Dodoma: Zungu ateuliwa na CCM kuwania kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania

Sisi ni wabaguzi kuliko ubaguzi wenyewe, tunataka wenzetu wakienda nje wapewe nafasi ila sisi ni kero.
Kuna wanajeshi wangapi kwenye jeshi la marekani na uingereza tena wengine ni watanzania tu.
Utasikia mayor mwafrika marekani tena origin yao from somalia.
Obama kawa raisi wa marekani waafrika wakashangilia.
Zungu mtoto wa ilala, japo mimi sijawahi kumkubali ila kutomkubali kwangu si kwa msingi wa race yake.
Kwini point manchukulia marekani na uingerexa..mbona hamsemi kwa wahindi..wachina ama waarabu kama kuna waafirka kwenye serikali zao au majeshi yao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sisi ni wabaguzi kuliko ubaguzi wenyewe, tunataka wenzetu wakienda nje wapewe nafasi ila sisi ni kero.
Kuna wanajeshi wangapi kwenye jeshi la marekani na uingereza tena wengine ni watanzania tu.
Utasikia mayor mwafrika marekani tena origin yao from somalia.
Obama kawa raisi wa marekani waafrika wakashangilia.
Zungu mtoto wa ilala, japo mimi sijawahi kumkubali ila kutomkubali kwangu si kwa msingi wa race yake.
Kwa Nini tuiige marekani na sio China au Japan, au India au Korea,au Urusi au Pakistan, au Iran au Israel.?

Kwa Nini tusiige Marekani kwenye Demokrasia ili tujue kuwa tuna upendo na usawa.?
Kwa Nini tunajifanya wema kwenye kupeana vyeo vya rushwa.
Zungu alituhumiwa kutoa rushwa kwa wajumbe na wametumika sana kuua Demokrasia na kusababisha waafrika wenzetu wanabaguana na kuuana Kwa sababu ya madaraka lakini wao Kwa sababu ya mitandao ya kifedha wanajifanya tuko pamoja lakini hawana shida na wanyonge zaidi ya maslahi yao.

Kama ni Usawa uanzie Kwa watanzania wenzetu wote ili tujue kwamba tunashindana Kwa hoja hata akija Mchina tutamchagua.
Lakini hii mitandao ya kujificha kwenye siasa za Chama Dola ili mambo yawe mepesi huku wazawa halisi wakibebedhwa mizigo ya Sheria Kali hata passport kupata ni tabu halafu tunajifanya wema. Hapana.

Sijaridhishwa na hii kitu.
 
Tunajipendekeza sana kwa hawa magabachori utadhani babu zetu walikua wana watreat right..kumbe washe..zi tu hawa.

I wish ninge kua rais..gabachori wangeipata.

Kwanza hayawapendi swahili yapo kuwanyonya tu..huoni yamejitenga kila kitu kuanzia makazi..elimu..ngozi nyeusi huwezi oa dada zao..hata iweje.

Pili hata kishwahili hayakipendi..basi tu.

Sitangazi chuki ili huu wa kujipendekeza kwa weusi umezidi.
#MaendeleoHayanaChama
UKIWA Rais niteue niwe Waziri Mkuu.
Shughuli itakua pevu.
Walinunua viwanda vyetu wakavifungua wakapeleka kwao na Sasa ndio wanaotuuzia khanga nzito.
Waliua viwanda vya redio vya national Sasa wanatuuzia redio za kutumia miezi miwili Kisha tukanunue Tena kwao.

Waliua mpaka viwanda vya biscuit , Maziwa ,nyama, ngozi, viatu,betri n.k.

Hapana watabaki kama Wageni na tutawapa fursa za biashara sio za kututungia Sheria na kuendelea kula viinua mgongo kila baada ya miaka mitano huku waza wakivinjika migongo Kwa vikokotoo baada ya miaka 35.
Sijawakubali kwenye hali hiyo.
 
Uingereza waziri wa mambo ya ndani na usalama wa taifa ni muhindi
Uingereza hawapeani vyeo ili kupata unafuu wa maisha.
Waingereza Wanapeana uongozi ili kuwapa Waingereza unafuu wa maisha.

Huku ni Wajanja Wanapeana nafasi za uongozi ili mambo yao binafsi yaende vizuri.

Wanajipenyeza kila mahali Kwa namna yoyote na Sasa wanatutengenezea mpaka Sheria.

Sheria nyingi ni za kumkandamiza mnyonge.

