huyo Allah ni kwanini asiue mwenyewe?
Anaumbaje watu anaotaka kuwaua ?

Allah ni Mzimu wa Kiarabu ndio maana unasikia Lugha ya Kiarabu tu:

Wakristo tulisha tahadharishwa kuhusu Uislamu, Muhamadi na Allah:

Wagalatia 1:7
Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo.
8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.
9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.
 
Mabikra 72 and no more 😎.
Tambua kuwa kabla yako walikuwepo watu mithili yako waliokuwa bora na wenye nguvu zaidi yako..Lakini kutokana na kiburi na dhihaka zao mwisho wao ulikuwa mbaya...!!

Mungu anasema kuwa



Quran 46:26

"Na bila ya shaka tuliwaweka vizuri sio kama tulivyo kuwekeni nyinyi; na tuliwapa masikio, na macho, na nyoyo. Na hayakuwafaa kitu masikio yao, wala macho yao, wala nyoyo zao kwa lolote. Kwani hao walikuwa wakizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na yale waliyo kuwa wakiyafanyia maskhara ndiyo yakawazunguka"
 
Islamic is not a religion but political movements

Wanaeneza dini kwa ugaidi upanga mass migration and polygamy marriages
 
Unahamisha magoli
 
Unahamisha magoli
Wapi nimehamisha magoli? Nilimwambia Engineer juu ya makundi yanayoua wakristo kwa mwavuli wa uislam. Naye kaniuliza wale waliovamia na kuwaua Wairaq. Mimi nimemwuliza kama waliovamia Iraq lilikuwa ni kundi la Wakristo lililokuwa likiua waislam, kama yanavyofanya makundi ya waislam wenye misimamo mikali huko Nigeria na DRC. Wewe unasema nimehamisha magoli, ni wapi nimehamisha wakati namtaka mtoa mada atofautishe mauaji yanayofanywa na makundi ya kidini kwa madai ya maelekezo ya dini yao Vs mauaji yanayofanywa na watawala wasio na mwegemeo wa imani yoyote ya kidini, kama ni kuua watamwua yeyote aliye kinyume na matakwa yao, na mara nyingi tawala zao, siyo dini zao.
 
We niambie huyo aliesemwa atakja ni nani
Msaidizi atakayekuja Ni Roho mtakatifu yaani Roho wa Mungu,nguvu ya Mungu ndani ya waamini itakayowawezesha kufanya ishara,maajabu na miujiza na hilo likatimia siku ya Pentekoste na hapo ndipo wafuasi wa Kristo wakaanza kuitetemesha Dunia mpaka leo hii Dunia nzima ipo chini ya mfumo wetu ni baada ya Yule msaidizi kuj
😀😀😀 na ukaamini ivo?
Basi tufanye nimeamini huyo msaidizi ni Muhammad Abdula Mutalib
Umerudhika?
 
Mabadiliko yepi tuletee hiyo injili original ambayo mnadai ni ya kweli ili tuikosoe fake manayodai!
 
Huu uisilamu wa Tanzania ni wakitapeli sna ,Morocco ,Egypt saudia ,nkote huko hawaoi wanawake wanne Kwan huku tansani kina mchengerwa anaoa had wanawake watano
 
 
Hongera kwa kufanya uamuzi wa busara. Shekhe Chizi Maarifa njoo umsilimishe kijana hapa.

Salama leko. Nimefurahi kuona kijana ameamua kujiunga nasi kuja kupata mademu wakali 72 bikra. Tena bikra zinazoziba kila baada ya kumaliza tendo na wenye utamu kupitiliza. Aje huku sisi hatuna mambo mengi. Ni kuwachapa nao tu akina faiza foxy na huyu somebody anna bella mwanzo mwisho. Hakuna kulala.
 
Unamtisha nani sasa!
Uislam ni ujinga. Huwezi kuwa na akili timamu ukachagua kuwa muislam
 
Yaani mtu akimbie mada kisa matusi? Kwa hiyo we mtu akikukimbia kisa unamtukana unajiona umeshinda mada?
Kama uislam unakufundisha matusi basi wewe na huyo Allah wako ni wapuuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…