george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,031
- Thread starter
- #41
Kuna sehemu zinazidiKika mahala kuna uzuri na ubaya wake.
Kuna sehemu zinazidiKika mahala kuna uzuri na ubaya wake.
Huo ushamba wakukimbilia na kuona Dar ndio kila kitu umepitwa na muda nmewahi kuishi Dar miaka 2 na hapajanitoa ushamba ety nione ni bonge la mji ,I feel safe in Dodoma.Kabisaa mkuu Cha muhimu wale wageni wa Jiji dar kule ndio wanaona pa maana , mimi nina nyumba tatu dar ikiwemo goba salasala na goms lakini siwezi ishi huko dar, kabisaa
Ukimwi upo iringa mkuuHUSISAHAU NA UKIMWI WA DODOMA ULIVO MKAVU
Mtu anajiona mjanja kuangalia magari ya wanaume wenzie na migorofa ya kaliakoo nae Hana kajibanza kwenye chumba Cha kupanga kule kwa mtogore , huo ni uchoko fulsa zipo nyingi nje ya dar Kuna vijana wanatajirika Kila kukicha mikoaniHuo ushamba wakukimbilia na kuona Dar ndio kila kitu umepitwa na muda nmewahi kuishi Dar miaka 2 na hapajanitoa ushamba ety nione ni bonge la mji ,I feel safe in Dodoma.
Yupo dangote kule Nigeria achana na machoko wako wa kihindi waliopo tzKwa akili kama hizi tusitarajie black Tanzanians watakuja kuongoza Kwenye top ten of Billionaires katika Taifa hili,
Mimi ni mnyakyusa mbeya uyore mkuu , wewe jeOk umetokea mkoa gani kwani mkuu?
Yani wamezidi kwakweli...hahaahahahahKuna nzi wengi sana dodoma na mmbu, nilifika pale kisasa nikatamani kurudi nilipotoka usiku ule
WE UNA TOFAUTI NA MAGU UNAOMBA MUNGU COVID ITOKEUkimwi upo iringa mkuu
Mie mnyamwanga,currently in Rock cityMimi ni mnyakyusa mbeya uyore mkuu , wewe je
Ok vizur mkuu ila nimezaliwa dar pia nimekulia dar aiseee , kiasili ni huko mbeyaMie mnyamwanga,currently in Rock city
Hizo chukiWE UNA TOFAUTI NA MAGU UNAOMBA MUNGU COVID ITOKE
Ni kawaida tu Sasa watu wana familia zao wataacha kwenda kuwaonaPamoja na hayo yote kila ikifika Ijumaa v8 zote utazikuta zinakimbilia Dar
Katika majiji yote Afrika Mashariki na Kati Dodoma inaongoza kwa usalama wa hali ya juu....sijawahi kusikia tukio lolote kubwa la ujambazi kwamfano uvamizi wa benki, Dodoma hakuna ujambazi
Dodoma hiyo? 🤣Kuna nzi wengi sana dodoma na mmbu, nilifika pale kisasa nikatamani kurudi nilipotoka usiku ule
Acha uongo eti 3 stars hotel ndio mwisho😀😀 .....Bestern Western City Hotel ni 5 star hotelDodoma kiukweli inabadilika sana hadi unaweza potea ramani kama hujaenda muda kidogo. Kuna vibe ndio ila viwanja ni vichache na ni vilevile, hata sura unaweza zikariri hasa kwa vipindi ambavyo hamna bunge...hasa maeneo ya rainbow ambako ndo panabamba sana. Pia kwenye mahotel bado sana yaani ni 3 stars tu ndio mwisho na hata huduma zao haziko standardized. Japo panakua kwa Kasi, Dodoma bado pana standard ya chini kidogo ukilinganisha na Arusha au Mwanza..Dar hata tusiitaje
Kama darajani kwa kijazi pananuka vipi kivukoni ferry? Ila Dar es salaam ni dream ya kila mtu.Hio ni kawaida hata mini mingi mikubwa hua Iko hivo , sio kwamba dar ndio kutamu hapana , kwa joto la dar aisee ule mji siuwezi siku Moja nipo kwenye gari maeneo ya daraja la kijazi Ile halufu iliokuwepo pale sijawai isikia dar kuchafu mno