Hivi NHC inafaida Gani Kwa Mtanzania mnyonge anayepangisha nyumba Kwa bei mbaya wakati Kuna Wageni wanajinafasi kwenye shirika la Nyumba la Taifa ? matokeo yake watanzania Kwa watanzania tunanyonyana Kwa watu kama yule aliyejenga nyumba mia Tano ili awapangishie Wanyonge. ILALA ndilo Jiji lakini halina stand kubwa ya mabasi,Ina masoko yanayoingiza mabilion ya pesa lakini hayana hata Miundo mbinu ya kisiasa zaidi ya kujengwa na magunia mpaka yanawaka moto.
Hawa hawapo Kwa ajili ya Vijana wa kitanzania waliojazana mitaani wakiwa hawana ajira halafu tunawapa ajira magobachori Toka nje ya nchi Tena bila kufanya uchaguzi badala ya uchafuzi.

Ili hata Mchina agombee basi ni lazima pawe na Demokrasia iliyopevuka sana na uongozi na cheo kiwe ni dhamana na pawe na katiba inayoweka miiko ya uongozi.
Pawe na Uraia Pacha mana tunawabagua watanzania wenzetu wanaoishi Nje wakati tunawakumbatia Wageni ambao Wana kwao na wakienda kwao wanapokekewa na ndio wanaotoa taarifa za kiuchunguzi Kwa nchi yetu na kuhujumu uchumi wetu.
Siku hizi Kuna mpaka Mchele na asali Toka India .Yani Kweli tunaona ni sawa na hatuhujumiwi na Hawa mawakala waliojazana kwenye mifumo na wenye kutumia fedha kuwa karibu na watawala na mihimili iliyopo !!!!!!!
 
Napendekeza Raisi amteue mhindi Mchungaji Vernon fernandes au mkewe wamiliki wa Agape Television yeyote kati yao kuwa mbunge au mkuu wa mkoa au cheo chochote kikubwa

Wahindi wamesahaulika sana teuzi .Nyerere aliwakumbuka sana

Ni kundi lililosahaulika wanahitaji kuweko bungeni na serikalini

Mama Samia watendee haki hivi kweli hakuna hata mhindi mkuu wa wilaya au mbunge sio fair
Wakati wa Nyerere Kuna tofauti ndio maana hata Mawaziri walikuwa ni Vijana wadogo sana ambao kiukweli walishindwa mambo Mengi hasa uchumi zaidi ya kushindana kuvaa suti na vitambi.

Wasomi walikua ni wachache sana na wazawa wengi walikua na umri chini ya miaka 30.
Ilibidi achanganye na wageni. Hata hivyo ilikua ni chachu ya kuanzaishwa Kwa Jeshi wananchi Watanzania. Mpaka Leo Huko JKT hatuwaoni mana kunahitaji Uzalendo wanataka sehemu zenye upenyo wa kupata mafao TU na sio kujitoa kulipigania Taifa .

Baadae wasomi waliongezeka na kuweza kushika idara zote lakini Uraia Pacha ulipingwa mpaka leo.Cha ajabu watanzania ndio wanaoumizwa na Sheria inayokataza Uraia Pacha.
 
Experience anayo Kwa hiyo ni sawa...
Experience gani mkuu.?
Kwanza alittakiwa awe amestaafu Mpaka Sasa.

Wapo akina Chenge Magwiji wa Sheria na Kanuni na ni Watanzania wenzetu wakikata kiinua mgongo wanakigawa kule kwenye jamii kubwa ya Kiafrika na sio kule Kwa Wageni Wanapeana michongo ya kulitafuna bara letu la Afrika.
 
Kwini point manchukulia marekani na uingerexa..mbona hamsemi kwa wahindi..wachina ama waarabu kama kuna waafirka kwenye serikali zao au majeshi yao.

#MaendeleoHayanaChama
Tungeanza kwanza Kulinganisha Domokrasia ya Marekani na ya kwetu ili tulinganishe pia na aina ya watu wanaopata uongozi na wanaupataje!

Unakuta Mkurugenzi Mwafrika kabisa anapewa Rushwa na Mgeni mnyonyaji na Beberu ili apindue matokeo na kumnyima haki Mwafrika Mwenzake Kwa sababu tu ni WA Chama kingine matokeo yake tunachukua Kodi za maskini tunamlimbikizia mkoloni aliyerithi Mali za Babu zao we aliyofanya biashara za kuuza Watumwa na kupora dhahabu na pembe za ndovu.
Tukisema Sasa basi wanasema ubaguzi. Watu wapo Tanzania zaidi ya Karne mbili lakini Bado hata kiswahili hawajui Kwa sababu ya kujitenga na kuwabagua watu weusi kwenye ardhi yao.
 
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.

Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.

View attachment 2113082
Asavali kuna wengine wanataka kuwa masultani kwa kuwajaza watoto wao kila sehemu za uongozi wa nchi hii, AIBU kwao!
 
Back
Top Bottom