Dogo amenikumbusha mbaali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dogo amenikumbusha mbaali.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, Aug 24, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebanaeee yaelekea dogo ana shabaha kweli, :smile-big:
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wakati huo kuoga,kuchana nywele na hata viatu ni hadithi.
  Ama kweli inakumbusha mbali.
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Hiyo kitu sitaishau...mimi nilisahau nikaweka gumba langu kati ya hicho kipago....jiwe likaondoka na kucha langu...du 1974 mpaka leo nasikia maumivu yake
   
 5. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haswa kipindi hicho kilikuwa kizuri kweli unaamka asubuhi na mapema siku ambayo hatuendi shule tunajiweka vizuri manati na goroli za chuma kisha tunapanda mlimani kuwinda ndege kanga,shorwe,tetere tukirudi home kimeeleweka.!
  big up sana ndibalema.
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  ...umesahau bana.....kifua wazi full time na makamasi kibao...mguuni pekupeku :becky::becky:
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ndibalema nimekuaminia hizi picha ni adimu sana wakati huo bwana..good one
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Halafu ikirudi home lazima ucheze na viboko tokea asubuhi hadi jioni ndio unaonekana nyumbani
   
 9. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ilikuwa ukichungulia tu jikoni ukasikia harufu ya maharage, unabeba manati unaelekea porini, ukirudi home ...kinaeleweka,ila nyoka,hasa wale mlalo ndo walikuwa maadui wakubwa!!
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  nakumbuka kwetu jamani!!!kulikuwa na manjiwa mkubwa yanapenda kwenye miti ya minyonyo yale yenye ring nyeusi shingoni ukipata mwawili duh!!damu tunapaka katika manati!!!(Etopito)eti uwemahili katika uwindaji!!
   
 11. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  the future sniper.
   
 12. D

  Dick JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Enzi za mwaka 47
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  I wish kungekuwa hamna limit ya kubofya Thanks kwa post moja.
   
 14. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Yae Majiwa yanaitwa Njiwa Manga...ebama kwanza yanaunguruma...Ulikuwa ukitoka asubuhi unarudi na ndala ushapoteza...kitambo...umejikumpa kidole kinatoa damu na umeweka mchanga..Mungua alikuwa anasaidia kwa kweli attenasi haikuwa na sie...dah.....
   
 15. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Duh?kweli leo umenikumbusha long t ago.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Aug 24, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Picha hii imenikumbusha enzi zangu za uwindaji ndege vichakanani.....
   
Loading...