Dodoma: Watu 5 wa Familia moja wauawa

Mauaji yanazidi kwa kasi sana...ndugu zangu tumrudieni Mwenyezi Mungu ili tuwe na upendo. Kwa sasa upendo umekwisha baina yetu, bila Mungu hatuwezi kutatua hili swala!. Eeeh Mwenyezi Mungu tuokoe waja wako..
Hata kama ni Mungu kweli muuwe mama baba watoto na mjukuuu
Hapa kwa IGP anatakiwa afanye kambi na askari wake wote kujua chanzo cha mauaji haya maana mpaka masikio yanataka kuzoea kila wakati kusikia au kusoma habari za mauaji
Inasikitisha sana sana
Hii ni Tanzania yetu wote tutaishi na tutafia hapa ya nn kufanyiana mauaji ya namna hii?
 
Mimi nilishawahi kusema lana ya kuongozwa na mwanamke italitafuna taifa kwa sana tu .

Haya matukio mimi sijawahi kuyasikia hapo kabla ?

Juzi ilikua mwanza wamechinjwa watatu leo tena dodoma ?
 
Huyu kuna siku atasema ijengwe ikulu ya raisi wa machifu.mikoa miwili sasa amaimaliza.nasikia mkoa unaofata ni kagera
#chifu hangaya
#chifu chui jike manka.

Bukoba naskia watamuita ,
#chifu kokubanza
Yaani hapo makao makuu hawajampa u chief Mazengo?
 
Back
Top Bottom