DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu

DOGMA ndani ya ukristo

1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo

2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini wakati hakuna andiko linalosema hivyo

3) wameaminishwa kuwa Mungu ana nafsi 3 wakati hakuna andiko linalosema hivyo

4) wameaminishwa kuwa wakiwa na shida wamuombe Yesu wakati hakuna andiko linalosema hivyo

5) wameaminishwa kuwa Yesu ni Mungu wakati Yesu mwenyewe amekana kuwa yeye sio Mungu

6) wameaminishwa kuwa Mungu aligeuka kuwa mtu akacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya

7) wameaminishwa kuwa ukristo alianzisha Yesu wakati maandiko na historia zinasema kuwa ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka

8) wameaminishwa kuwa wakifanya ibada wasisujudu wakati maandiko yanawataka wasujudu na manabii wote walikuwa wanasujudu

9) wameaminishwa kuwa Yesu alisurubiwa Kwa ajili ya dhambi zao wakati maandiko yanasema Kila mtu atabeba mzigo wake

10) wameaminishwa kuwa msalaba ni neema Hadi wanavaa shingoni mwao wakati maandiko yanasema msalaba ni laana

11) wameaminishwa kuwa kuoa wake wengi ni kosa wakati hakuna andiko linalosema hivyo

12) wameaminishwa kuwa ukristo ulianzishwa nchini Jerusalem wakati maandiko yanasema ulianzishwa nchini ugiriki

14) wameaminishwa kuwa Injili ni kitabu Cha wakristo wakati hakuna andiko linalosema hivyo

15) wameaminishwa kuwa Paulo ni mtume wakati Yesu alisema yeye ndio mtume wa mwisho katika kizazi Cha Israel

Wazungu watu wabaya sana
Kijana wa Bom bom kijiwe samli uliepata eliminya madrasa huwezi elewa mambo yaliyokuzidi upeo
 
Hakika hoja Yako namba nne nimeifanyia utafiti mara 10 nikiwa secondary Kulikuwa na wanafunzi wanapanda mapepo Kisha tunawaombea kwa JINA LA YESU mapepo hayo yanatoka lakini nishajaribu au Mimi na jamaa zangu mara tatu kusema kwa jina la MUNGU PEPO LINACHEKA UKITAJA ALLAH linazidisha kucheka zaidi kwanini iwe ni YESU tu ebu nisaidie hapo.

hatari sana mkuu
 
Maandiko yenu mbona yana udhaifu mno
Kwa logic tuu ya kawaida

Hiyo Quran mnayodai imeshushwa ikiwa na habari ya mussa, ibrahimu, Yesu nk, iliikuta Biblia ilishaandika hizo habari karne nyingi tuu zilizopita ( copy and paste)

Hakuna ushahidi wowote wa kihistoria au ki theolojia kwamba uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad isipokua madai ya quran yenyewe.

Muhamad alikua merchant hivo alisikia hadithi za uyahudi na ukristo akaziunganisha kutengeneza dini yake+ tamaduni za kihindu za pale macca
 
Hayo ni maoni yenu binafsi na hayana ushahidi wa maandiko
 
Wazolee

Tujikite kuamini Quran.
Quran ndio imeelezea vizur Kuhusu Yesu. Nabii Issa .

Jinsi alivyozaliwa.
Alivyotwaliwa na Allah kwa kupaa.
Na kuwa ndio Nabii pekee atarud siku ya Kiama.

Quran 3:45
"Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).”

Quran 3:47
"Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.”

Quran 66:12
"na tukampulizia humo aliye linda ubikira wake, kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi...”

Quran 4: 157-158
"Na kwa kusema kwao: "Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu." Lakini hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi wowote nayo, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.”

Quran 3:55
"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana"
Atarudi akiwa katika umbilical gani mtoto kijana,mzee au mnyama mdudu au mwezi kama alivyo allah?
 
Maandiko yenu mbona yana udhaifu mno
Atarudi akiwa katika umbilical gani mtoto kijana,mzee au mnyama mdudu au mwezi kama alivyo allah?

Ukijua kuwa atarud . Inatosha.
Ndio Nabii pekee Quran inamuheshim.

Alaf Quran haiwez Kinzana .

Hapa Quran inasema
Kuwa Yesu alikufa na atafufuliwa.

“...Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu na amenifanya Mtume; na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia sala na zaka maadamu niko hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa, na siku nitakayokufa, na siku nitakayofufuliwa kuwa hai.” (Kurani 19:30-34)

Na hapa inasema alipaa.

Quran 3: 55 - Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana

Quran 4:158
Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake, Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
 
Qur’an inaheshimu Mitume wote sio Isa pekee
 
Ndio ukweli na inakuuma.
Ila sasa ushaamini. Hakuna jinsi.

Alaf nitafutie aya ya quran inayosema mmbusu lile jiwe jeusi
Sasa kinachoniuma nini kama sio wewe ndo unaumia
Kuhusu kubusu jiwe sio lazima na ipo kwenye hadithi
 
Sasa kinachoniuma nini kama sio wewe ndo unaumia
Kuhusu kubusu jiwe sio lazima na ipo kwenye hadithi

Naomba ninyeshe aya ya Quran.

Hadith ziko nying.
Tukileta hadith zile ndio mtatukana kabisa hapa.
Kuna ile Hadith ya Shetan kupuliza matako ya watu wakiwa wana swali.
 
Naona shetani unahangaika na Wakristo!! Vipi, unakosa wafuasi wa kukuabudu?

Hao wanaokukataa ufahamu kuwa hao siyo wako. Walio wa Kristo, kamwe hawatakuja kwako.

Yn 10:27-30​

Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata. Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu. Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu. Mimi na Baba tu umoja.

Asante Yesu Bwana wangu kwa kuniwezesha kuwa miongoni mwa kondoo wako. Naomba unijalie hekima yako ili wakati wote niisikie sauti yako.

Sasa ngoja tuone wewe unamfuata Yesu au unafuata DOGMA za Wazungu

Hili andiko umetoa wewe mwenye kuwa Yesu kondoo wake amewapa uzima wa milele

Yohana 10:27
Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata.
Yohana 10:28
Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.

Na uzima wa milele ambao Yesu aliwapa kondooi wake ndio huu hapa

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Kama kweli wewe unamfuata Yesu basi lazima uamini na ukubali kuwa Mungu ni mmoja tu na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Na kweli unaamini hivyo basi karibu katika uislam maana hilo analosema Yesu hapo ndio fundisho namba Moja katika uislam hapo Yesu anatoa shahada Yani anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na yeye ni mtume wa Mungu

Ila Kwa sababu wewe unafuata DOGMA hayo Maneno ya Yesu hapo hauyafuati Wala hauyaamini
 
Naomba ninyeshe aya ya Quran.

Hadith ziko nying.
Tukileta hadith zile ndio mtatukana kabisa hapa.
Kuna ile Hadith ya Shetan kupuliza matako ya watu wakiwa wana swali.
Sasa unaomba aya na wakati hakuna aya hiyo 😃
 
Back
Top Bottom