Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Mbona kama umepanic? Mkuu hizi ni siasa tu, usipandishe kisukari bure ukawapa shida unaowategemea. Relax, sote ni watanzania.Kesho mtafumuliwa, tume ya Taifa ya Uchaguzi imeishatoa utaratibu wa kuchukua fomu hakuna maandamano.