Dodoma ni kutamu jamani

Dodoma ni kutamu jamani

Impact ya wanachuo ipo kwenye miji yote kwamfano hata Mwanza chuo cha SAUT na vingine vikifungwa mjini kunapooza.Sasa kwa Dom chuo cha UDOM pekee kinachukua wanachuo karibia elfu 40 hapo bado sijataja CBE,MIPANGO,HOMBOLO LGTI,ST JOHN,CAPITAL,DECCA,MADINI n.k
Aisee dodoma Ina vyuo vingi mno
 
Sio kwel mkuuu dodoma vitu ghari bana acha kuangalia kwa.upande wako.wewe mfanyabiashara angalia kwa ujumla jamii iliopo na unafanya biashara na watu wa aina gani aisee.

Dodoma imejazwa na wanafunz ambao mmekua mkiwauzia vitu.bei ghari sana ukitofautisha na mkoan DAR alafu usfananishe DAR na mikoa mingne aisee.

Dodoma ni ganzi tu waanafunz watakapoondoka makwao ndo utaelewa nn nakiongea aisee na punguzenI vitu maana sio wote. Watoto wa matajiri halafu watu unaofanya nao biashara ni aslmia kubwa wanafunz na sio wazawa au wenyej wa dodoma.

Hayo ni mawazo yangu mimi MSOMI HURU UGWANZEE
Sijawai ona tofauti
 
Sijawai ona tofauti hata wanafunzi wakiondoka
 
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,

Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,

Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.

Nilianza na upande wa biashara kuko vizuri sana pamechangamka mno pia Kuna fulsa zaidi ya 1000

Pili wenyeji wa huku ni watu wakarimu sana pia ushirikina upo kwa asilimia 5 tu hasaa Hawa warangi na wachaga ndio watundu mno wa ushilikina hapa jijini.

Dodoma hakuna chuma ulete, Dodoma hakuna ujambazi nilishawai fanya biashara pale tegeta nyuki Dar aisee waha pale ni chuma ulete wa kutisha utadhani wote mganga wao mmoja ila kwa dodoma hio hakuna

Jambo linguine nililopendea dodoma bei zao za vitu kwa Sasa hazitofautiani na dar , kwa mfano TV nchi 32 huku ni laki mbili na kumi, vyakula bei ni nzuri, hotel bei ni nzur unapewa na pisi Kali za bule ukibisha njoo bobo nikuelekeze

Pia bar za dodoma ni full vibe aiseee Kila siku ni Bata tu
Changamoto ni ndogo zaidi kwa mfano vumbi na jua Kali mchana ila ikifika usiku nyuzi joto hufika 13 tu Hadi 10 yaani panakua na baridi kalii

Pia kwa upande wa mambo yetu yaleeee pisi kaliii zimejaa watoto wa kimbulu watoto wa kateshii manyara na warangi pia Kuna wasukuma wahaya Kila aina za pisi zimetoka Arusha dar wamejazana mno Dodoma, pia pale mjini Pana vyuo zaidi ya 20 aiseee dodoma imependelewa vyuo ni vingiii mno.

Kuna siku nilikua MAENEO ya general pale watoto wa chuo ni wakali visuu vinashindia mihogo kubana pesa ya bum

Kwa hio ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha

Upande wa majengo malefu yanayojengwa ni hataki, huku midude inajengwa kila kukicha

Pia Kuna arena inajengwa kimyakimya aisee huku mama Samia kaamua kuitemgeneza dodoma pongezi kwake ni hayo tu.

Karibuni dodoma kalibuni muone uzuri wa Jiji wenye chuki mjinyonge
Dodoma kuna ARENA ina jengwa ?! Sijawahi sikia hiyo mkuj
 
Hiyo ni mbwembwe za matangazo. 5 Star Hotel wala huhitaji hata bango maana inajitangaza yenyewe na reservations ni online sio kwa kupiga debe kwa bango. Angalia online ndio haidanganyi.
Wamejitahidi kumbe wako 4 Star. Ila hata 4 Star ratings zinautofauti sana
View attachment 2953193
Wewe tu hata wakiwa mbili mambo Madhuri ni mengi yanakuja
 
TOKA NIMEINGIA MJI WA DODOMA NIMESAHAU KABISA SUALA LA KUTONGOZA NIKIKUTANA NA PISI KALI HUWA NASEMA TU

"JUMAMOSI UNA MUDA TWENDE MSALATO TUKALE NYAMA CHOMA NA WINE KIDOGO"

HACHOMOI NDIYO INAKUA MWISHO WAKE.

