DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

Mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie

QURAN 4: 157-159

157. "Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu. Nao hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu (wakamuua mtu mwingine). Na hakika walio hitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini .

158. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua Kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hekima.

159. Na hakuna yeyote katika watu wa Kitabu (Wakristo na Mayahudi) ila ataamini ukweli huu kuhusu yeye (Isa) wakati wa kifo chake (kabla ya kutoka roho). Naye Siku ya Kiyama atakuwa shahidi juu yao"
Niache kuwaamini manabii kuanzia Musa, Mzee yakobo ,Daudi, waliotabiri kufa na kufufuka kwa Yesu Tena kwa usahihi mkubwa nije NIMUAMINI tapeli Muhammad 😂

Niache kumuamini Daniel ambaye alitabiri EXACTLY Hadi mwaka atakaokufa Yesu ,NIMUAMINI tapeli Muhammad 😂

Hivi Unajua msomi wa biblia akiona VITUKO vya muhamad kuwa Yesu hakufa anacheka na anahitimisha Quran ni kitabu cha Shetani

Biblia imejaa unabii wa Yesu kufa na kufufuka zaidi ya nabii 300

Ni mpumbavu pekee ANAYEWEZA KUMUAMINI MUHAMAD
 
Hii inaonyesha Qur’an haikuwa salama kichwani mwao kama mnavyodai vifo vyao vilihatarisha matini ya asili.😂

Baadhi ya Maswahaba waliokuwa sehemu ya wapokeaji walikunywa pombe
📜 Sahih al-Bukhari 5582 na Sahih Muslim 1980

Imepokewa kutoka kwa Anas bin Malik: “Nilikuwa nikimiminia kinywaji kwa Abu Talha, Abu Ubayda bin Jarrah, Ubayy bin Ka’b, Suhayl bin Bayda, na watu wengine. Pombe ilikuwa imeruhusiwa wakati huo, basi wakanywa… kisha Qur’an ikateremsha aya ya kuharamisha pombe.”

Kijana mbona huna hoja kabisa ? Jikite kwenye mada usiandike ilimradi tu.

Hadithi inaongelea wakati uliopita, wakati ambao Pombe ilikuwa imerubudiwa. Kipindi ilipo katazwa na wao wakakatazika.

Jenga hoja kijana.
 
Hawa walikua wapokeaji na walimu wa Qur’an, lakini walikuwa walevi kabla ya aya fulani kushuka.😂😂

Hii inaonyesha hawakuwa “watakatifu wasiogusika” kama mnavyojaribu kuonyesha.

Sijaelewa hoja yako hapa nini ?
 
Hadith kuhusu Shetani kumtupia Muhammad “aya za Shetani”
📜 Sahih al-Bukhari 4862 na Tafsir al-Tabari (Surat al-Hajj 22:52)

“Mtume alipokuwa akisoma (Qur’an), Shetani alitupa maneno katika ulimi wake…”

Ikiwa Shetani aliweza kuingiza maneno kwenye ulimi wa Muhammad, hoja ya kuwa Qur’an ilihifadhiwa bila kosa inakufa kifo cha mende😂

Malizia hayo maelezo usilete uhuni wa kijinga.
 
Ikiwa Qur’an ilihifadhiwa kikamilifu moyoni mwao, kwa nini kifo cha wapokeaji kilileta hofu ya kupotea kwake?

Hizo ni hofu za kibinadamu hazihusiani na ahadi ya Allah kuilinda Qur'an.

Maana yake hata kama isingeandikwa na hata kama wangekufa wote walio hifadhi Qur'an, ahadi ya Allah Iko pale pale.
 
Kijana mbona huna hoja kabisa ? Jikite kwenye mada usiandike ilimradi tu.

Hadithi inaongelea wakati uliopita, wakati ambao Pombe ilikuwa imerubudiwa. Kipindi ilipo katazwa na wao wakakatazika.

Jenga hoja kijana.
Nimekupa Hadith ,walikuwa walevi

Hizo nyingine ni ngonjera tu unaleta
 
Hizo ni hofu za kibinadamu hazihusiani na ahadi ya Allah kuilinda Qur'an.

Maana yake hata kama isingeandikwa na hata kama wangekufa wote walio hifadhi Qur'an, ahadi ya Allah Iko pale pale.
😂😂😂Kwahiyo zaburi na Torati zilimshinda kulinda
 
Mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie

QURAN 4: 157-159

157. "Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu. Nao hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu (wakamuua mtu mwingine). Na hakika walio hitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini .

158. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua Kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hekima.

159. Na hakuna yeyote katika watu wa Kitabu (Wakristo na Mayahudi) ila ataamini ukweli huu kuhusu yeye (Isa) wakati wa kifo chake (kabla ya kutoka roho). Naye Siku ya Kiyama atakuwa shahidi juu yao"

Wewe hiyo Aya ya mwisho mbona umeichakachua ni nani aliyekupa hiyo tafsiri

Tafsiri sahihi ni hi hapa watakao amini hapo kabla ya kufa sio Isa ila ni hao watu wa kitabu

Quran 4:157
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.

Quran 4:158
Bali Mwenyezi Mungu alim- tukuza kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Quran 4:159
Na hawi katika Watu wa Kitabu ila hakika atamuamini yeye kabla ya kufa kwake. Naye Siku ya Kiyama atakuwa shahidi juu yao.
 
Nimekupa Hadith ,walikuwa walevi

Hizo nyingine ni ngonjera tu unaleta

Walikuwa walevi kipindi gani ? Hii ndio hoja ya msingi.

Unatakiwa uunganishe hoja yako na maandiko pamoja na uhalisia ili ilete maana, kinyume chake inakuwa unaruka ruka na kukosa hoja kama hivi.
 
😂😂😂Kwahiyo zaburi na Torati zilimshinda kulinda

Hazija mshinda, Allah ameepukana na sifa ya udhaifu. Hakutaka kuzilinda sababu alikadiria ya kuwa muda wake ukiisha ni basi.

Ndio maana Leo hukuti matini ya Injili Wala Taurati Wala Zaburi.
 
Back
Top Bottom