george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,031
- Thread starter
- #121
Ulipaswa kuwapa ushauri palepaleMbu walioning'ata raibow na royal wafanye jambo, wapige fumigation otherwise dom pako mukide
Ulipaswa kuwapa ushauri palepaleMbu walioning'ata raibow na royal wafanye jambo, wapige fumigation otherwise dom pako mukide
Jamani kojo kojo kojoooo zinaenda dar kumwaga kojoTena zinapishana hapo Dumila km mbio za mwenge,![]()
😆😆Umewahi kuwasikia wasandawe, warangi na wanyambwa a.k.a wagogo wa manyoni ni weupe wa asili sura zinang'aa wapo natural sio kama wa huku Dar waliojichubua 😂Pisi kali Dom zitoke wapi? Hata pisi za vyuo wenyewe wa kawaida, na washambaa.
Em tuache bhana.![]()
Kuna nini tenaSiyo njema Kabisa aisee
Pamoja mkuuSikupita ngoja nisevu hii post itanifaa ili jioni nipate kwa kwenda
KabisaHehehe Kwa mama saida mjasi wa enzi hizo
Kwenu ipoUko sahihi Dodoma hamna 5 star hotel
MhKumbe
Afu wa dar vidole vyao kama ndizi za kuchoma.....mkorogo umewakataaa😆😆Umewahi kuwasikia wasandawe, warangi na wanyambwa a.k.a wagogo wa manyoni ni weupe wa asili sura zinang'aa wapo natural sio kama wa huku Dar waliojichubua 😂
Rating ya Hotel sio kwa bango, hiyo hata wewe unaweza kujiandikia tu. Hotel ratings sio kama unavyodhani kwenye guest house kuandika self contained au full AC. Jifunze ili usiabike siku za mbeleUnabisha picha imeandikwa "enjoy 5 star experience" wewe unagoogle😆😆 kusoma hujui hata picha huoni
Ndio maana nasema washamba ndio wanaona dar wamefika kama wewe , Sasa kumbe waliopo mikoani na ambao hawaishi dar unaona maisha maisha yamewashinda , sikia siwezi sema mengi dar mimi Nina mijengo yg mitatu mmoja salasala madukani nyingine ipo hapo jirani goba center pale lound about ya kwenda mlimani city upande wa kushoto jirani na msikiti uliza kwa Mzee msuri ni mrangi huyo Mzee ambae ni mjumbe hupo ni jirani yg pia nyingine ipo goms nyuma ya michongomani ni hatua kumi na Tano kufika stand ya goms , Sasa we wa kuja utaniambia niniDar ndio headquarters za kampuni nyingi Tz, Dar ndio kuna bandari inayotegemewa na nchi jirani kwa Import & Export, Dar kuna soko kubwa la Kariakoo ambalo ni tegemezi kwa wafanyabiashara wa jumla na rejareja Tz.
Ni kitu gani utataka dar ukakosa? Natoka zangu usiku saa 8 mjini kwenye harakati zangu napata usafiri affordable mpaka mlangoni kwangu Kibamba.
Mtu umeshindwa kusurvive mjini ukakimbia unaanza kuongea shit kuhusu jiji lilokushinda kuishi.
Omba omba dar wapo Hadi Paris pia wapo ,maisha Kuna madaraja tema mate chini kizazi chako kisije ishiWale omba omba wa dom bado wapo au wazazi kutuma watoto wakaombe pesa.
Hawawezi andika kitu sicho acha chukiRating ya Hotel sio kwa bango, hiyo hata wewe unaweza kujiandikia tu. Hotel ratings sio kama unavyodhani kwenye guest house kuandika self contained au full AC. Jifunze ili usiabike siku za mbele
Afu wa dar vidole vyao kama ndizi za kuchoma.....mkorogo umewakataaa




Hapo kwenye pisi nakuunga mkonoHabari zenu WanaJF mko poa kabisa,
Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,
Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.
Nilianza na upande wa biashara kuko vizuri sana pamechangamka mno pia Kuna fulsa zaidi ya 1000
Pili wenyeji wa huku ni watu wakarimu sana pia ushirikina upo kwa asilimia 5 tu hasaa Hawa warangi na wachaga ndio watundu mno wa ushilikina hapa jijini.
Dodoma hakuna chuma ulete, Dodoma hakuna ujambazi nilishawai fanya biashara pale tegeta nyuki Dar aisee waha pale ni chuma ulete wa kutisha utadhani wote mganga wao mmoja ila kwa dodoma hio hakuna
Jambo linguine nililopendea dodoma bei zao za vitu kwa Sasa hazitofautiani na dar , kwa mfano TV nchi 32 huku ni laki mbili na kumi, vyakula bei ni nzuri, hotel bei ni nzur unapewa na pisi Kali za bule ukibisha njoo bobo nikuelekeze
Pia bar za dodoma ni full vibe aiseee Kila siku ni Bata tu
Changamoto ni ndogo zaidi kwa mfano vumbi na jua Kali mchana ila ikifika usiku nyuzi joto hufika 13 tu Hadi 10 yaani panakua na baridi kalii
Pia kwa upande wa mambo yetu yaleeee pisi kaliii zimejaa watoto wa kimbulu watoto wa kateshii manyara na warangi pia Kuna wasukuma wahaya Kila aina za pisi zimetoka Arusha dar wamejazana mno Dodoma, pia pale mjini Pana vyuo zaidi ya 20 aiseee dodoma imependelewa vyuo ni vingiii mno.
Kuna siku nilikua MAENEO ya general pale watoto wa chuo ni wakali visuu vinashindia mihogo kubana pesa ya bum
Kwa hio ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha
Upande wa majengo malefu yanayojengwa ni hataki, huku midude inajengwa kila kukicha
Pia Kuna arena inajengwa kimyakimya aisee huku mama Samia kaamua kuitemgeneza dodoma pongezi kwake ni hayo tu.
Karibuni dodoma kalibuni muone uzuri wa Jiji wenye chuki mjinyonge
Wako BombaaaUmewahi kuwasikia wasandawe, warangi na wanyambwa a.k.a wagogo wa manyoni ni weupe wa asili sura zinang'aa wapo natural sio kama wa huku Dar waliojichubua
![]()
Kwa wakwe zaoJamani kojo kojo kojoooo zinaenda dar kumwaga kojo
Ziko vizur sanaHapo kwenye pisi nakuunga mkono