Hakika tunapaswa kuji tafakari na kuchukua hatua stahiki kukomesha hii hari.Naunga mkono hoja kwa 100%. Tatizo kuu la Msingi kwa sisi Watanzania ni UOGA uliokithiri.
Hata hivyo sijui ni nani katuambukiza uoga huu.
Laiti tungekuwa na umoja, ujasiri na uzalendo halisi, haya mauza uza yanayofanywa na Viongozi wetu yasingekuwepo kabisa.
Lakini ipo siku UOGA wote utakwisha.
Mabadiliko yakifika huwa hayana kizuizi.
Mungu mkubwa.
Kweli kabisa, CCM hawapo tayari kwa mapendekezo yote ambayo Chadema wana taka yatekelezwe. 1. Katiba mpya ya wananchi[ hili jambo CCM hawa taki na hawapo tayari na hata katiba itakayo patikana itaendelea kulinda maslahi yao CCM mfano mapendekezo ya kikosi kazi ile yote ndio taswira halisi ya CCM juu ya katiba mpya], 2. Mikutano ya hadhara mpaka leo hii Chadema na vyama vyote vya upinzani vimezuliwa ila CCM wao wana fanya. Yapo mengi tu ambayo CCM wanafanya na kuonesha kuwa taswira nzima ya maridhiano ni usanii mtupu usio na maana yoyote.Nimewapuuza sana uongozi wa CDM kuingia kwenye huo utapeli uitwao maridhiano. Yaani utapeli wa wazi wanashindwa kuuona?!
Nadhan hii imenipa picha kuwa why upinzan hauhangaiki, hawana hamasa tena kama awamu zilizopita, either wamejua, au wameona wanapoteza muda kuipambania jamii isio jitambuaTundu Lissu alijaribu kuwaamsha Wadanganyika kwa maandamano baada ya uchafuzi wa 2000. Alipoona uoga umezidi na hakuna aliyejitokeza, huyoo akapanda pipa kwenda kula maisha Ubelgiji na sidhani kama ana mpango wa kurudi. Inauma sana unapowapigania watu mpaka kuhatarisha maisha yako lakini unaowapigania wapo wapo tu hawajitambui.
Na kwa uoga huu CCM itatawala milele!
Theory yako ndio umefanya tumefika hapa. Tatizo la jamii ya kibongo ikisha zoea hali haibadiliki wala kutaka mabadiliko. Hata wasikie kifu vipi, wataridhika , wameridhika before na wataridhika againSikubaliani na weye mkuu.Tatizo si UOGA.Tatizo ni MUDA.Ndiyo.Do not force a button!Waache Watanzania kwanza waipokee hali.Halafu waache waiishi hali.Na ndiyo walipofikia.Wanaiishi hali.Basi,uwaache hadi wapate kifu/waikinai hali hii wanayoiishi.Utafika tu muda na watapanga kuchagua moja.Kwamba,waendelee na hali hii waliyonayo au waikatae na kufanya maamuzi.Mto wanauona.Ni khiyari ya moyo kwenda kunywa maji au "ku-buy buy time"!Usiwalazimishe.Muda utawaelekeza njia ya uzima.
Dogo ukome sisi kutuita waoga, Mkoloni tumemzomea tu akaachia nchi. Idd Amini tumempiga mpaka akaenda kuokota taka Uarabun!! Na bado tulikuwa Mstari wa mbele kutetea ndugu zetu wa Southkwa uoga wetu tuna endelea kuamini kuwa mageuzi ya shida zetu yataletwa kwa sanduku la kura huku sanduku hilo likiwa mpaka sasa toka 1961-2022 limeshindwa kutuletea matokea chanya ya matarajio yetu, kiufupi sanduku la kura ni kiini macho kwa Watanzania.
Hayo Mapinduzi ni yao hao wazungu! acha kukariri ujinga! siyo unaleta mambo ya kuiga iga tyuuu,,,,,tena ya mwaka 47 hukooo! na sisi tuna yetu ya kisasa na ya aina yake wao ndo wajifunze kwetu! sisi ni waafrica tena wa Brown!Mpaka sasa tumeshindwa kabisa na tunaendelea kushindwa kufanya mageuzi kama walio fanya Warusi chini ya Vladimir Lenin 1917, Wachina chini ya Mao Zedong 1949, Wafaransa chini ya Maximilien Robespierre 1789, Wamarekani chini ya George Washington 1765, Wairan chini ya Ruhollar Khomeini 1978.
