kwanza, kwasasa kuna watu wamechanganyana sana, hivyo hujakutana na wenyeji, ni makabila tofauti. hapa hawaishi wagogo tu.Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,
Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,
Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.
Nilianza na upande wa biashara kuko vizuri sana pamechangamka mno pia Kuna fulsa zaidi ya 1000
Pili wenyeji wa huku ni watu wakarimu sana pia ushirikina upo kwa asilimia 5 tu hasaa Hawa warangi na wachaga ndio watundu mno wa ushilikina hapa jijini.
Dodoma hakuna chuma ulete, Dodoma hakuna ujambazi nilishawai fanya biashara pale tegeta nyuki Dar aisee waha pale ni chuma ulete wa kutisha utadhani wote mganga wao mmoja ila kwa dodoma hio hakuna
Jambo linguine nililopendea dodoma bei zao za vitu kwa Sasa hazitofautiani na dar , kwa mfano TV nchi 32 huku ni laki mbili na kumi, vyakula bei ni nzuri, hotel bei ni nzur unapewa na pisi Kali za bule ukibisha njoo bobo nikuelekeze
Pia bar za dodoma ni full vibe aiseee Kila siku ni Bata tu
Changamoto ni ndogo zaidi kwa mfano vumbi na jua Kali mchana ila ikifika usiku nyuzi joto hufika 13 tu Hadi 10 yaani panakua na baridi kalii
Pia kwa upande wa mambo yetu yaleeee pisi kaliii zimejaa watoto wa kimbulu watoto wa kateshii manyara na warangi pia Kuna wasukuma wahaya Kila aina za pisi zimetoka Arusha dar wamejazana mno Dodoma, pia pale mjini Pana vyuo zaidi ya 20 aiseee dodoma imependelewa vyuo ni vingiii mno.
Kuna siku nilikua MAENEO ya general pale watoto wa chuo ni wakali visuu vinashindia mihogo kubana pesa ya bum
Kwa hio ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha
Upande wa majengo malefu yanayojengwa ni hataki, huku midude inajengwa kila kukicha
Pia Kuna arena inajengwa kimyakimya aisee huku mama Samia kaamua kuitemgeneza dodoma pongezi kwake ni hayo tu.
Karibuni dodoma kalibuni muone uzuri wa Jiji wenye chuki mjinyonge
Hiyo sio 5 Star acha kudanganywa. Hamna 5 Star Hotel Dodoma labda wa-upgrade napo itachukua muda, maana hii ilikuaga 3 Star labda wapande hadi 4
Ukishavimaliza hivyo urudi nikutajie na vingine mkuuSikupita ngoja nisevu hii post itanifaa ili jioni nipate kwa kwenda
Soma hiyoUko sahihi Dodoma hamna 5 star hotel
Hiyo ni mbwembwe za matangazo. 5 Star Hotel wala huhitaji hata bango maana inajitangaza yenyewe na reservations ni online sio kwa kupiga debe kwa bango. Angalia online ndio haidanganyi.Soma hiyo
Tatizo hujapitia maisha ya chuo mkuu ,alafu labda we mambo safi njoo dodoma huku kondoa uone pisi za kirangi zinachunga ng'ombe"Visuuu vinashindia mihogo"
Haya Mkuu
Hio ni fiveHiyo ni mbwembwe za matangazo. 5 Star Hotel wala huhitaji hata bango maana inajitangaza yenyewe na reservations ni online sio kwa kupiga debe kwa bango. Angalia online ndio haidanganyi.
Wamejitahidi kumbe wako 4 Star. Ila hata 4 Star ratings zinautofauti sana
View attachment 2953193

We wakuja dar tuulize sie tulizaliwa na kukulia dar nikuelekeze mitaaDodoma ni hapo mjini tu, Dar mkoa mzima ni mjini
We umeondoka kwa matukio huku unaonesha sio raia mwema ,ulimweka mwanafunzi mimbaDodoma nilitokaga ila nimerudi mwaka jana pamekua sana.
Mimi kama mimi sikutoka kwa mazuri hivo sina mood ya kuishi tena pale.
Mkoa fulani unamizizi ya kutokea fasta kwa anayetaka pesa aende dodoma.....afu pia kuna sehemu za kutumia pesa unayo itafuta tofauti na arusha hujui pesa utaila vipi ufurahi.
Kama una elfu 30 hapo mfukoni mwanamke ni huduma ya mpesa unapata fasta.....wa kulala mpaka asubuhi.....elfu 30 yako inaenda kihalali.....kuhusu kuumwa UTI au gono ndio penyewe hata kama ni pisi kali....
Dodoma Enzi nipo mpaka nasepa Maisha club, club 84, royal village, rainbow, malaika lounge, platnum annex, rose garden, nk ilishafungwa.......hotel nashera na morena zilikuwepo.
Bar ni nyingi kama kule fourways nkuhungu, ngongona udom, kito mlezi, n.k
Kuogelea ilikuwa st.gasper.
Ila kwa sasa sipo wala sipataki dom wana wananiita ila sitaki.




Tena zinapishana hapo Dumila km mbio za mwenge,Pamoja na hayo yote kila ikifika Ijumaa v8 zote utazikuta zinakimbilia Dar




WamejioneaSoma hiyo
Unabisha picha imeandikwa "enjoy 5 star experience" wewe unagoogle😆😆 kusoma hujui hata picha huoniHiyo ni mbwembwe za matangazo. 5 Star Hotel wala huhitaji hata bango maana inajitangaza yenyewe na reservations ni online sio kwa kupiga debe kwa bango. Angalia online ndio haidanganyi.
Wamejitahidi kumbe wako 4 Star. Ila hata 4 Star ratings zinautofauti sana
View attachment 2953193
Hapana mkuu sio habari hiyo wala fitina katika biashara na maisha.We umeondoka kwa matukio huku unaonesha sio raia mwema ,ulimweka mwanafunzi mimba![]()
Asante sana Kwa kujazia nyama aiseekwanza, kwasasa kuna watu wamechanganyana sana, hivyo hujakutana na wenyeji, ni makabila tofauti. hapa hawaishi wagogo tu.
pili, biashara Dom ni nzuri sana, kuna fursa.
kwa habari ya chuma ulete, inategemeana upo wapi, nakushauri tu okoka ili Mungu akulinde, kuna warangi wamejaa pale hizo chuma ulete, Mungu tu ndio kimbilio. ila hata wakiiba namna gani, watabakisha kwasababu biashara dom inalipa. kama umeokoka na unatoa fungu la kumi ndio dawa hakuna atakayepiga chumaulete ikakubali.
kwa habari ya majengo na uzuri wa mji, hakuna sehemu kuna ujenzi bora kama dodoma kwa sasa, pamepangwa, nyumba nyingi mpya, paa zinafanana rangi kwani kila eneo limepangiwa rangi yake, na nyumba nyingi ni bora, hakuna za wachovu. nenda ilazo na maeneo mengine utajua hili. na wakimaliza ule mji wa magufuli, itakuwa jiji kubwa kuliko hata windhook ya Namibia.
bei za vitu vyote dodoma ni gharama kuliko dsm na mikoa mingine, dom watu hawajazoea kubembeleza mteja, labda ukute mchaga na mkinga, na hawapendi kupunguza sana bei, unaweza kwenda duka lingine kama vipi.