DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

Kumbuka pia nilisema Kuhukumu.
Kitu ambacho mohamed kamwe hawez kufanya.

Kitu ambacho Mungu pekee anafanya.
Kuhukumu viumbe siku ya hukumu ni kazi ya Mungu pekee

Siku ya hukumu Yesu atawekwa kizimbani hatoingia peponi mpaka ajibu maswali ya Allah

Na hizi DOGMA zenu ndio zitakazo mchelewasha Yesu kuingia peponi

Hatoingia peponi Hadi atamke mbele yenu nyinyi wagalatia kuwa yeye hata siku Moja hajawahi kusema kuwa Yeye ni Mungu

Quran 5:116
Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.
 
Mbona mnakinzana.

Quran 3:45
“…Jina lake ni Masih, Isa mwana wa Maryam mwenye heshima katika dunia na Akhera, na Miongoni mwa waliopelekwa mbele na Mwenyezi Mungu”

Qur’an yaonyeshwa wazi kuwa nabii Isa bin Maryam ana heshima duniani na Akhera (Mbinguni), tena amepelekwa mbele na mwenyezi Mungu, hii maana, mbele kuliko manabii wote, Yeye ni zaidi ya nabii.
Kuhusu kutokana na neno la Allah hata Adam pia katokana na neno hilo je na yeye ni mungu?
Kuhusu hiyo miujiza ni kuwa kila nabii ana miujiza yake
Kuhusu kuitwa Masih hata dajjal kaitwa je na yeye vipi 😃
Kama yeye ni Mungu sasa kwa nini aliomba chakula 😃

Hii hoja kuwa Yesu ni Mungu hakuna Kobaz anaweza kuelewa.
Lets agree to Disagree.

Mm ina nipa Ukakasi tu kuona Mtu anajenga Dini yake kwa kutumia historia na vitabu vya Dini ya mwengine . Na kuongeza story za uongo au kubadilisha majina ya wahusika.
 
Mbona mnakinzana.

Quran 3:45
“…Jina lake ni Masih, Isa mwana wa Maryam mwenye heshima katika dunia na Akhera, na Miongoni mwa waliopelekwa mbele na Mwenyezi Mungu”

Qur’an yaonyeshwa wazi kuwa nabii Isa bin Maryam ana heshima duniani na Akhera (Mbinguni), tena amepelekwa mbele na mwenyezi Mungu, hii maana, mbele kuliko manabii wote, Yeye ni zaidi ya nabii.

Hii hoja kuwa Yesu ni Mungu hakuna Kobaz anaweza kuelewa.
Lets agree to Disagree.

Mm ina nipa Ukakasi tu kuona Mtu anajenga Dini yake kwa kutumia historia na vitabu vya Dini ya mwengine . Na kuongeza story za uongo au kubadilisha majina ya wahusika.
Usikwepeshe mada niambie wapi Qur’an imesema yesu ni Mungu
 
Wazolee

Tujikite kuamini Quran.
Quran ndio imeelezea vizur Kuhusu Yesu. Nabii Issa .

Jinsi alivyozaliwa.
Alivyotwaliwa na Allah kwa kupaa.
Na kuwa ndio Nabii pekee atarud siku ya Kiama.

Quran 3:45
"Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).”

Quran 3:47
"Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.”

Quran 66:12
"na tukampulizia humo aliye linda ubikira wake, kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi...”

Quran 4: 157-158
"Na kwa kusema kwao: "Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu." Lakini hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi wowote nayo, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.”

Quran 3:55
"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana"
Nyote ni matapeli
 
DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu

DOGMA ndani ya ukristo

1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo

2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini wakati hakuna andiko linalosema hivyo

3) wameaminishwa kuwa Mungu ana nafsi 3 wakati hakuna andiko linalosema hivyo

4) wameaminishwa kuwa wakiwa na shida wamuombe Yesu wakati hakuna andiko linalosema hivyo

5) wameaminishwa kuwa Yesu ni Mungu wakati Yesu mwenyewe amekana kuwa yeye sio Mungu

6) wameaminishwa kuwa Mungu aligeuka kuwa mtu akacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya

7) wameaminishwa kuwa ukristo alianzisha Yesu wakati maandiko na historia zinasema kuwa ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka

8) wameaminishwa kuwa wakifanya ibada wasisujudu wakati maandiko yanawataka wasujudu na manabii wote walikuwa wanasujudu

9) wameaminishwa kuwa Yesu alisurubiwa Kwa ajili ya dhambi zao wakati maandiko yanasema Kila mtu atabeba mzigo wake

10) wameaminishwa kuwa msalaba ni neema Hadi wanavaa shingoni mwao wakati maandiko yanasema msalaba ni laana

