QUR'AN SIYO KITABU CHA MUNGU, NI KITABU CHA SHETANI ALICHOKIANDIKA AKITUMIA WATU.
🔰 USHAHIDI WA 1
Qur'an 7:158, tafsiri ya Ahmmadiya inasema;
👇👇
"Ambao wanamfuata mtume nabii aliye #Ummy.
Maana ya neno #Ummy
👇👇
Mosi=Mtu anayehusiana na Mama, yaani asiye na kosa kama alivyo mtoto kifuani pa mama yake.
Pili=Mtu asiyejua kusoma wala kuandika.
Tatu=Mtu hasa mwarabu #asiye_na_kitabu_kilichoteremshwa_na_Mwenyezi_Mungu.
Maana ya tatu ya neno #Ummy, ni mtu hasa Mwarabu, sio mwafrika wala muamerika, wala kutoka Ulaya, bali ni Mwarabu #aliye_na_kitabu_ambacho_hakijatoka_kwa_Mwenyezi_Mungu.
📖 Kwa hiyo Muhammadi amekuja na kitabu ambacho hakija toka kwa Mwenyezi Mungu✔️✔️.
SWALI, kimetoka kwa nani?
Qur'an tafsiri ya Sheikh Aly Muhsin, Aly Baruani inatupa jibu.
👇👇
Qur'an, 2:97, inasema;
"Sema; aliyekuwa ni #adui wa #Jibril basi #huyo ndiye #aliyeiteremsha Qur'an.
Qur'an imetoka kwa adui wa jibril ambaye ni shetani ✔️✔️
🔰 USHAHIDI WA 2
📖Kitabu: Maisha ya nabii Muhammadi.
📖Mwandishi: Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy(Alikuwa Kadhii mkuu wa Kenya)
📖Qur'an imeandikwa na Nani?, ukurasa wa 8, inasema;
👇👇
"Mtu wa awali aliyejifundisha kusoma na kuandika katika mji wa Makha alikuwa Bwana Harb_bin_Umayya, babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa Yemeni na yeye akaja kuwa fundisha waliotoka katika mji wa Makha. Wakati mtume alipopata utume walikuwako watu sita tu katika mji wa Makha waliokuwa wakijua kuandika. Wanne katika hao wakaingia Katika Uislamu, wakawa ndio waandikaji wa aya za Qur'an. Watu hao walikuwa ni; #Sayyidna_Abubakr, #Sayyidna_Omar, #Sayyidna_Uthman na #Sayyidna_Ali. Watu hao ndio walikuwa waandikaji wa aya za Qur'an"
Lakini utasikia Muislamu anasema, Qur'an imeteremshwa moja kwa moja kutoka Mbinguni 🤣🤣.
SAYYIDNA ABUBAKR na wenzake ndio walikuwa waandikaji wa aya za Qur'an.
SAYYDNA ABUBAKR, anasema;
"Hakika Mimi #ninayeshetani unifika mara kwa mara, basi wakati wowote atakapo nifika uniepuke"
(Kitabu; Tabaqatul Kubra, Juzuu 3, Uk 212.)
ZINGATIA
Shetani anapotaka kufanya jambo haji moja kwa moja kama shetani, bali yeye hutumia watu kutekeleza ajenda zake za siri.
➖➖
🔰 USHAHIDI WA 3
📖Kitabu; Ulimwengu wa Majini na vituko vyao.
📖Ukurasa wa 31, inasema;
"Hatupingi kwani wapo majini_miongoni_mwao_ni_Waislamu na wala hawana mtume ila Muhammadi"
Ushaidi mwingine kitabu hichohicho, ukurasa wa 32, inasema;
"Majini ama Jini #hawezi_kuomba_asomewe_kitabu_cha_Biblia ila Qur'an"
Unaona! Majini hawapendi kusomewa Biblia ila Qur'an. Hii ni kwasababu, Qur'an ni kitabu chao, wamekitengeneza wao wenyewe hao majini wakiwatumia watu, pia wanasema; hawana mtume ila Muhammadi.
➖➖
🔰 USHAHIDI WA 4
Sura ya Majini, aya ya 1, inasema;
"Sema; imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikia (Qur'an) likasema; Hakika tumesikia Qur'an ya ajabu"
Aya ya 14, inasema;
"Nasi wamo miongoni mwetu #waliosilimu na wamo miongoni mwetu wanaokengeuka, waliosilimu hao ndio waliotafuta uongofu"
Qur'an 46:29, inasema;
👇👇
"Na (wakumbushe) tulipokuletea kundi la majini (kujakwako) kusikiliza Qur'an. Basi, walipoihudhuria walisema(kuambiana) " Nyamazeni" Na ilipokwisha walirudi kwa jamaa zao wakiwaonya"
Qur'an ni kitabu cha majini, Qur'an ni kitabu cha shetani, Qur'an sio kitabu cha Mungu"
➖➖
🔰 USHAHIDI WA 5
📖Kitabu=Upanga mkali,
📖Ukurasa wa 22, inasema
👇👇
"Tulikuwa na mtume usiku Mmoja, Mara tukamkosa, tukamtafuta katika jangwa na mabonde, tukasema;ameuawa, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu. Kulipopambazuka mara tuka mwona anakuja akitokea upande wa #hira, tukamwambia, tumekukosa, na tumekutafuta wala hatukukupata, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu; Akasema(Muhammadi) #nilijiwa_na_muhitaji_wa_majini (Bosi wa majini) #nikaenda_naye_nikawasomea Qur'an
Hapo Muhammadi anasema, aliitwa na Bosi wa Majini kwenye pango la #hira.
