Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Kuna mahali popote Chadema imesema inachokoza mtu?
Haya fanyeni hayo mapokezi yenu sijui kumsindikiza Lissu mnayo andaa uzuri watanzania tumeshaambiwa airuhusiwi kwa sasa na tumeona wote wametii hilo sharti

Nyie mna ideas tofauti mmeamua kucheza kamali na NEC hope all goes well, hila likitokea lolote mamlaka zipo on the record mnachotaka kufanya akiruhusiwi.
 
Haya fanyeni hayo mapokezi yenu sijui kumsindikiza Lissubmnayoanda uzuri watanzania tumeshaambiwa airuhusiwi kwa sasa na tumeona wote wametii hilo sharti

Nyie mna ideas tofauti mmeamua kucheza kamali na NEC hope all goes well, hila likitokea lolote mamlaka zipo on the record mnachotaka kufanya akiruhusiwi.
Mkuu mbona kama unateseka?
 
Wewe Jana uliona CCM walienda watu watatu tu? Fear of Unknown
Alienda raisi, makamu, Bashiru na wapambe wachache sana wangeweza peleka kijiji. TBC wakasema airuhusiwi wanatakiwa watu watatu tu muhimu kuingia ofisi za NEC na umati autakiwi.

Kama nilivyosema goodluck.
 
Imeandikwa wapi?

Hivi kesho si ni siku ya Mapumnziko nanenane ?Au NEC wao hufanya kazi hata siku ya mapumnziko ?Asije akaenda akakuta office zimefungwa.
 
Imeandikwa wapi?
Kasikilize TBC wakati raisi anachukua form walivyokuwa wanaelezea kwanini walioingia ndani ofisi za NEC ni watu watatu tu.

Anyway good morning mnaweza fanya mnavyotaka labda wenzetu mnajua tofauti na tulichotangaziwa jamii na TBC jana.
 
Alienda raisi, makamu, Bashiru na wapambe wachache sana wangeweza peleka kijiji. TBC wakasema airuhusiwi wanatakiwa watu watatu tu muhimu kuingia ofisi za NEC na umati autakiwi.

Kama nilivyosema goodluck.
Sasa huoni hapo walizidi watatu kwa ulivyotaja? Kama ni sheria ya watu watatu si waliivunja?
 
Kasikilize TBC wakati raisi anachukua form walivyokuwa wanaelezea kwanini walioingia ndani ofisi za NEC ni watu watatu tu.

Anyway good morning mnaweza fanya mnavyotaka labda wenzetu mnajua tofauti na tulichotangaziwa jamii na TBC jana.
Acha kutapatapa na uongo.Waliingia watu watatu tu?

By the way vipi TBC inayoendeshwa kwa Kodi za wanachadema pia wataonyesha live Lissu akichukua fomu?
 
Back
Top Bottom