Ngoja nikuache maana nimegundua huenda ni mwanachuo huna hata exposure ya Hotel ni nini.... hadi unaleta na hizo ndogondogo kama Rafiki hotel kwenye list ya Hotel...
Bora hata kidogo Midland, Morena na Nashera ni 3 stars na zote hizo nazijua vizuri sababu nafikia mara nyingi na ndio maana nikasema toka mwanzo wana huduma substandard they need to stardadize kama hotel zingine za 3 Star za Dar, Mwanza, Tanga au Arusha ili zilingane na hiyo 3 Star category..ukikua utajiona mjinga sana kwa hiki unachobisha.
Yaani hapa naandika hii coment nipo Morena hotel Morogoro nakuona bonge la kiazi unakomaa kubisha vitu huelewi....maana last week yote nilikua hapo Dom kwenye hizo hotel unazosema..na vile Rainbow ni jirani ndio ilikua nalia bia hapo.
View attachment 2953243
Na hizi za mchana,zingine nilipiga last month nilikua room ya nyuma upande wa swimming pool..na nyingine nipo na kashemeji kako siwezi post
View attachment 2953256View attachment 2953256View attachment 2953257View attachment 2953258View attachment 2953259