Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,766
- 14,774
HUSISAHAU NA UKIMWI WA DODOMA ULIVO MKAVU
Hio ni kawaida hata mini mingi mikubwa hua Iko hivo , sio kwamba dar ndio kutamu hapana , kwa joto la dar aisee ule mji siuwezi siku Moja nipo kwenye gari maeneo ya daraja la kijazi Ile halufu iliokuwepo pale sijawai isikia dar kuchafu mnoDodoma ikifika ijumaa watumishi wengi wanakuwa kama vile wanafunzi wanavyoshangilia likizo ya mid term!! watu full shangwe na mabasi yanajaa yote. Utakuja kuwaona dar siku ya jumapili wanvyorudi Dom kinyonge.
Huku Kodi zinaanzia 40000 Hadi 70000 vyumba vya kisasaTunakuja kutia kambi vipi kodi ya nyumba
Hakika Magufuli ametuheshimisha Dodoma ,kias sshv wanaDom hatujakaa kinyonge banaWana dodoma, mnakila sbb ya kumshukuru JPM milele na milele. Na mseme ameni.
Bila yeye hakuna mwanaccm na taka taka zake ambaye angeweza kufufua huo mkoa.
Dodoma ya 2015 ni tafauti kabisa na 2024. Kuna foleni, kuna trafic lights, kuna hotel na lodge za maana, majengo makubwa yanainuka kila kukicha, miundombinu,ongezeko uwingi wa watu, nk nk. Kiasi sasa ni mji wa kibiashara
#Viva magufuli viva, mzalendo,shujaa, wa kweli
Aisee.....ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha
Sio wote mkuuPisi kali ukigusa unaondoka na gono safi.
Nyama choma ukijichanganya
Huko ni hatalii mkuu watoto mixer wazunguUsisahau kwenda udom na nongona na ujasi kuna msosi bei chee
Umeonaaa mkuuUpo sahihi mkuu yote uliyo sema ndo nimekutana nayo![]()
Hapana sio chai mkuuBora leo umetupumzisha Chai!
Najua umependa hio mkuuAisee..
Hii ndo imebeba uzi
Mala ya mwisho kufika ni lini mkuu, ukiwa tayari nikutembeze viwanja au nikupe locationDodoma kiukweli inabadilika sana hadi unaweza potea ramani kama hujaenda muda kidogo. Kuna vibe ndio ila viwanja ni vichache na ni vilevile, hata sura unaweza zikariri hasa kwa vipindi ambavyo hamna bunge...hasa maeneo ya rainbow ambako ndo panabamba sana. Pia kwenye mahotel bado sana yaani ni 3 stars tu ndio mwisho na hata huduma zao haziko standardized. Japo panakua kwa Kasi, Dodoma bado pana standard ya chini kidogo ukilinganisha na Arusha au Mwanza..Dar hata tusiitaje
Nimetoka huko last week...vitaje hapa next time nitembeleeMala ya mwisho kufika ni lini mkuu, ukiwa tayari nikutembeze viwanja au nikupe location
Kabisaa mkuu Cha muhimu wale wageni wa Jiji dar kule ndio wanaona pa maana , mimi nina nyumba tatu dar ikiwemo goba salasala na goms lakini siwezi ishi huko dar, kabisaaUmetembelea na Makulu mzee!? Mji wetu unabadilika ,we are safe ,we are clean hapa nazungumzia usafi wa watu mjini sio mji km mji, sasahv hatuna mpango wakukimbilia Dar wala Mwanza tunataka na wao waje Dodoma
Kwa akili kama hizi tusitarajie black Tanzanians watakuja kuongoza Kwenye top ten of Billionaires katika Taifa hili,Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,
Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,
Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.
Nilianza na upande wa biashara kuko vizuri sana pamechangamka mno pia Kuna fulsa zaidi ya 1000
Pili wenyeji wa huku ni watu wakarimu sana pia ushirikina upo kwa asilimia 5 tu hasaa Hawa warangi na wachaga ndio watundu mno wa ushilikina hapa jijini.
Dodoma hakuna chuma ulete, Dodoma hakuna ujambazi nilishawai fanya biashara pale tegeta nyuki Dar aisee waha pale ni chuma ulete wa kutisha utadhani wote mganga wao mmoja ila kwa dodoma hio hakuna
Jambo linguine nililopendea dodoma bei zao za vitu kwa Sasa hazitofautiani na dar , kwa mfano TV nchi 32 huku ni laki mbili na kumi, vyakula bei ni nzuri, hotel bei ni nzur unapewa na pisi Kali za bule ukibisha njoo bobo nikuelekeze
Pia bar za dodoma ni full vibe aiseee Kila siku ni Bata tu
Changamoto ni ndogo zaidi kwa mfano vumbi na jua Kali mchana ila ikifika usiku nyuzi joto hufika 13 tu Hadi 10 yaani panakua na baridi kalii
Pia kwa upande wa mambo yetu yaleeee pisi kaliii zimejaa watoto wa kimbulu watoto wa kateshii manyara na warangi pia Kuna wasukuma wahaya Kila aina za pisi zimetoka Arusha dar wamejazana mno Dodoma, pia pale mjini Pana vyuo zaidi ya 20 aiseee dodoma imependelewa vyuo ni vingiii mno.
Kuna siku nilikua MAENEO ya general pale watoto wa chuo ni wakali visuu vinashindia mihogo kubana pesa ya bum
Kwa hio ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha
Upande wa majengo malefu yanayojengwa ni hataki, huku midude inajengwa kila kukicha
Pia Kuna arena inajengwa kimyakimya aisee huku mama Samia kaamua kuitemgeneza dodoma pongezi kwake ni hayo tu.
Karibuni dodoma kalibuni muone uzuri wa Jiji wenye chuki mjinyonge
Aisee mkuu Kuna machimbo ni hatalii ukiwa Dom tafuta mtu wa bajaji pale mjini kati mwambie akutembeze viwanja vipya utakuja nishukuruNimetoka huko last week...vitaje hapa next time nitembelee
Kabisa mkuuHakika Magufuli ametuheshimisha Dodoma ,kias sshv wanaDom hatujakaa kinyonge bana