hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,460
- 27,062
Nishamjibu huyu, kaingia mitini
Nishamjibu huyu, kaingia mitini
Quran Haina matini ya asili acha kudanganya watu
Hata hizo za sanaa na Birmingham zinatofautiana sana na Leo
Quran iliyopo Leo ni hii iliyoundwa na wahuni wachache wakiongozwa na mfalme Fuad wa misri 1924
miaka mingi baada ya Muhammad kufa,
karne nyingi baadaye, na hata hizo zina tofauti katika usomaji (qira’at). Hivyo kusema kuwa maandiko haya yamehifadhiwa bila mabadiliko ni propaganda za Uislamu kama zile za Adamu alikuwa muislamu 🤣🤣🤣.
Mimi na wewe nan kakimbia ? Nenda kajibu maswali lukuki uliyozalisha ,hujajibu hata moja
Yaani eti Mungu ksmuumba binadamu kisha , Mungu huyu huyo azaliwe duniani kisha ateswe na kufa msalaba ni kwa ajili ya binadamu....DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu
DOGMA ndani ya ukristo
1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo
2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini wakati hakuna andiko linalosema hivyo
3) wameaminishwa kuwa Mungu ana nafsi 3 wakati hakuna andiko linalosema hivyo
4) wameaminishwa kuwa wakiwa na shida wamuombe Yesu wakati hakuna andiko linalosema hivyo
5) wameaminishwa kuwa Yesu ni Mungu wakati Yesu mwenyewe amekana kuwa yeye sio Mungu
6) wameaminishwa kuwa Mungu aligeuka kuwa mtu akacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
7) wameaminishwa kuwa ukristo alianzisha Yesu wakati maandiko na historia zinasema kuwa ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka
8) wameaminishwa kuwa wakifanya ibada wasisujudu wakati maandiko yanawataka wasujudu na manabii wote walikuwa wanasujudu
9) wameaminishwa kuwa Yesu alisurubiwa Kwa ajili ya dhambi zao wakati maandiko yanasema Kila mtu atabeba mzigo wake
10) wameaminishwa kuwa msalaba ni neema Hadi wanavaa shingoni mwao wakati maandiko yanasema msalaba ni laana
11) wameaminishwa kuwa kuoa wake wengi ni kosa wakati hakuna andiko linalosema hivyo
12) wameaminishwa kuwa ukristo ulianzishwa nchini Jerusalem wakati maandiko yanasema ulianzishwa nchini ugiriki
14) wameaminishwa kuwa Injili ni kitabu Cha wakristo wakati hakuna andiko linalosema hivyo
15) wameaminishwa kuwa Paulo ni mtume wakati Yesu alisema yeye ndio mtume wa mwisho katika kizazi Cha Israel
16) wameaminishwa kuwa Jumapili ni siku ya ibada wakati hakuna andiko linalosema hivyo
Wazungu watu wabaya sana
Nenda kajibu maswali mzigo kule ,🤣🤣Huwezi kunikimbiza na hautoweza, hakuna swali hata moja nililo kimbia na swali gani sijakujibu ? Ukiona sijakujibu ujue sijaliona au umerudia swali ambalo nimeshakujibu.
Tatizo huna elimu ,umeshadanganywa na wewe unataka kudanganya watuKarne nyingi ngapi ? Usiandike mambo jumla jumla ainisha.
Weka ushahidi na utuonyeshe hizo tofauti, usije kukimbia tena kama kawaida yako.
Maandiko yamehifadhiwa ndio maana mpaka viraa kumi vipo na vinasomeshwa, na ziada ya maneno sio Qur'an tu kuhifadhiwa bali mpaka Hadithi za Mtume zimehifadhiwa.
Maana ya kuhifadhiwa ni :
1. Kuhifadhi matini kama ilivyo pokelewa kwa Mtume
2. Uwepo wa sanadi (chain) ya upokezi ambayo haijakatika mpaka kwa mtume
3. Kuthibiti kwa usomaji kama alivyo soma Mtume
4. Uwepo wa viraa
5. Kujulikana kwa lolote la uongo linalo ongezwa au kupunguzwa katika Qur'an
6. Kuhifadhi maana kama alivyo fasiri Mtume, Maswahaba, Wanafunzi wa maswahaba na Maimamu.
Hii ndio maana ya kuhifadhiwa.
Sasa Adamu alikuwa Mkristo au Myahudi ? Sio tu Adamu, bali hakuna Mtume wala nabii wa Allah ambaye hakuwa Muislamu.
Umekimbia na maswali hukujibu, kama mwanaume ,Rudi kuleHuwezi kunikimbiza na hautoweza, hakuna swali hata moja nililo kimbia na swali gani sijakujibu ? Ukiona sijakujibu ujue sijaliona au umerudia swali ambalo nimeshakujibu.
