george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,031
- Thread starter
- #81
Ha ha haTena aende kwa wajasi wa Humanities kwa chini ivo... Ndio hatarudi alipotoka kabisa mixer mbwambwa za kigogo![]()
Ha ha haTena aende kwa wajasi wa Humanities kwa chini ivo... Ndio hatarudi alipotoka kabisa mixer mbwambwa za kigogo![]()
Hapana mkuu muda wote Pako pambeeUmeenda kipindi cha bunge ndo maana
Ila pisi hakunaUsisahau kwenda udom na nongona na ujasi kuna msosi bei chee
Sasa dar ni ndoto kwa mtu wakuja kama wewe , mimi hakuna sehemu dar naweza pamisi , nimekaa maeneo mengi mno , kuanzia kinondoni kwa masonga Hadi mwananyamala Hadi msasani maandazi load , kawe ukwamani tegeta kwa ndevu uje mikocheni b , sinza ,makumbusho uje tabata maeneo ya Shima , mbezi luisi kabla hata saint Joseph haijajengwa , tuje goba center pale lound about kwenda mlimani city kalibu na msikiti ,Leo mtu Anaona goba pakishua na kipindi kile ukimwambia mtu unakaa goba hakuangalii mala mbili ni bush mixer ngedere tu , mbweni jirani na hospital ya misheni kote nimekaa , ila nyinyi washamba wa dar ndio mnaona mmefika , kule kimala wamejazana mangi kibao mastaarabu hukai kimara temboni kunanuka mavi ya ngo'mbe na nguruwe , mchaga mchafu sana anapokaa anafuga Kila kituKama darajani kwa kijazi pananuka vipi kivukoni ferry? Ila Dar es salaam ni dream ya kila mtu.
Zipo nyingi mnoIla pisi hakuna
Mkuu vipi waswanu, pestana, royal na collina nako ulipitiaBambalaga siku hizi imepoa sana nilienda nikarudi tu rainbow. Huko kwingine ntapita nibadili mazingira kama si mbali maana huwa napendelea jirani na Hotel ninayofikia
Mvua ni nyingi Hadi tumezichoka , kama ni inzi mbona dar wako wengi Hadi kipindupindu lini ulisikia Dom kipindupindu?Kuna inzi wengi Kuliko MBU, na mvua za mchanga
Vizur sana hapo umezidi muelekezaMkuu vipi waswanu, pestana, royal na collina nako ulipitia
Cha maana ndo ulichoonaFulsaFursa utazionaa kweli mkuu kama neno lenyewe hulijui spelling zake
![]()
Moja ya mikoa ambayo sasa naiweka kwenye ratiba zangu nikipata hata pumziko la siku Moja ni dodoma aiseee Kuna sehem Kuna supu ya ulimi ni noma kweli kweliHabari zenu WanaJF mko poa kabisa,
Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,
Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.
Nilianza na upande wa biashara kuko vizuri sana pamechangamka mno pia Kuna fulsa zaidi ya 1000
Pili wenyeji wa huku ni watu wakarimu sana pia ushirikina upo kwa asilimia 5 tu hasaa Hawa warangi na wachaga ndio watundu mno wa ushilikina hapa jijini.
Dodoma hakuna chuma ulete, Dodoma hakuna ujambazi nilishawai fanya biashara pale tegeta nyuki Dar aisee waha pale ni chuma ulete wa kutisha utadhani wote mganga wao mmoja ila kwa dodoma hio hakuna
Jambo linguine nililopendea dodoma bei zao za vitu kwa Sasa hazitofautiani na dar , kwa mfano TV nchi 32 huku ni laki mbili na kumi, vyakula bei ni nzuri, hotel bei ni nzur unapewa na pisi Kali za bule ukibisha njoo bobo nikuelekeze
Pia bar za dodoma ni full vibe aiseee Kila siku ni Bata tu
Changamoto ni ndogo zaidi kwa mfano vumbi na jua Kali mchana ila ikifika usiku nyuzi joto hufika 13 tu Hadi 10 yaani panakua na baridi kalii
Pia kwa upande wa mambo yetu yaleeee pisi kaliii zimejaa watoto wa kimbulu watoto wa kateshii manyara na warangi pia Kuna wasukuma wahaya Kila aina za pisi zimetoka Arusha dar wamejazana mno Dodoma, pia pale mjini Pana vyuo zaidi ya 20 aiseee dodoma imependelewa vyuo ni vingiii mno.
Kuna siku nilikua MAENEO ya general pale watoto wa chuo ni wakali visuu vinashindia mihogo kubana pesa ya bum
Kwa hio ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha
Upande wa majengo malefu yanayojengwa ni hataki, huku midude inajengwa kila kukicha
Pia Kuna arena inajengwa kimyakimya aisee huku mama Samia kaamua kuitemgeneza dodoma pongezi kwake ni hayo tu.
Karibuni dodoma kalibuni muone uzuri wa Jiji wenye chuki mjinyonge


Dar ndio headquarters za kampuni nyingi Tz, Dar ndio kuna bandari inayotegemewa na nchi jirani kwa Import & Export, Dar kuna soko kubwa la Kariakoo ambalo ni tegemezi kwa wafanyabiashara wa jumla na rejareja Tz.Sasa dar ni ndoto kwa mtu wakuja kama wewe , mimi hakuna sehemu dar naweza pamisi , nimekaa maeneo mengi mno , kuanzia kinondoni kwa masonga Hadi mwananyamala Hadi msasani maandazi load , kawe ukwamani tegeta kwa ndevu uje mikocheni b , sinza ,makumbusho uje tabata maeneo ya Shima , mbezi luisi kabla hata saint Joseph haijajengwa , tuje goba center pale lound about kwenda mlimani city kalibu na msikiti ,Leo mtu Anaona goba pakishua na kipindi kile ukimwambia mtu unakaa goba hakuangalii mala mbili ni bush mixer ngedere tu , mbweni jirani na hospital ya misheni kote nimekaa , ila nyinyi washamba wa dar ndio mnaona mmefika , kule kimala wamejazana mangi kibao mastaarabu hukai kimara temboni kunanuka mavi ya ngo'mbe na nguruwe , mchaga mchafu sana anapokaa anafuga Kila kitu
KumbePamoja na hayo yote kila ikifika Ijumaa v8 zote utazikuta zinakimbilia Dar
Uko sahihi Dodoma hamna 5 star hotelHiyo sio 5 Star acha kudanganywa. Hamna 5 Star Hotel Dodoma labda wa-upgrade napo itachukua muda, maana hii ilikuaga 3 Star labda wapande hadi 4
Hehehe Kwa mama saida mjasi wa enzi hizoTena aende kwa wajasi wa Humanities kwa chini ivo... Ndio hatarudi alipotoka kabisa mixer mbwambwa za kigogo![]()
Sikupita ngoja nisevu hii post itanifaa ili jioni nipate kwa kwendaMkuu vipi waswanu, pestana, royal na collina nako ulipitia
habari ya leo To yeyeKumbe