MPAKA HAPA TUMEFAHAMU KUWA;
♦️ Muhammadi anakitabu ambacho hakijatoka kwa Mwenyezi Mungu, angalia maana ya tatu ya neno UMMY.
♦️ Qur'an imetoka kwa adui wa jibrili ambaye ni shetani.
♦️ Mmoja wa waandikaji wa aya za Qur'an, Sayyidna Abubakr alikuwa na shetani.
♦️ Mashetani ni Waislamu.
♦️ Mashetani hawapendi kusomewa Biblia ila wanapenda kusomewa Qur'an.
♦️ Muhammadi aliitwa na Bosi wa Mashetani(LUSIFA) kwenye pango la HIRA kwenda kumsomea Qur'an.
➖➖
🔰 USHAHIDI WA 6
📖 Kitabu; Maisha ya Nabii Muhammadi.
📖 Mwandishi; Sheikh Abdullah Saleh Farsy.
📖Kupata Utume Nabii Muhammadi, ukurasa wa 16-17, inasema;
👇👇
"Muhammadi alikuwa na tabia ya kwenda kwenye pango la #hira nyakati za usiku, kabla ya kurudi kwa familia yake. Siku moja alipokuwa katika pango hilo la #hira, Mtume alimwona mtu kamsimamia mbele yake bila ya kumwona wapi katokea. Akamwambia;Soma,Muhammadi akajibu "Siwezi kusoma".Muhammadi anasema; Kisha akanichukua na #kunibana_kwa_nguvu hakuniacha niondoke,akaniambia tena "Soma" nikamjibu "Siwezi kusoma".
#Akazidi_kuniminya_mpaka_nikaishiwa_nguvu, Kisha akaniambia; Soma, Nikamjibu, "Siwezi kusoma". #Akaniminya_mara_ya_tatu, kamwe hakuniacha niondoke, Kisha akaniambia; Soma kwa jina la mola wako. Akamsomea sura hiyo ya 96, hiyo ndiyo sura ya Kwaza kushuka katika Qur'an ingawa haijawekwa mwanzo".
Ukiangalia kwenye ushahidi wa 5, kitabu Cha upanga mkali. Muhammadi anasema, aliitwa na Bosi wa Majini, yaani LUCIFA malaika muasi, ambaye alimwita kwenda kwenye pango la HIRA. Na kwenye kitabu hiki cha Maisha ya Nabii Muhammadi, tunamuona Muhammadi akiwa kwenye hilo pango la HIRA akitokewa na mtu na kummezesha aya za Qur'an.
➖➖ ➖➖
USHAHIDI WA 7
📖 KITABU; Wakeze Mtume na Wanawe.
📖 MWANDISHI: Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy.
📖 UK 12, inasema;
"Basi, mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe akamuhadithia. Na palepale homa kubwa kabisa ikampanda akataka afunikwe maguo, mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema, #Najihofia_nafsi_yangu_kuchezewa_na_mashetani_na_kuniharibu_akili_yangu_na_kunizuga"
Hapo☝️ Muhammadi anasema, aliyemtokea kwenye pango la hira ni #Shetani.
USHAHIDI WA 8
📖Kitabu; Asili ya Majini
📖Mwandishi; Dr Ahmad H. Sakr
📖 Ukurasa wa 20, inasema;
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na Wanawe kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammadi tu #ndiye_aliyemsilimisha_shetani_akawa_Muislamu
Shetani moja kwa moja ni Muislamu, alisilimishwa na Muhammadi✔️✔️
➖➖
Qur'an sio kitabu Cha Mungu, ni kitabu kilichotungwa na kudaiwa kimetoka kwa Mungu. Muhammadi hajawahi kuongea na Mungu wala na Malaika hata siku moja.
➖➖ ➖➖
Shetani yeye hutumia watu ili kuwa poteza watu. Shetani anaweza kutumia watu fulani kuanzisha kitu fulani ili kuwavuta watu, ili watu waone kitu hicho kimetoka kwa Mungu kumbe ni chake. Maana shetani ni mjanja sana, anaweza kujigeuza kuwa mfano wa Malaika wa Nuru.
👇👇
2Wakorintho 11:13-14
13 Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
14 Wala si ajabu. maana SHETANI MWENYEWE HUJIGEUZA AWE MFANO WA MALAIKA WA NURU.
Waislamu tokeni kwenye Uislamu,,njooni kwa Yesu, Yesu anawapenda sana, anawaambia, yeye ni njia ya kweli na uzima;
👇👇
Yohana 14:2-6
2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
3 Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
4 Nami niendako MWAIJUA NJIA
5 Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi TWAIJUAJE NJIA?
6 Yesu akamwambia, MIMI NDIMI NJIA NA KWELI, NA UZIMA; mtu haji kwa Baba, ila kwa NJIA YA MIMI
🌹WAISLAMU KARIBUNI KWA YESU🌹
View attachment 3437455