Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,708
- 51,121
🤣 AlooooohUsiilinganishe Dar na hilo kichaka...
🤣 AlooooohUsiilinganishe Dar na hilo kichaka...
Nenda Dubai ukakutane na ukame , tatizo mna Kali maisha , je unajua ukame wa dodoma ni asilimia ngap , na umesababishwa na nini, endelea kuishi dar kwa mfuga mbwa ,au kwa mama kibongeSIPAPENDI........kisasa,nkuhungu,bahi road,Area c,Area D,Nala,mlezi,jamatini,ndio pakusifiwa hivi?mbona ukame sijauona ukiusifia?
Wewe ndio wa mkoani , mimi nimezaliwa dar na nimesoma dar Hadi maisha yg kiujumla Mali zg nyingi ziko dar, ila kwa Sasa Niko Dom kibiashara taklibani mwaka mmoja , nilichokutana nacho ni tofauti na machoko wale wanaokaaga kuiponda dodoma , nimekuta Pako vizur fulsa ni nyingi , pesa nje njeNdio ujinga wa vijana wa mikoani, mnaponda Dar huku unafahamu bila kuitaja Dar unaonekana mshamba.
Tatizo mshamba unajiona umefika ukute unaishi vikinduUsiilinganishe Dar na hilo kichaka...
Dar kugumuDar ni kimbilio la wengi waliopoteza maisha.....na ndio mji Tanzania maskini wa kwanza na tajiri wa kwanza wanaishi.....
Bora niishi Vikindu,Kibaha, au Boko sio huko Dodoma au huko kwenu MbeyaTatizo mshamba unajiona umefika ukute unaishi vikindu
Wakazi wa Dar tuna kikao. Hawa wageni wanakuja wanatutukana. Muishie Kibaha sasa.Mimi kuna kitu cha tofauti nilikiona Dodoma kuliko Dar! Ukienda maeneo mengi ya Dodoma mjini, watu wengi karibu 99% ni wasafi wamevalia nguo nadhifu zilizofuliwa na kuwakaa vizuri alafu wote wana afya njema. Ni nadra kuona "choka mbaya mbavu nje" ukiwa maeneo ya Dodoma mjini tofauti na Dar. Dar popote uendapo utakutana na wachafu na waliokonda mpaka inakatisha tamaa! Unajua pamoja na hali ngumu ya maisha, hakuna mtu anafurahia kuona/kukaa/kukutana/kuzungumza na mtu mchafu na aliyekondakonda mbavu nje (hiyo ni asili). Mtu hata kama ni muovu lakini akionekana nadhifu na ana siha njema uvutia kuongea naye na kujiona hadhi yako imepanda ukiwa karibu naye! Sijui uongozi wa manispaa ya Dodoma hukataza ambao hawajaoga na kuvaa vizuri na waliokondakonda kuonekana mjini hama vipi? Sikuwahi kwenda viunga vya ndani ndani ya Dodoma kuona hali ikoje!
FamilyDodoma ikifika ijumaa watumishi wengi wanakuwa kama vile wanafunzi wanavyoshangilia likizo ya mid term!! watu full shangwe na mabasi yanajaa yote. Utakuja kuwaona dar siku ya jumapili wanvyorudi Dom kinyonge.
Tafuna uwezavyo, noa dushe hiloKalibu chako ni chako uopoe demu wa kinyiramba wamejaa hapa
Unamshauri nani mm ni mgeni watu nyomi? Au ningemshauri barmaid aliyekuwa ananihudumia maji ya uzima?Ulipaswa kuwapa ushauri palepale
Watu wengi Now wanainjoi mikoani kwao.Huo ushamba wakukimbilia na kuona Dar ndio kila kitu umepitwa na muda nmewahi kuishi Dar miaka 2 na hapajanitoa ushamba ety nione ni bonge la mji ,I feel safe in Dodoma.
Hakika umenena na unajua vizuri Dodoma.Mimi kuna kitu cha tofauti nilikiona Dodoma kuliko Dar! Ukienda maeneo mengi ya Dodoma mjini, watu wengi karibu 99% ni wasafi wamevalia nguo nadhifu zilizofuliwa na kuwakaa vizuri alafu wote wana afya njema. Ni nadra kuona "choka mbaya mbavu nje" ukiwa maeneo ya Dodoma mjini tofauti na Dar. Dar popote uendapo utakutana na wachafu na waliokonda mpaka inakatisha tamaa! Unajua pamoja na hali ngumu ya maisha, hakuna mtu anafurahia kuona/kukaa/kukutana/kuzungumza na mtu mchafu na aliyekondakonda mbavu nje (hiyo ni asili). Mtu hata kama ni muovu lakini akionekana nadhifu na ana siha njema uvutia kuongea naye na kujiona hadhi yako imepanda ukiwa karibu naye! Sijui uongozi wa manispaa ya Dodoma hukataza ambao hawajaoga na kuvaa vizuri na waliokondakonda kuonekana mjini hama vipi? Sikuwahi kwenda viunga vya ndani ndani ya Dodoma kuona hali ikoje!
ChochoteUnamshauri nani mm ni mgeni watu nyomi? Au ningemshauri barmaid aliyekuwa ananihudumia maji ya uzima?
Mimi ni mtoa ushauri nasaha jinsia me , kwa hio hua naandika Yale ninayopostiwa na members wg , kwa hio ule ushauri mnaotoa ndio nae anasomageorge aloyce Kuna Uzi wako hapa uliandika kwamba ulishaliwa tigo mpaka ukakosa mchumba wa TRA.
Swali langu Ni, we ni Mee au kei?
Kabisa mkuuHakika umenena na unajua vizuri Dodoma.
Mama Samia mitano tenanimesoma nilipofika hapo ulipoandika pongezi kwa........ uzi wote ukageuka chai
Dodoma ni nomaaWatu wengi Now wanainjoi mikoani kwao.