Dodoma ni kutamu jamani

Dodoma ni kutamu jamani

Tunakuja kutia kambi vipi kodi ya nyumba
Dodoma kwa sasa ni kuzuri mimi nimehamia nina kama mwezi nimehamia kikazi, fursa zipo nyingi tu ukituliza kichwa na ukiacha pupa, watu ni wakarimu sana, changamoto ya dodoma ni maji na kodi za nyumba, mfano maeneo yaliyochangamka sana kama makulu, chidachi, ilazo, na mengine mengi nyumba hugusi, ziko juu sana kuanzia 300k per month, alafu kinachoboa zaidi ni terms of payment, lazima ulipie kuanzia miezi 6+ hili ndo tatizo nimeliona dodoma, lakini kwa issues zingine za maisha pako poa, vyakula bei ni moderate tu kama mikoa mingine, mfano, kilo ya mchele saiv ina 2400/= mahindi debe saiv nni 15000/= n.k
 
Ingekuwa inapendeza kama kila nyumba Dodoma ipande miti isiyopungua kumi kulingana na ukubwa wa eneo na kila aliye na jengo la biashara kando ya bara bara bas apande miti kando ya barabara hii ingebadili kabisa hali ya hewa ya Dodoma.
😆😆Hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji...Ingekua Hali ya hewa ndio uzuri wa mji basi Makete,Mafinga,Lushoto,Njombe yangeshakua majiji zamani sana
 
nimshika watoto wa kmbulu na kateshi tuu haahaa najua mwenyewe fursa juu ya fursa.
 
Dodoma fursa kubwa ninayo iona ni kama ukianzisha hardware ya kisasa utauza sana maana kila kona ujenzi unafanyika vifaa vya umeme pia vinauzika sana
 
😆😆Hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji...Ingekua Hali ya hewa ndio uzuri wa mji basi Makete,Mafinga,Lushoto,Njombe yangeshakua majiji zamani sana
Hujamuelewa jamaa, ameongea point ya msingi sana. Dodoma kuna upepo na vumbi jingi mno, kwa kupanda miti pataifanya kuwa sehemu bora zaidi kimiundombinu, hali ya hewa na mandhari.
 
Dodoma ndio jiji linaloongoza Tanzania kwa kuwa na mtandao mpana wa barabara za lami ....Serikali inawapendelea sana ukienda City Centre barabara za vumbi ni za kuhesabu. Alafu pia kwa Tanzania hii nimeona Dodoma tu ndio ambapo barabara zake zimepandwa Miti kwa wingi tena kwa mpangilio maalumu pembeni mwa barabara mfano Morogoro Road,Arusha Road,Udom Road,Nkuhungu Road,VETA Road n.k
 
Kweli kabisa mkuu
 
Dodoma fursa kubwa ninayo iona ni kama ukianzisha hardware ya kisasa utauza sana maana kila kona ujenzi unafanyika vifaa vya umeme pia vinauzika sana
Kalibu uchangamkie fulsa mkuu
 
Dodoma kwa sasa ni kuzuri mimi nimehamia nina kama mwezi nimehamia kikazi, fursa zipo nyingi tu ukituliza kichwa na ukiacha pupa, watu ni wakarimu sana, changamoto ya dodoma ni maji na kodi za nyumba, mfano maeneo yaliyochangamka sana kama makulu, chidachi, ilazo, na mengine mengi nyumba hugusi, ziko juu sana kuanzia 300k per month, alafu kinachoboa zaidi ni terms of payment, lazima ulipie kuanzia miezi 6+ hili ndo tatizo nimeliona dodoma, lakini kwa issues zingine za maisha pako poa, vyakula bei ni moderate tu kama mikoa mingine, mfano, kilo ya mchele saiv ina 2400/= mahindi debe saiv nni 15000/= n.k
Unakuja kupanga huku mkonze mji mpya , nyumba Hadi za 100000
 
Ingekuwa inapendeza kama kila nyumba Dodoma ipande miti isiyopungua kumi kulingana na ukubwa wa eneo na kila aliye na jengo la biashara kando ya bara bara bas apande miti kando ya barabara hii ingebadili kabisa hali ya hewa ya Dodoma.
Kaishi mbeya kama vip
 
Dodoma ikifika ijumaa watumishi wengi wanakuwa kama vile wanafunzi wanavyoshangilia likizo ya mid term!! watu full shangwe na mabasi yanajaa yote. Utakuja kuwaona dar siku ya jumapili wanvyorudi Dom kinyonge.
Na wake zao tunawakaza huku week nzima. Weekend wakija wanachovya kidogo wanasepa. Jumatatu tu babe anakuchek.
Kuna wewe jamaa unakaa Dom, mkeo anafanyia kazi Lugalo (mjeda) analiwa huku kinyama tena kule kule karibu na kwako Kimara.
 
Back
Top Bottom