CHANGAMOTO KUBWA MJI WA DODOMA KUNA WIMBI LA VIJANA WADOGO WA KIUME KUTUMBUKIA KWENYE WIMBI LA USHOGA NI WENGI MNO MPAKA UNASHANGAA
Kuhusu pisi Kali ni kweli mfuko wko tu ukimpeleka kula kuku wa kuchoma jua ni wako huyo , ila kuhusu ushoga hio nakataa labda iwe wale wa kutoka magomeni wamewafata wateja wao huku , hata hivo ushoga haumpendezi mtu iwe kijana mdogo au Mzee , ushoga ni ushoga tu upigwe vita
 
Mimi kuna kitu cha tofauti nilikiona Dodoma kuliko Dar! Ukienda maeneo mengi ya Dodoma mjini, watu wengi karibu 99% ni wasafi wamevalia nguo nadhifu zilizofuliwa na kuwakaa vizuri alafu wote wana afya njema. Ni nadra kuona "choka mbaya mbavu nje" ukiwa maeneo ya Dodoma mjini tofauti na Dar. Dar popote uendapo utakutana na wachafu na waliokonda mpaka inakatisha tamaa! Unajua pamoja na hali ngumu ya maisha, hakuna mtu anafurahia kuona/kukaa/kukutana/kuzungumza na mtu mchafu na aliyekondakonda mbavu nje (hiyo ni asili). Mtu hata kama ni muovu lakini akionekana nadhifu na ana siha njema uvutia kuongea naye na kujiona hadhi yako imepanda ukiwa karibu naye! Sijui uongozi wa manispaa ya Dodoma hukataza ambao hawajaoga na kuvaa vizuri na waliokondakonda kuonekana mjini hama vipi? Sikuwahi kwenda viunga vya ndani ndani ya Dodoma kuona hali ikoje!
Dar ni kimbilio la wengi waliopoteza maisha.....na ndio mji Tanzania maskini wa kwanza na tajiri wa kwanza wanaishi.....
 
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,

Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,

Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.

Nilianza na upande wa biashara kuko vizuri sana pamechangamka mno pia Kuna fulsa zaidi ya 1000

Pili wenyeji wa huku ni watu wakarimu sana pia ushirikina upo kwa asilimia 5 tu hasaa Hawa warangi na wachaga ndio watundu mno wa ushilikina hapa jijini.

Dodoma hakuna chuma ulete, Dodoma hakuna ujambazi nilishawai fanya biashara pale tegeta nyuki Dar aisee waha pale ni chuma ulete wa kutisha utadhani wote mganga wao mmoja ila kwa dodoma hio hakuna

Jambo linguine nililopendea dodoma bei zao za vitu kwa Sasa hazitofautiani na dar , kwa mfano TV nchi 32 huku ni laki mbili na kumi, vyakula bei ni nzuri, hotel bei ni nzur unapewa na pisi Kali za bule ukibisha njoo bobo nikuelekeze

Pia bar za dodoma ni full vibe aiseee Kila siku ni Bata tu
Changamoto ni ndogo zaidi kwa mfano vumbi na jua Kali mchana ila ikifika usiku nyuzi joto hufika 13 tu Hadi 10 yaani panakua na baridi kalii

Pia kwa upande wa mambo yetu yaleeee pisi kaliii zimejaa watoto wa kimbulu watoto wa kateshii manyara na warangi pia Kuna wasukuma wahaya Kila aina za pisi zimetoka Arusha dar wamejazana mno Dodoma, pia pale mjini Pana vyuo zaidi ya 20 aiseee dodoma imependelewa vyuo ni vingiii mno.

Kuna siku nilikua MAENEO ya general pale watoto wa chuo ni wakali visuu vinashindia mihogo kubana pesa ya bum

Kwa hio ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha

Upande wa majengo malefu yanayojengwa ni hataki, huku midude inajengwa kila kukicha

Pia Kuna arena inajengwa kimyakimya aisee huku mama Samia kaamua kuitemgeneza dodoma pongezi kwake ni hayo tu.

Karibuni dodoma kalibuni muone uzuri wa Jiji wenye chuki mjinyonge
1 (Dar)
2 (Mwz)

Dom
N.k
 
Hio ni kawaida hata mini mingi mikubwa hua Iko hivo , sio kwamba dar ndio kutamu hapana , kwa joto la dar aisee ule mji siuwezi siku Moja nipo kwenye gari maeneo ya daraja la kijazi Ile halufu iliokuwepo pale sijawai isikia dar kuchafu mno
Usiilinganishe Dar na hilo kichaka...
 
SIPAPENDI........kisasa,nkuhungu,bahi road,Area c,Area D,Nala,mlezi,jamatini,ndio pakusifiwa hivi?mbona ukame sijauona ukiusifia?
 
Back
Top Bottom