Shida waislamu hamna elimu ya mambo ya roho, hata Quran yenu inasema hivo, nimekuwa muislamu kwa miaka zaidi ya 15+ ,hakuna dini imejengwa kwa uongo, propaganda,na misingi dhaifu kama uislamu,Yaani eti Mungu ksmuumba binadamu kisha , Mungu huyu huyo azaliwe duniani kisha ateswe na kufa msalaba ni kwa ajili ya binadamu....
Ndio maana ukijadili na mkristo kuhusu hoja za kiimani haiufiki mwisho ...
Ni imani iliyojengwa ktk matamanio zaidi kuliko uhalisia...
Hakuna matini ya Quran na huna ,huwezi kuiona, Uislamu ndio dini ya ajabu ,dini mpya lakini Haina manuscript zake za asili, na zilizopo zote zinapishana na Quran hii ya Al Azhar University 1924 mnayoitumia Leo ,ndio maana Huwa tunaishia kuwacheka tuHiyo ya Uingereza haizingatiwi kwetu sisi.
Matini ya asili ya Qur'an tuko nayo mpaka Kiyama kinasimama, sababu sisi tuna chain ya upokezi mpaka kwa Mtume.
Nilikwambia tu kule ulete chain ya Matayo na utathibitishie nani aliandika Injili ya Matayo ukakimbia.
Usilinganishe Qur'an na Biblia kijana.
Huyo Mfalme DFuad hatajwi katika uandishwi wa Qur'an, shida huwa mnajitungia habari. Msome mwanazuoni aitwae al-Jazari, amedhibiti viraa saba na kuviandikia kitabu, Viraa ambavyo mpake kesho vinasomeshwa, unakuja kumtaja Fuad, hivi una akili wewe ?
Wewe mbona kwenye uislamu ni mweupe hivi ?Miaka mingi mingapi ? Qur'an ilikusanywa mwanzo kabisa na Swahaba Abu Bakar, nakala ikaenda kwa Swahaba Umar, Umar aliikabidhi kwa mwanae Hafs, aliposhika hatamu swahaba Uthman, ikachukuliwa toka kwa mtoto wa Swahaba Umar, ambaye alikuwa ameihifadhi, ndio zikaandikwa nakala 5 nyingine na kusambazwa katika miji ile mitano.
Lengo la kuandikwa ni kwa sababu ya vizazi vijavyo kwani kwa wao maswahaba walikuwa wameshaihifadhi moyoni. Kwahiyo angalia unachokiandika, hakikisha unakijua.
Hakuna dini Nyepesi kuijadili huku unakula au umekaa tu kama uislamu,sababu ni dini mpya ,ni dini ambayo Haina msingi thabiti ,ni dini imejengwa kwa uongo, propaganda na historia ya uongo,Weka ushahidi na utuonyeshe hizo tofauti, usije kukimbia tena kama kawaida yako.
Wadanganye wasioujua uislamu na historia yake ,Maandiko yamehifadhiwa ndio maana mpaka viraa kumi vipo na vinasomeshwa, na ziada ya maneno sio Qur'an tu kuhifadhiwa bali mpaka Hadithi za Mtume zimehifadhiwa.
Maana ya kuhifadhiwa ni :
1. Kuhifadhi matini kama ilivyo pokelewa kwa Mtume
2. Uwepo wa sanadi (chain) ya upokezi ambayo haijakatika mpaka kwa mtume
3. Kuthibiti kwa usomaji kama alivyo soma Mtume
4. Uwepo wa viraa
5. Kujulikana kwa lolote la uongo linalo ongezwa au kupunguzwa katika Qur'an
6. Kuhifadhi maana kama alivyo fasiri Mtume, Maswahaba, Wanafunzi wa maswahaba na Maimamu.
Hii ndio maana ya kuhifadhiwa.
