Dodoso: Tatizo la Tanzania sio CCM

Dodoso: Tatizo la Tanzania sio CCM

WATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni sisi wenyewe WATANZANIA.

Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na tatizo letu linalopekea umasikini wetu, ambalo tatizo lenyewe hasa ni “UOGA” hili ndilo tatizo sugu linapopelekea umasikini wetu.

Mpaka sasa tumeshindwa kabisa kufanya mageuzi makubwa ya taifa letu na tumebaki kuliacha taifa likiangamia huku kundi dogo la watu wakila minofu ya rasilimali za taifa letu huku kundi kubwa wakipiga miayo tu.

Mpaka sasa tumeshindwa kabisa na tunaendelea kushindwa kufanya mageuzi kama walio fanya Warusi chini ya Vladimir Lenin 1917, Wachina chini ya Mao Zedong 1949, Wafaransa chini ya Maximilien Robespierre 1789, Wamarekani chini ya George Washington 1765, Wairan chini ya Ruhollar Khomeini 1978.

Bado kwa uoga wetu tuna endelea kuamini kuwa mageuzi ya shida zetu yataletwa kwa sanduku la kura huku sanduku hilo likiwa mpaka sasa toka 1961-2022 limeshindwa kutuletea matokea chanya ya matarajio yetu, kiufupi sanduku la kura ni kiini macho kwa Watanzania.

Kama kweli tunataka kuona umasikini unakufa katika taifa letu basi hatuna budi kukubali pia kuzika hofu zetu ndani ya mioyo yetu na kukubali kuiotoa kafara miili yetu kwa ajili ya kuuzika umasikini katika taifa letu, bila kufanya hivyo tutakua hatuna tofauti na Democratic Republic Of Congo [ DRC ] ambao kwa takribani miaka zaidi ya 60 kwa sasa bado hawajajua kuwa wakutatua matatizo yao ni wao wenyewe na wala sio walinda amani wa umoja wa mataifa.

N.b :- Siku zote matanzania wenzangu haki haiombwi bali haki inapiganiwa.

- Sanduku la kura haliweza kutuleta matokeo chanya ya kupambana na umasikini wetu, sanduku la kura ni kiini macho cha watawala kwa watawaliwa.

Tuchague moja kukubali kuendelea kuishi na uoga wetu huku tukiendelea kuumwagilia mbolea na maji umasikini wetu uliuzidi kumea zidi katika taifa letu, au tukubali kufanya mageuzi makubwa kama walio fanya Marekani, Urusi, Ufaransa, China, Iran na kupelekea kukata huo mti wa umasikini wetu na kujenga nchi yetu itakayo kuwa na heshima hapa Afrika na dunia kiujumla.

MABADILIKO SIKU ZOTE HAYAJA WAHI KUWA MEPESI, NI HAYO TU KWA LEO NANYI NYOTE MUWE NA SIKU NJEMA.
Huo woga umeletwa na nani kama sio CCM?. HUWEZI KUITOA CCM KWENYE KILA MADUDU YANAYOENDELEA HAPA NCHINI.
 
Naona sana na nafuatiri siasa za nchi hii kwa ukaribu..

Kuhusu katiba mpya ni maigizo tu yanayoendelea.

Ccm haiwezi kubali katiba itakayo ibana kushindwa kutawala...never until nguvu ya umma itokee ama mapinduzi yatokee ndani ya ccm

Ccm sio chama cha siasa bali ni chama dola..inatawala kupitia katiba iliyoundwa kipindi cha chama kimoja.

#MaendeleoHayanaChama
Mfumo uliotumika kukubali Vyama vingi ktk Nchi bila machafuko haujafa.

Overhaul haikwepeki kama tunataka Nchi iendelee kuwepo,

KATIBA mpya usidhani ni movement Kutoka nje ya CCM pekee, kitu hii inatoka ndani ya mfumo wenyewe Ili kuiepusha Nchi isitumbukie ktk machafuko au kurudisha itawalike KIIMLA Kwa muda usojulikana.

KATIBA mpya inabaki ndo njia sahihi.

CCM inawatisha sababu ya Dola iliyo nyuma yake, bt wakiamua inakuwa kama NLD na mambo yanaenda.
 
WATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni sisi wenyewe WATANZANIA.

Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na tatizo letu linalopekea umasikini wetu, ambalo tatizo lenyewe hasa ni “UOGA” hili ndilo tatizo sugu linapopelekea umasikini wetu.

Mpaka sasa tumeshindwa kabisa kufanya mageuzi makubwa ya taifa letu na tumebaki kuliacha taifa likiangamia huku kundi dogo la watu wakila minofu ya rasilimali za taifa letu huku kundi kubwa wakipiga miayo tu.

Mpaka sasa tumeshindwa kabisa na tunaendelea kushindwa kufanya mageuzi kama walio fanya Warusi chini ya Vladimir Lenin 1917, Wachina chini ya Mao Zedong 1949, Wafaransa chini ya Maximilien Robespierre 1789, Wamarekani chini ya George Washington 1765, Wairan chini ya Ruhollar Khomeini 1978.

Bado kwa uoga wetu tuna endelea kuamini kuwa mageuzi ya shida zetu yataletwa kwa sanduku la kura huku sanduku hilo likiwa mpaka sasa toka 1961-2022 limeshindwa kutuletea matokea chanya ya matarajio yetu, kiufupi sanduku la kura ni kiini macho kwa Watanzania.

Kama kweli tunataka kuona umasikini unakufa katika taifa letu basi hatuna budi kukubali pia kuzika hofu zetu ndani ya mioyo yetu na kukubali kuiotoa kafara miili yetu kwa ajili ya kuuzika umasikini katika taifa letu, bila kufanya hivyo tutakua hatuna tofauti na Democratic Republic Of Congo [ DRC ] ambao kwa takribani miaka zaidi ya 60 kwa sasa bado hawajajua kuwa wakutatua matatizo yao ni wao wenyewe na wala sio walinda amani wa umoja wa mataifa.

N.b :- Siku zote matanzania wenzangu haki haiombwi bali haki inapiganiwa.

- Sanduku la kura haliweza kutuleta matokeo chanya ya kupambana na umasikini wetu, sanduku la kura ni kiini macho cha watawala kwa watawaliwa.

Tuchague moja kukubali kuendelea kuishi na uoga wetu huku tukiendelea kuumwagilia mbolea na maji umasikini wetu uliuzidi kumea zidi katika taifa letu, au tukubali kufanya mageuzi makubwa kama walio fanya Marekani, Urusi, Ufaransa, China, Iran na kupelekea kukata huo mti wa umasikini wetu na kujenga nchi yetu itakayo kuwa na heshima hapa Afrika na dunia kiujumla.

MABADILIKO SIKU ZOTE HAYAJA WAHI KUWA MEPESI, NI HAYO TU KWA LEO NANYI NYOTE MUWE NA SIKU NJEMA.
Mkuu mbona bado hujadadavua sawasawa, Je nani anayejenga mazingira ya kuwafanya wananchi kuwa waoga??? Tukipata jibu ndipo tuanzie hapo!
 
Nimekumbuka maneno za Chairman Xi wa china alisema usitegemee watu wa Race nyingine waje kwenu kuwatatulia shida zenu kwani shida zenu/maendeleo yenu mnatakiwa kuyitatua/kujiletea wenyewe na sii mwingine. Tatizo kubwa TZ ni uongozi, Katiba, Mipango na kuzingatia mlichojipangia na isiwe kwa matakwa ya kisiasa na wanaotaka kubaki madarakani. Niliwahi soma mahali kuhusu African presidents kuwa wanapo apa kuchukua madaka ya uongozi, siku ya kwanza ofisini kazi ni kupanga jinsi ya kubaki madarakani at expence of the people of his/her Country.
 
Umegonga utosini..sanduku la kura ni kiini macho..bila nguvu ya umma kuamua na kujitoa mhanga hakuna jipya..sometimes naonaga wavaakobazi wenye itikadikali wako sawa.

#MaendeleoHayanaChama
Hakika mkuu.
 
Kwa wakili yako unadhani ccm watakubali katiba itokanayo na rasimu ya warioba.

Pia katiba haijawahi kuwa suluhisho kama inapuuzwa na watawala..ona tu jinsi hii iliyopo wanavyoikanyaga waziwazi.

#MaendeleoHayanaChama
Hakika katiba mpya itakuwa haina manufaa kama bado jamii ina ukungu mkubwa wa uoga, kwa kuwa pia hiyo katiba mpya nayo inaweza kukanyagwa na bado jamii isifanye chochote kwa kuwa bado donda la uoga wao hawaja litibu.
 
