wamshukuru kweli kweliWana dodoma, mnakila sbb ya kumshukuru JPM milele na milele. Na mseme ameni.
Bila yeye hakuna mwanaccm na taka taka zake ambaye angeweza kufufua huo mkoa.
Dodoma ya 2015 ni tafauti kabisa na 2024. Kuna foleni, kuna trafic lights, kuna hotel na lodge za maana, majengo makubwa yanainuka kila kukicha, miundombinu,ongezeko uwingi wa watu, nk nk. Kiasi sasa ni mji wa kibiashara
#Viva magufuli viva, mzalendo,shujaa, wa kweli
Na mshahara wapandisjeSGR ikianza ndo mtaelewa Dodoma kazi ndo zimewapeleka watu
Pako vizurwamshukuru kweli kweli
Kwa sasa Dom ipo vizuri kwenye mambo mengi ukilinganisha na kabla serikali haijahamia hapo. Nimeishi sana Dom kabla na baada ya serikali kuamia, kazi iliyofanyika ni kubwa watani wa JPM(wagogo) mshukuruni sana JPM.Pako vizur
Samia nae ameendeleza Yale ya magu hongera ykeKwa sasa Dom ipo vizuri kwenye mambo mengi ukilinganisha na kabla serikali haijahamia hapo. Nimeishi sana Dom kabla na baada ya serikali kuamia, kazi iliyofanyika ni kubwa watani wa JPM(wagogo) mshukuruni sana JPM.
Naomba Lucas Mwashambwa afikishe pongezi huku akibubujikwamo na machozi.Samia nae ameendeleza Yale ya magu hongera yke
Ukubwa wa eneo ?Nina kiwanja Dodoma kina hati natafuta mtu mwenye kiwanja Dar anaetaka tubadilishane. Kiwanja kipo Nzuguni karibu na stand ya nane nane kina hati.
Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app

Huo ushamba wakukimbilia na kuona Dar ndio kila kitu umepitwa na muda nmewahi kuishi Dar miaka 2 na hapajanitoa ushamba ety nione ni bonge la
Mujii unaendeleaje kukua semawatu hawasemi ukweri Dodoma vitu ni bei sana Hasamaeneo ya mjini gest ya 10000 ukipata ni Kama za buguruni au keko Dodoma napapendea usafi hapo 🔥 napisi zimekaa kibiashara njoo kwenye vyumba vya kupangisha ohooo 40 50 70 hukuukija unaishu utapapenda ilakama unajitafuta aiseee utakomaasana .musimu kamahuu ukioga maji ya moto jioni au asubuhi ukatoka umesahaukupaka mafuta watu wanawesa sema umejipaka majivu😂😂 jokesAcha uongo eti 3 stars hotel ndio mwisho😀😀 .....Bestern Western City Hotel ni 5 star hotel