DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,392
- 2,599
- Thread starter
- #81
Hakika kabisa mkuu.Kama taifa inabidi tujitafakari Kuna sehemu hatupo sawa ukiangalia mienendo ya taifa letu kiza kinene kipo mbele kuliko mwanga
Hakika kabisa mkuu.Kama taifa inabidi tujitafakari Kuna sehemu hatupo sawa ukiangalia mienendo ya taifa letu kiza kinene kipo mbele kuliko mwanga
Tunapaswa kupambana na adui yetu uoga anaye tusumbua kila siku.Sijui umemielewa?Majitu majinga ambayo hayajitambui unataka uyafanyie nini?Yaache hivyohivyo.
Wananchi wa hayo mataifa ni mara ngapi wameonesha kulikataa jinamizi linalo itwa uoga ? Au wao haliwa tesi ?Niachangia na mm
Mali na burkinafaso na nchi zingine za kimagharib ya Africa wengi wao siyo waoga lkn bado Hali zao Ni mbaya sna kuliko sisi je uoga gani unausema mnk kwa Africa Kuna miamba amabyo hawataki ujinga ila mambo yao yamedoda
Hakika mkuu, sanduku la kura na katiba mpya kamwe haviwezi kubadilisha chochote kutokana na hali ya sasa na hakika njia aliyo pendekeza Tundu Antipas lissu ni miongoni mwa njia bora kabisa ya kuzika umasikini wetu endapo tukiitilia umakini na kuifuata itatupa kwa asilimia kubwa matokeo chanya ya shida zetu.
Sahihi.CCM wanafanya uhalifu makusudi halafu baadaye wanajidai wanaomba maridhiano.Huo ni ujinga na utapeli.Kwa makusudi unaua,unawapa vilema,unapiga,unatesa nk ili uridhiane baadaye?Uko sahihi kabisa, nimesema zaidi ya mara moja humu, maridhiano, sijui miafaka ni kupotezeana tu muda. Machafuko pekee ndio yataleta mabadiliko ya kweli ndani ya nchi hii.
Hakika kuna njia na aina ya siasa ni manufaa kwa watawala dhidi ya watawaliwa miongoni ni hizi siasa za sasa ziitwazo siasa za maridhiano, siasa na harakati mfano azi fanyazo Lissu ni chukizo kwa watawala. kwa kuwa siasa za maridhiano ni siasa zenye chembe nyingi sana za uoga ndani yake dhidi ya watawala lakini siasa azifanyazo Lissu zina kataa hii kasumba ya uoga wa kudai haki bali zina tambua njia ya mapambano ya kujitoa mwili na roho ili kudai haki yako na hii ndio aina ya siasa inayo paswa kuwepo hapa nchini ili kuzika ili jinamizi la uoga linalo pelekea sisi kuwa masikini mpaka sasa kwa kuendelea kuogopa mamlaka katika kudai mageuzi ya taifa hili.Uko sahihi kabisa, nimesema zaidi ya mara moja humu, maridhiano, sijui miafaka ni kupotezeana tu muda. Machafuko pekee ndio yataleta mabadiliko ya kweli ndani ya nchi hii.
Hakika, hauwezi fanya maridhiano na mtu muuaji. maridhiano ni uoga wa kudai haki yako.Sahihi.CCM wanafanya uhalifu makusudi halafu baadaye wanajidai wanaomba maridhiano.Huo ni ujinga na utapeli.Kwa makusudi unaua,unawapa vilema,unapiga,unatesa nk ili uridhiane baadaye?
Amani inayo zalisha uoga na umasikini kila uchwao hilo ni jipu lina paswa kutumbuliwa .Nendeni mkachinjanie huko huko mlipotoka, hpa tanzania tuacheni na amani yetu inatutosha
Hakika kwa asilimia zaidi ya 90% njia za kubembelezana katika kudai kilicho bora kwa watawala zimekwisha fail kilicho baki kwetu sisi watawaliwa ni kutumia njia ya kuzika uoga wetu katika kudai haki ya mageuzi ya taifa letu sasa tunapaswa kuidai bila kubembelezana na watawala.Hoja nzuri, labda tuombe uzoefu kutoka jirani zetu Kenya. Naona kilichobaki ni kudai kwa nguvu.
Hakika, hauwezi fanya maridhiano na mtu muuaji. maridhiano ni uoga wa kudai haki yako.