Mleta mada acha kuzunguka zunguka

ukweli kuwa SERA YA UJAMAA NDIO TATIZO LILIPOANZIA

Ujamaa ulitufanya tuwe mabubu tuwe kizazi kisichohoji tuwaogope viongozi hata Kama wanakosea kwakigezo mkubwa hakosei

Nyerere alifanya mengi ila kwenye ujamaa yule mzee alituharibia nchi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ujamaa wa Mwalimu ulileta uoga sawa nakubaliana na wewe, je tuendelee kuukumbatia huu uoga unao chochea zaidi umasikini wetu ?
 
Mkuu mbona bado hujadadavua sawasawa, Je nani anayejenga mazingira ya kuwafanya wananchi kuwa waoga??? Tukipata jibu ndipo tuanzie hapo!
Wananchi wenyewe tuna jijengea hiyo hari ya kuwa waoga kwa kuwa tumekubali kuwa waoga na tumefanya uoga kuwa sehemu ya maisha yetu. hili ni tatizo wakulitibu ni sisi wenyewe.
 
Nimekumbuka maneno za Chairman Xi wa china alisema usitegemee watu wa Race nyingine waje kwenu kuwatatulia shida zenu kwani shida zenu/maendeleo yenu mnatakiwa kuyitatua/kujiletea wenyewe na sii mwingine. Tatizo kubwa TZ ni uongozi, Katiba, Mipango na kuzingatia mlichojipangia na isiwe kwa matakwa ya kisiasa na wanaotaka kubaki madarakani. Niliwahi soma mahali kuhusu African presidents kuwa wanapo apa kuchukua madaka ya uongozi, siku ya kwanza ofisini kazi ni kupanga jinsi ya kubaki madarakani at expence of the people of his/her Country.
Sawa, vipi kuhusu uoga wa sisi Watanzania katika kuchochea umasikini wetu ?
 
Naona sana na nafuatiri siasa za nchi hii kwa ukaribu..

Kuhusu katiba mpya ni maigizo tu yanayoendelea.

Ccm haiwezi kubali katiba itakayo ibana kushindwa kutawala...never until nguvu ya umma itokee ama mapinduzi yatokee ndani ya ccm

Ccm sio chama cha siasa bali ni chama dola..inatawala kupitia katiba iliyoundwa kipindi cha chama kimoja.

#MaendeleoHayanaChama
Hakika mkuu unasema ukweli wa mambo ambao wengi hawataki kuupambanua kiundani zaidi.
 
WATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni sisi wenyewe WATANZANIA.
Mkuu DENG XIAOPING , kwanza naunga mkono hoja, na hata hawa jamaa zangu wanaamini CCM ndio tatizo, nimewaeleza humu, sii mara moja, Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... wala sii mara mbili CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na tatizo letu linalopekea umasikini wetu, ambalo tatizo lenyewe hasa ni “UOGA” hili ndilo tatizo sugu linapopelekea umasikini wetu.
Hapa naomba kuongezea, sio uoga tuu na ujinga! Licha ya CCM kuwa chanzo cha umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi, kwanini CCM bado huwa inashinda chaguzi mbalimbali? na Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?!
Mpaka sasa tumeshindwa kabisa kufanya mageuzi makubwa ya taifa letu na tumebaki kuliacha taifa likiangamia huku kundi dogo la watu wakila minofu ya rasilimali za taifa letu huku kundi kubwa wakipiga miayo tu.
Sababu ni hii Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?! na hii Elections 2015 - Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
N.b :- Siku zote matanzania wenzangu haki haiombwi bali haki inapiganiwa.
Naunga mkono, tatizo ni kukosekana kwa hao wapigania haki miongoni mwetu!.
Tuchague moja kukubali kuendelea kuishi na uoga wetu huku tukiendelea kuumwagilia mbolea na maji umasikini wetu uliuzidi kumea zidi katika taifa letu,
Tumeisha amua kuichagua CCM itutawale milele!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
au tukubali kufanya mageuzi makubwa kama walio fanya Marekani, Urusi, Ufaransa, China, Iran na kupelekea kukata huo mti wa umasikini wetu na kujenga nchi yetu itakayo kuwa na heshima hapa Afrika na dunia kiujumla.