Kweli ndio maana MAKOBAZI tunaganyagia mavi chooni lakini majini yanaendea kuswali .DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu
DOGMA ndani ya ukristo
1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo
2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini wakati hakuna andiko linalosema hivyo
3) wameaminishwa kuwa Mungu ana nafsi 3 wakati hakuna andiko linalosema hivyo
4) wameaminishwa kuwa wakiwa na shida wamuombe Yesu wakati hakuna andiko linalosema hivyo
5) wameaminishwa kuwa Yesu ni Mungu wakati Yesu mwenyewe amekana kuwa yeye sio Mungu
6) wameaminishwa kuwa Mungu aligeuka kuwa mtu akacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
7) wameaminishwa kuwa ukristo alianzisha Yesu wakati maandiko na historia zinasema kuwa ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka
8) wameaminishwa kuwa wakifanya ibada wasisujudu wakati maandiko yanawataka wasujudu na manabii wote walikuwa wanasujudu
9) wameaminishwa kuwa Yesu alisurubiwa Kwa ajili ya dhambi zao wakati maandiko yanasema Kila mtu atabeba mzigo wake
10) wameaminishwa kuwa msalaba ni neema Hadi wanavaa shingoni mwao wakati maandiko yanasema msalaba ni laana
11) wameaminishwa kuwa kuoa wake wengi ni kosa wakati hakuna andiko linalosema hivyo
12) wameaminishwa kuwa ukristo ulianzishwa nchini Jerusalem wakati maandiko yanasema ulianzishwa nchini ugiriki
14) wameaminishwa kuwa Injili ni kitabu Cha wakristo wakati hakuna andiko linalosema hivyo
15) wameaminishwa kuwa Paulo ni mtume wakati Yesu alisema yeye ndio mtume wa mwisho katika kizazi Cha Israel
16) wameaminishwa kuwa Jumapili ni siku ya ibada wakati hakuna andiko linalosema hivyo
Wazungu watu wabaya sana
Umeongea vitu vya maana na vya msingi sana lakini ni wachache katika wao watayazingatia. Mkristo yeyote atakayetumia akili yake ataona kuna mambo hayako sawa katika dini yake.DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu
DOGMA ndani ya ukristo
1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo
2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini wakati hakuna andiko linalosema hivyo
3) wameaminishwa kuwa Mungu ana nafsi 3 wakati hakuna andiko linalosema hivyo
4) wameaminishwa kuwa wakiwa na shida wamuombe Yesu wakati hakuna andiko linalosema hivyo
5) wameaminishwa kuwa Yesu ni Mungu wakati Yesu mwenyewe amekana kuwa yeye sio Mungu
6) wameaminishwa kuwa Mungu aligeuka kuwa mtu akacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
7) wameaminishwa kuwa ukristo alianzisha Yesu wakati maandiko na historia zinasema kuwa ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka
8) wameaminishwa kuwa wakifanya ibada wasisujudu wakati maandiko yanawataka wasujudu na manabii wote walikuwa wanasujudu
9) wameaminishwa kuwa Yesu alisurubiwa Kwa ajili ya dhambi zao wakati maandiko yanasema Kila mtu atabeba mzigo wake
10) wameaminishwa kuwa msalaba ni neema Hadi wanavaa shingoni mwao wakati maandiko yanasema msalaba ni laana
11) wameaminishwa kuwa kuoa wake wengi ni kosa wakati hakuna andiko linalosema hivyo
12) wameaminishwa kuwa ukristo ulianzishwa nchini Jerusalem wakati maandiko yanasema ulianzishwa nchini ugiriki
14) wameaminishwa kuwa Injili ni kitabu Cha wakristo wakati hakuna andiko linalosema hivyo
15) wameaminishwa kuwa Paulo ni mtume wakati Yesu alisema yeye ndio mtume wa mwisho katika kizazi Cha Israel
16) wameaminishwa kuwa Jumapili ni siku ya ibada wakati hakuna andiko linalosema hivyo
Wazungu watu wabaya sana
Kwakuwa sisi ni Wakristu, basi tunaamini katika mafundisho ya Ukristu kupitia madhehebu mbalimbali. Wewe ambaye huyaamini ndio maana sio Mkristu.DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu
DOGMA ndani ya ukristo
1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo
2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini wakati hakuna andiko linalosema hivyo
3) wameaminishwa kuwa Mungu ana nafsi 3 wakati hakuna andiko linalosema hivyo
4) wameaminishwa kuwa wakiwa na shida wamuombe Yesu wakati hakuna andiko linalosema hivyo
5) wameaminishwa kuwa Yesu ni Mungu wakati Yesu mwenyewe amekana kuwa yeye sio Mungu
6) wameaminishwa kuwa Mungu aligeuka kuwa mtu akacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
7) wameaminishwa kuwa ukristo alianzisha Yesu wakati maandiko na historia zinasema kuwa ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka
8) wameaminishwa kuwa wakifanya ibada wasisujudu wakati maandiko yanawataka wasujudu na manabii wote walikuwa wanasujudu
9) wameaminishwa kuwa Yesu alisurubiwa Kwa ajili ya dhambi zao wakati maandiko yanasema Kila mtu atabeba mzigo wake
10) wameaminishwa kuwa msalaba ni neema Hadi wanavaa shingoni mwao wakati maandiko yanasema msalaba ni laana
11) wameaminishwa kuwa kuoa wake wengi ni kosa wakati hakuna andiko linalosema hivyo
12) wameaminishwa kuwa ukristo ulianzishwa nchini Jerusalem wakati maandiko yanasema ulianzishwa nchini ugiriki
14) wameaminishwa kuwa Injili ni kitabu Cha wakristo wakati hakuna andiko linalosema hivyo
15) wameaminishwa kuwa Paulo ni mtume wakati Yesu alisema yeye ndio mtume wa mwisho katika kizazi Cha Israel
16) wameaminishwa kuwa Jumapili ni siku ya ibada wakati hakuna andiko linalosema hivyo
Wazungu watu wabaya sana
Hakuna swali mzigo kule.Nenda kajibu maswali mzigo kule ,🤣🤣