Dodoma: Zungu ateuliwa na CCM kuwania kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania

Akafute tozo alizoshirikiana na madelu na hangaya kuzipigia upatu, hadi wakamuingiza chaka ndugai naye akaanza kutoa povu kutetea tozo. Leo hii ndugai wamekula kichwa pamoja na kuwasaidia kutetea tozo.
Z
CCM wanakujali wakati wa shida zao
 
Hivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??

Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!

Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Tunajipendekeza sana kwa hawa magabachori utadhani babu zetu walikua wana watreat right..kumbe washe..zi tu hawa.

I wish ninge kua rais..gabachori wangeipata.

Kwanza hayawapendi swahili yapo kuwanyonya tu..huoni yamejitenga kila kitu kuanzia makazi..elimu..ngozi nyeusi huwezi oa dada zao..hata iweje.

Pili hata kishwahili hayakipendi..basi tu.

Sitangazi chuki ili huu wa kujipendekeza kwa weusi umezidi.
#MaendeleoHayanaChama
 
Hongera Mh Zungu kwa kuteuliwa na CCM nafasi ya naibu spika na obvious kuwa naibu spika. Binafsi namwona Zungu the best candidate katika kapu la wana ccm wote. Mimi siioni ngozi yake kama wasio na hoja wanavyojichanganya.

Tuone utendaji wake na uwezo wa kiuongozi alio nao na political maturity yake. Zungu mzee wangu ni mla rushwa (tuliona clip zake humu wakati wa uchaguzi 2020 akigawa rushwa kwa wapiga kura ili achaguliwe) lakini kwa kuwa rushwa kwa wana CCM sio sifa mbaya tena inayomwondolea sifa mtu kuchaguliwa haidhuru tuliache.

Zungu atakuwa msaada mkubwa kwa muhimilli huu (japo ni jina tu) na msaada kwa Dr Tulia. Zungu ni mzoefu bungeni, anaweza control wabunge na mijadala, na ataweza kazi ya kui protect serikali. Uzoefu wake kama Mwenyekiti wa Bunge utamsaidia.

Anajua kuchimmba bit ikibidi na anajiamini. Pia ana maneno ya uswahili uswahili hivyo ataendana na serikali ya sasa ya kuupinga mwingi. Muhimu pia muhimili una geographical , religion na gender balance.

Mh Zungu katende haki. Kwa umri wako ndilo jambo kuu kwako, familia na Mungu.

Tumpeni support.
 
Naomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu

Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha

Mkuu wa Polisi mkoa wa Kagera aluyeuawa na Idd Amin alikuwa mjerumani mtanzania Hans Pope

Nashukuru mwenyekiti CCM na kamati yako kumteua Zungu ngozi nyeupe kuwa naibu spika

Naomba kwenye teuzi zako wakumbuke wahindi ,waarabu na wazungu nafasi kubwa ni watanzania wenzetu wanachangia mno uchumi wa nchi na hii ni nchi yao

Wahindi,waarabu na wazungu wako kibao lakini mwisho wa teuzi zao nafasi kubwa ilikuwa mwisho kipindi cha Nyerere sio fair rekebisha nakuomba

Ila umeanza vizuri Ngozi nyeupe nao waingie nafasi kubwa

Naomba unikoshe roho hata kumpa mhindi mmoja tu ukuu wa mkoa au cheo chochote
Zungu sio mwarabu wa asilimia zote mia, atakuwa kachanganya damu. Ni mtoto wa ilala.
 
Hongera Mh Zungu kwa kuteuliwa na CCM nafasi ya naibu spika na obvious kuwa naibu spika. Binafsi namwona Zungu the best candidate katika kapu la wana ccm wote. Mimi siioni ngozi yake kama wasio na hoja wanavyojichanganya. Tuone utendaji wake na uwezo wa kiuongozi alio nao na political maturity yake. Zungu mzee wangu ni mla rushwa (tuliona clip zake humu wakati wa uchaguzi 2020 akigawa rushwa kwa wapiga kura ili achaguliwe) lakini kwa kuwa rushwa kwa wana CCM sio sifa mbaya tena inayomwondolea sifa mtu kuchaguliwa haidhuru tuliache. Zungu atakuwa msaada mkubwa kwa muhimilli huu (japo ni jina tu) na msaada kwa Dr Tulia. Zungu ni mzoefu bungeni, anaweza control wabunge na mijadala, na ataweza kazi ya kui protect serikali. Uzoefu wake kama Mwenyekiti wa Bunge utamsaidia. Anajua kuchimmba bit ikibidi na anajiamini. Pia ana maneno ya uswahili uswahili hivyo ataendana na serikali ya sasa ya kuupinga mwingi. Muhimu pia muhimili una geographical , religion na gender balance. Mh Zungu katende haki. Kwa umri wako ndilo jambo kuu kwako, familia na Mungu. Tumpeni support.
CDM wana kula rushwa kabla hata hawajaingia ikulu, wanaendekeza nepotism wakiwa upinzani jiulize wakipewa nchi hali itakuwaje.
 
Hivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??

Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!

Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Sisi ni wabaguzi kuliko ubaguzi wenyewe, tunataka wenzetu wakienda nje wapewe nafasi ila sisi ni kero.
Kuna wanajeshi wangapi kwenye jeshi la marekani na uingereza tena wengine ni watanzania tu.
Utasikia mayor mwafrika marekani tena origin yao from somalia.
Obama kawa raisi wa marekani waafrika wakashangilia.
Zungu mtoto wa ilala, japo mimi sijawahi kumkubali ila kutomkubali kwangu si kwa msingi wa race yake.
 
Hivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??

Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!

Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Acheni ubaguzi. Huyu ni mtanzania na ana haki zote kama mtanzania. Tusibaguane kwa rangi, dini wala kabila.

Imepita hiyo zungu ndiye naibu spika
 
Lowassa ana agenda yake ya ELIMU ELIMU ELIMU alikuwa sahihi sana.

Watanzania tunapaswa kufikiri na kutafuta ukweli kabla kuvamia mada tu kama vile mtu aendavyo uani
 
Hata siwezi amini katika karne hii sisi tunazungumzia rangi ya Zungu badala ya uwezo wake. Pathetic!
 
Acheni ubaguzi. Huyu ni mtanzania na ana haki zote kama mtanzania. Tusibaguane kwa rangi, dini wala kabila.

Imepita hiyo zungu ndiye naibu spika
Sio ubaguzi ni hali halisi.
Walitutawala na kupora rasilimali zetu tangu enzi za utumwa.
Waliwauza Babu zetu kama kuku.
Tukapata uhuru ili rasilimali zetu zituinue mana ni ardhi tuliyoumbiwa watu weusi waliodharauliwa na kudhalilishwa.

Wana Mali walizotuibia tangu Babu zao lakini Bado hawajatosheka wanataka kuendelea kula Kodi zetu kupitia madaraka.
Sio vizuri.

Walipaswa washibe wakae pembeni kama alivyokaa Bilionea aliyesema Ubunge wa Singida Sasa basi inatosha, acha Mtanzania Mwingine naye apate hiyo fursa apate riziki aendeshe maisha.

Uganda unayoiona leo ni Kwa sababu yule Dada alichukua maamuzi magumu ya kuwafukuza wasiostahili na kutaifisha Mali zao.
Hali kadhalika Azimio la Arusha lilitaifisha Mali za wanyonyaji wengi wao wakahisi wanabaguliwa.
Nenda China,Japan, India ,Urusi, Korea n.k. Wageni Wana haki zao kama Wageni.
Ukarimu wetu unatuponza ndio maana hata yule Rais Tulu kabisa anapiga mikwala nchi zote za Ukanda huu mana watu wake tuliwachukulia poa.

Hawa ndio wanaotunga Sheria za kudhoofisha uchumi wetu hasa suala Zima la uzalishaji.
Hivi Unaona ni sawa Kuua kiwanda Cha matairi Arusha Kisha tunanunua matairi China?
Tunaua viwanda vya nguo Kisha tunanunua vitenge na khanga kutoka India.
Tangu lini India wakavaa khanga. Au ndio walinunua vya kwetu Kwa mikakati maalumu na kuvifanya magodown.

Hujui kuwa wanatengeneza mitandao mpaka kwenye mifumo ya kutunga Sheria Kwa namna yoyote?

Mnambagua Mbowe Mwafrika mwenzenu halafu mnajifanya hamna Ubaguzi.Tena ubaguzi usio na tija.
Tanzania Kuna makabila Mangapi?
Kwanini tunaazima watu kutoka nje wakati ya ndani Yana vipaji vyote.
 
China,Japan, India ,Urusi, Korea n.k. Wageni Wana haki zao kama Wageni.

Back
Top Bottom