Kweli kabisa mkuu, uoga wa kudai haki zetu hupelekea sisi kujinyenyekeza kwa watawala hata kama wana tuumiza na kujinyenyekeza huko kume vishwa shela lihitwalo maridhiano .Maridhiano ya kweli huwa yanafanyika kila mtu akiwa ama ana plasta, kavunjika mguu, ama hana jicho. Lakini maridhiano na mtu aliyekupora kila kitu ili atawale bila pressure, huo ni utapeli wa kijinga. Maridhiano ya aina hiyo ambayo mtawala anakupa atakacho na sio kitakiwacho, ni dalili ya uoga kwa anayekandamizwa.
Mkuu nipo kenya kikazi, ninayoyaona hapaAmani inayo zalisha uoga na umasikini kila uchwao hilo ni jipu lina paswa kutumbuliwa .
CCM Sio Tatizo Bali ccm ni laana kwa watanzania.WATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni sisi wenyewe WATANZANIA.
Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na tatizo letu linalopekea umasikini wetu, ambalo tatizo lenyewe hasa ni “UOGA” hili ndilo tatizo sugu linapopelekea umasikini wetu.
Mpaka sasa tumeshindwa kabisa kufanya mageuzi makubwa ya taifa letu na tumebaki kuliacha taifa likiangamia huku kundi dogo la watu wakila minofu ya rasilimali za taifa letu huku kundi kubwa wakipiga miayo tu.
Mpaka sasa tumeshindwa kabisa na tunaendelea kushindwa kufanya mageuzi kama walio fanya Warusi chini ya Vladimir Lenin 1917, Wachina chini ya Mao Zedong 1949, Wafaransa chini ya Maximilien Robespierre 1789, Wamarekani chini ya George Washington 1765, Wairan chini ya Ruhollar Khomeini 1978.
Bado kwa uoga wetu tuna endelea kuamini kuwa mageuzi ya shida zetu yataletwa kwa sanduku la kura huku sanduku hilo likiwa mpaka sasa toka 1961-2022 limeshindwa kutuletea matokea chanya ya matarajio yetu, kiufupi sanduku la kura ni kiini macho kwa Watanzania.
Kama kweli tunataka kuona umasikini unakufa katika taifa letu basi hatuna budi kukubali pia kuzika hofu zetu ndani ya mioyo yetu na kukubali kuiotoa kafara miili yetu kwa ajili ya kuuzika umasikini katika taifa letu, bila kufanya hivyo tutakua hatuna tofauti na Democratic Republic Of Congo [ DRC ] ambao kwa takribani miaka zaidi ya 60 kwa sasa bado hawajajua kuwa wakutatua matatizo yao ni wao wenyewe na wala sio walinda amani wa umoja wa mataifa.
N.b :- Siku zote Watanzania wenzangu haki haiombwi bali haki inapiganiwa.
- Sanduku la kura haliweza kutuleta matokeo chanya ya kupambana na umasikini wetu, sanduku la kura ni kiini macho cha watawala kwa watawaliwa.
Tuchague moja kukubali kuendelea kuishi na uoga wetu huku tukiendelea kuumwagilia mbolea na maji umasikini wetu uli uzidi kumea zaidi katika taifa letu, au tukubali kufanya mageuzi makubwa kama walio fanya Marekani, Urusi, Ufaransa, China, Iran na kupelekea kukata huo mti wa umasikini wetu na kujenga nchi yetu itakayo kuwa na heshima hapa Afrika na dunia kiujumla.
MABADILIKO SIKU ZOTE HAYAJA WAHI KUWA MEPESI, NI HAYO TU KWA LEO NANYI NYOTE MUWE NA SIKU NJEMA.
Hakuna unafuu kwenye dimbwi la umasikini na hatupaswi hata kidogo kujilinganisha na masikini mwenzetu huyo Kenya tunapaswa kuliwazia taifa letu hali ya juu ya kimaisha na sio kuu furahia huu umasikini.Mkuu nipo kenya kikazi, ninayoyaona hapa
Yaani tumshkuru mungu tz tuko vizuri kila nyanja, kuanzia mfumuko, huduma, amani, uzalendo na kadhalika na kadhalika, sio 100% perfect lakini ni nafuu kuliko popote utakapowaza si afrika, ulaya wala us
Si mafuta, chakula, dawa, matibabu na hata usafiri, atayepinga na aje kenya atashuhudia mwenyewe, jamaa wako rough kila eneo,
Hongera sana mama samia na ccm
Uoga ni donda sugu tuna paswa kulitibu sisi wenyewe.CCM Sio Tatizo Bali ccm ni laana kwa watanzania.
Pili Tatizo ni Muungano.
Kweli kabisa mkuu, uoga wa kudai haki zetu hupelekea sisi kujinyenyekeza kwa watawala hata kama wana tuumiza na kujinyenyekeza huko kume vishwa shela lihitwalo maridhiano .