11) wameaminishwa kuwa kuoa wake wengi ni kosa wakati hakuna andiko linalosema hivyo

12) wameaminishwa kuwa ukristo ulianzishwa nchini Jerusalem wakati maandiko yanasema ulianzishwa nchini ugiriki

14) wameaminishwa kuwa Injili ni kitabu Cha wakristo wakati hakuna andiko linalosema hivyo

15) wameaminishwa kuwa Paulo ni mtume wakati Yesu alisema yeye ndio mtume wa mwisho katika kizazi Cha Israel

16) wameaminishwa kuwa Jumapili ni siku ya ibada wakati hakuna andiko linalosema hivyo

Wazungu watu wabaya sana
Umeandika utopolo mtupu, ila namba 5 ukipata ushahidi wa andiko kutoka Biblia mimi leo nakuwa muislamu. Vinginevyo kila ulichoandika watu wajue kuwa ni uongo.
 
Wazolee

Tujikite kuamini Quran.
Quran ndio imeelezea vizur Kuhusu Yesu. Nabii Issa .

Jinsi alivyozaliwa.
Alivyotwaliwa na Allah kwa kupaa.
Na kuwa ndio Nabii pekee atarud siku ya Kiama.

Quran 3:45
"Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).”

Quran 3:47
"Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.”

Quran 66:12
"na tukampulizia humo aliye linda ubikira wake, kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi...”

Quran 4: 157-158
"Na kwa kusema kwao: "Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu." Lakini hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi wowote nayo, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.”

Quran 3:55
"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana"
Huu ndio ukweli
 
UISLAMU UNARUHUSU UONGO

Aya inayojulikana zaidi inayotumiwa kuelezea taqiyya ni

Surah Al-Imran (3:28)

"Wamwache Mumin asiungane na waongo na wapambe wake. Na yule atakayewaunganisha wao, basi hakika ametenda dhambi."
"Isipokuwa wale waliolazimika na mioyo yao kuwa na amani kwao, lakini wao wamesalimu kwa kuficha imani yao..."
(Tafsiri huru)

Aya hii inatambua hali ambapo mtu anaweza kusema uongo kwa kuonusuru Imani au dini

Ushahidi kutoka Hadith

Hadith zinaonyesha kwamba Mtume Muhammad (SAW) aliruhusu kuficha imani na kusema uongo katika hali fulani za hatari

Ibn Umar aliripoti kwamba Mtume alisema:

"Mtu asiyetambua taqiyya si miongoni mwa wapendwa wa Mwenyezi Mungu."
Hiyo aya,hairuhusu uongo,hiyo aya,inaelezeq wakati uko kwenye hatari,utumie mbinu yoyote,ujiokoe.Hsts Yesu alitumia mbinu hiyo,walipokuwa wanamtafuta ili wamsulubu,wakati Yuda ameshamsaliti,alikwenda kujificha,na pia alipoulizwa wewe ni mdalme wa wayahud?akasema wewe ndio unasema,kwa hiyo hapo alisema uongo,ili ajinusuru na kifo
 
Naumia sana kuona dini imejaa chuki yaani kwanini uislamu unachuki hivi.
Siyo chuki Uislamu unasema lililo kweli Angalia hawa walimwamini Yesu kwa uhakika
The "Ebionites" were an early Jewish-Christian group that emerged in the first century CE. They believed Jesus was the Messiah but not divine, emphasizing his role as a Jewish prophet who followed Mosaic law. They are known for their adherence to Jewish customs, including circumcision and the Sabbath, and their rejection of Paul's teachings.
 
Hiyo aya,hairuhusu uongo,hiyo aya,inaelezeq wakati uko kwenye hatari,utumie mbinu yoyote,ujiokoe.Hsts Yesu alitumia mbinu hiyo,walipokuwa wanamtafuta ili wamsulubu,wakati Yuda ameshamsaliti,alikwenda kujificha,na pia alipoulizwa wewe ni mdalme wa wayahud?akasema wewe ndio unasema,kwa hiyo hapo alisema uongo,ili ajinusuru na kifo
Kabla sijaanza kukujibu, Kwahiyo unakubali Yesu alikamatwa akasulubiwa 😂😂
 
Hiyo biblia unayotumia,ya lugha ya kiswahili imeandikwa 1800,juzi tu hapa.
Manuscript zipo toka kabla ya Yesu

Quran imeandikwa juzi tu hapa 1924, Nyerere kashazaliwa

Imeandikwa na mfalme Fuad,Al Azhar University chini ya wahuni wachache

Ndio maana hakuna matini ya Uthman wala ya mudy

Saudia Arabia wenyewe hii Quran wameipata 1985 kutoka Al Azhar University
 
Biblia imeandika baada ya yesu kutoweka duniani
 
Back
Top Bottom