MABADILIKO SIKU ZOTE HAYAJA WAHI KUWA MEPESI, NI HAYO TU KWA LEO NANYI NYOTE MUWE NA SIKU NJEMA.
Tatizo ni hayo mageuzi yafanywe na nani?.
P
 
WATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni sisi wenyewe WATANZANIA.

Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na tatizo letu linalopekea umasikini wetu, ambalo tatizo lenyewe hasa ni “UOGA” hili ndilo tatizo sugu linapopelekea umasikini wetu.

Mpaka sasa tumeshindwa kabisa kufanya mageuzi makubwa ya taifa letu na tumebaki kuliacha taifa likiangamia huku kundi dogo la watu wakila minofu ya rasilimali za taifa letu huku kundi kubwa wakipiga miayo tu.

Mpaka sasa tumeshindwa kabisa na tunaendelea kushindwa kufanya mageuzi kama walio fanya Warusi chini ya Vladimir Lenin 1917, Wachina chini ya Mao Zedong 1949, Wafaransa chini ya Maximilien Robespierre 1789, Wamarekani chini ya George Washington 1765, Wairan chini ya Ruhollar Khomeini 1978.

Bado kwa uoga wetu tuna endelea kuamini kuwa mageuzi ya shida zetu yataletwa kwa sanduku la kura huku sanduku hilo likiwa mpaka sasa toka 1961-2022 limeshindwa kutuletea matokea chanya ya matarajio yetu, kiufupi sanduku la kura ni kiini macho kwa Watanzania.

Kama kweli tunataka kuona umasikini unakufa katika taifa letu basi hatuna budi kukubali pia kuzika hofu zetu ndani ya mioyo yetu na kukubali kuiotoa kafara miili yetu kwa ajili ya kuuzika umasikini katika taifa letu, bila kufanya hivyo tutakua hatuna tofauti na Democratic Republic Of Congo [ DRC ] ambao kwa takribani miaka zaidi ya 60 kwa sasa bado hawajajua kuwa wakutatua matatizo yao ni wao wenyewe na wala sio walinda amani wa umoja wa mataifa.

N.b :- Siku zote matanzania wenzangu haki haiombwi bali haki inapiganiwa.

- Sanduku la kura haliweza kutuleta matokeo chanya ya kupambana na umasikini wetu, sanduku la kura ni kiini macho cha watawala kwa watawaliwa.

Tuchague moja kukubali kuendelea kuishi na uoga wetu huku tukiendelea kuumwagilia mbolea na maji umasikini wetu uliuzidi kumea zidi katika taifa letu, au tukubali kufanya mageuzi makubwa kama walio fanya Marekani, Urusi, Ufaransa, China, Iran na kupelekea kukata huo mti wa umasikini wetu na kujenga nchi yetu itakayo kuwa na heshima hapa Afrika na dunia kiujumla.

MABADILIKO SIKU ZOTE HAYAJA WAHI KUWA MEPESI, NI HAYO TU KWA LEO NANYI NYOTE MUWE NA SIKU NJEMA.
utajua hujui
 
Ukweli mchungu kabisa
 
sasa bro unadhani utaongea vipi kuhusu hii CHADEMA huwezi asilan abadan
wewe endelea kuisakama CHADEMA ukidhani unatibia wagonjwa wako kumbe ndo unawazika. muda ndio jibu lako.
 
1668086398224.png
 
Sikubaliani na weye mkuu.Tatizo si UOGA.Tatizo ni MUDA.Ndiyo.Do not force a button!Waache Watanzania kwanza waipokee hali.Halafu waache waiishi hali.Na ndiyo walipofikia.Wanaiishi hali.Basi,uwaache hadi wapate kifu/waikinai hali hii wanayoiishi.Utafika tu muda na watapanga kuchagua moja.Kwamba,waendelee na hali hii waliyonayo au waikatae na kufanya maamuzi.Mto wanauona.Ni khiyari ya moyo kwenda kunywa maji au "ku-buy buy time"!Usiwalazimishe.Muda utawaelekeza njia ya uzima.
 
WoGA siamini Mana WoGA unazao lake ,kunakitu hujakisema hicho kilikua muhimu Sana "elimu elimu elimu" ccm ilaaniwe kwa kuwanyima watanzania fursa hii ndo zao muhimu lilozalisha woga
 
Back
Top Bottom