Hakika mkuu... watanzania bado tupo kwenye usingizi mzito sana, Haki haiombwi duniani pote, tuipambambanieWATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni sisi wenyewe WATANZANIA.
Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na tatizo letu linalopekea umasikini wetu, ambalo tatizo lenyewe hasa ni “UOGA” hili ndilo tatizo sugu linapopelekea umasikini wetu.
Mpaka sasa tumeshindwa kabisa kufanya mageuzi makubwa ya taifa letu na tumebaki kuliacha taifa likiangamia huku kundi dogo la watu wakila minofu ya rasilimali za taifa letu huku kundi kubwa wakipiga miayo tu.
Mpaka sasa tumeshindwa kabisa na tunaendelea kushindwa kufanya mageuzi kama walio fanya Warusi chini ya Vladimir Lenin 1917, Wachina chini ya Mao Zedong 1949, Wafaransa chini ya Maximilien Robespierre 1789, Wamarekani chini ya George Washington 1765, Wairan chini ya Ruhollar Khomeini 1978.
Bado kwa uoga wetu tuna endelea kuamini kuwa mageuzi ya shida zetu yataletwa kwa sanduku la kura huku sanduku hilo likiwa mpaka sasa toka 1961-2022 limeshindwa kutuletea matokea chanya ya matarajio yetu, kiufupi sanduku la kura ni kiini macho kwa Watanzania.
Kama kweli tunataka kuona umasikini unakufa katika taifa letu basi hatuna budi kukubali pia kuzika hofu zetu ndani ya mioyo yetu na kukubali kuiotoa kafara miili yetu kwa ajili ya kuuzika umasikini katika taifa letu, bila kufanya hivyo tutakua hatuna tofauti na Democratic Republic Of Congo [ DRC ] ambao kwa takribani miaka zaidi ya 60 kwa sasa bado hawajajua kuwa wakutatua matatizo yao ni wao wenyewe na wala sio walinda amani wa umoja wa mataifa.
N.b :- Siku zote Watanzania wenzangu haki haiombwi bali haki inapiganiwa.
- Sanduku la kura haliweza kutuleta matokeo chanya ya kupambana na umasikini wetu, sanduku la kura ni kiini macho cha watawala kwa watawaliwa.
Tuchague moja kukubali kuendelea kuishi na uoga wetu huku tukiendelea kuumwagilia mbolea na maji umasikini wetu uli uzidi kumea zaidi katika taifa letu, au tukubali kufanya mageuzi makubwa kama walio fanya Marekani, Urusi, Ufaransa, China, Iran na kupelekea kukata huo mti wa umasikini wetu na kujenga nchi yetu itakayo kuwa na heshima hapa Afrika na dunia kiujumla.
MABADILIKO SIKU ZOTE HAYAJA WAHI KUWA MEPESI, NI HAYO TU KWA LEO NANYI NYOTE MUWE NA SIKU NJEMA.
Hakika na hiyo ndiyo sheria kuu ya kudai haki duniani kote “ Haki haiombwi bali haki inapiganiwa”.Hakika mkuu... watanzania bado tupo kwenye usingizi mzito sana, Haki haiombwi duniani pote, tuipambambanie
Nani kakwambia sisi ni maskini?,Hakuna unafuu kwenye dimbwi la umasikini na hatupaswi hata kidogo kujilinganisha na masikini mwenzetu huyo Kenya tunapaswa kuliwazia taifa letu hali ya juu ya kimaisha na sio kuu furahia huu umasikini.
Wewe jamaa unamakusudi nyingi sana.... kwamba Tanzania kuna amani gani wakati watanzania wengi ni wafungwa wa fikra,Nani kakwambia sisi ni maskini?,
Uhalisia sisi ni matajiri, tembea ndio utajua ukweli, vinginevyo uhutu na ututsi wenu pelekeni huko huko sisi amani inatutosha,amani tulonayo ni utajiri tosha, msihamasishe wetu kuuwawa ili mfaidike, asipokula huyu atakula yule, hiyo ndio kanuni lazima wawepo wa kula
Bora wale na amani ipo kuliko wasile na vita vishamiri, kama mna hamu ya kupigana nendeni rwanda
Ulivyotaja Urusi, Iran ……. Nimeacha kusomaWATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni sisi wenyewe WATANZANIA.
Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na tatizo letu linalopekea umasikini wetu, ambalo tatizo lenyewe hasa ni “UOGA” hili ndilo tatizo sugu linapopelekea umasikini wetu.
Mpaka sasa tumeshindwa kabisa kufanya mageuzi makubwa ya taifa letu na tumebaki kuliacha taifa likiangamia huku kundi dogo la watu wakila minofu ya rasilimali za taifa letu huku kundi kubwa wakipiga miayo tu.
Mpaka sasa tumeshindwa kabisa na tunaendelea kushindwa kufanya mageuzi kama walio fanya Warusi chini ya Vladimir Lenin 1917, Wachina chini ya Mao Zedong 1949, Wafaransa chini ya Maximilien Robespierre 1789, Wamarekani chini ya George Washington 1765, Wairan chini ya Ruhollar Khomeini 1978.
Bado kwa uoga wetu tuna endelea kuamini kuwa mageuzi ya shida zetu yataletwa kwa sanduku la kura huku sanduku hilo likiwa mpaka sasa toka 1961-2022 limeshindwa kutuletea matokea chanya ya matarajio yetu, kiufupi sanduku la kura ni kiini macho kwa Watanzania.
Kama kweli tunataka kuona umasikini unakufa katika taifa letu basi hatuna budi kukubali pia kuzika hofu zetu ndani ya mioyo yetu na kukubali kuiotoa kafara miili yetu kwa ajili ya kuuzika umasikini katika taifa letu, bila kufanya hivyo tutakua hatuna tofauti na Democratic Republic Of Congo [ DRC ] ambao kwa takribani miaka zaidi ya 60 kwa sasa bado hawajajua kuwa wakutatua matatizo yao ni wao wenyewe na wala sio walinda amani wa umoja wa mataifa.
N.b :- Siku zote Watanzania wenzangu haki haiombwi bali haki inapiganiwa.
- Sanduku la kura haliweza kutuleta matokeo chanya ya kupambana na umasikini wetu, sanduku la kura ni kiini macho cha watawala kwa watawaliwa.
Tuchague moja kukubali kuendelea kuishi na uoga wetu huku tukiendelea kuumwagilia mbolea na maji umasikini wetu uli uzidi kumea zaidi katika taifa letu, au tukubali kufanya mageuzi makubwa kama walio fanya Marekani, Urusi, Ufaransa, China, Iran na kupelekea kukata huo mti wa umasikini wetu na kujenga nchi yetu itakayo kuwa na heshima hapa Afrika na dunia kiujumla.
MABADILIKO SIKU ZOTE HAYAJA WAHI KUWA MEPESI, NI HAYO TU KWA LEO NANYI NYOTE MUWE NA SIKU NJEMA.
Sawa, kwa nini ?Ulivyotaja Urusi, Iran ……. Nimeacha kusoma
Hiyo mifano ya nchi zote nilizo orodhesha nazo waliuwawa tena sana kwa hiyo vifo kwenye mageuzi havihepukiki Jambo la msingi mageuzi yetu yawe na msaada kwa Tanzania nzima kwa vizazi vya sasa na vijavyo.Tatizo bado ni CCM wako tayari kupiga kujeruhi hata kuua ili waendelee kubaki madarakani awamu ya 5 itakumbukwa zaidi kwa kuonyesha rangi halisi ya chama chao.
Mkuu nakubaliana nawe kwa 100% bila kufanya hivyo sasa watatuuza kabisa na sisi kwani madalali wa kuuza raslimali zetu wako kazini kwa nguvu zoteMpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na tatizo letu linalopekea umasikini wetu, ambalo tatizo lenyewe hasa ni “UOGA” hili ndilo tatizo sugu linapopelekea umasikini wetu.
Hakika.Mkuu nakubaliana nawe kwa 100% bila kufanya hivyo sasa watatuuza kabisa na sisi kwani madalali wa kuuza raslimali zetu wako kazini kwa nguvu zote
woga ulijengwa tangu enzi za TAA na TANU na baadaye CCM. Wewe mwenyewe hapo tukikwambia ufanye press usome haya uliyoaandika hapa..... aisee hata kwa mijeredi hutaweza. 🙂Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na tatizo letu linalopekea umasikini wetu, ambalo tatizo lenyewe hasa ni “UOGA” hili ndilo tatizo sugu linapopelekea umasikini wetu.