Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Kwa mauaji ya namna hiyo kuna uwezekano mkubwa mkurugenzi alikuwa mzinifu anatembea na mke au kimada wa mtu
Kama ingekuwa maswala ya siasa au itikadi za kidini asingeuwawa kwa namna hiyo.
Uzinifu inawezekana,kuzidiana kete ktk mapesa ya misaada ya waarabu nayo inawekana,katika pesa ambazo zimeleta maafa mengi kwa ndg zetu wa taasisi za kiislamu ni hizi za misaada ya waarabu.na mara nyingi hurushiana AKINA MAIMUNA.
 
Viongozi wa kiislamu watoe amri kuwa mtu Kama Ana wake zaidi ya mmoja mfano Ana wake wanne awape taarifa wote kwa mpigo alipo Kama hatarudi nyumbani ili kuepusha ukware uliopindukia wa vidume vya kiislamu .Asipoaga wote inabidi kesi ipelekwe haraka msikitini na wanawake wote waombe talaka na wote wagawiwe Mali za hicho kidume kiislamu kikware
Akili za Kitoto
 
Sahihi NIDA kule kuna finger print sasa je vp kuhusu DNA? au ukipata finger print unapakuanzia kwenye DNA?
DNA,ni advanced kidogo,kwani inategemea mhalifu Kama kaacha unywele,au kipisi Cha sigara ,katema mate,au kulitokea purukushani kadondosha damu,etc.
Hapo Sasa ndo vinaweza tumika vifaa ya kukusanya sample kwenye crime scene ,lakini Tena bila DNA database ni useless.
As for fingerprint ,hata Kama Kuna database,Kama wahalifu ni profesheni,wanavaa gloves ama watafanya sanitation ya eneo la tukio kabla hawajaondoka
 
Ofisi yake haikuwa na CCTV?
 
Naona wengi wameshikilia uzinzi(ingawa na yeye ni binadamu tu hivyo uwezekano upo) kuna uwezekano pia hao wauaji wanataka ifikiriwe hivyo ili kuondoa mnyororo wa kuwapata iwapo tu ameuawa kwa kitu kisicho na mahusiano na hicho..
Hata hivyo kwa jinsi dunia ilivyoendelea na vile ambavyo Tanzania kumekuwa na haya matukio ya utekaji kuna uhitaji wa CCTV camera kwenye maeneo muhimu hasa yanayotumiwa na umma.inaweza isipunguze matukio moja kwa moja Ila itasaidia kujua tunaanzia wapi linapotokea tukio.
Inna lillahi wa inna illah raju'un.
 
Viongozi wa kiislamu watoe amri kuwa mtu Kama Ana wake zaidi ya mmoja mfano Ana wake wanne awape taarifa wote kwa mpigo alipo Kama hatarudi nyumbani ili kuepusha ukware uliopindukia wa vidume vya kiislamu .Asipoaga wote inabidi kesi ipelekwe haraka msikitini na wanawake wote waombe talaka na wote wagawiwe Mali za hicho kidume kiislamu kikware
Wewe umeambiwa na nani kama huwa hawaagi wake zao wanapoenda kwa Mke mmoja wapi?
 
DNA,ni advanced kidogo,kwani inategemea mhalifu Kama kaacha unywele,au kipisi Cha sigara ,katema mate,au kulitokea purukushani kadondosha damu,etc.
Hapo Sasa ndo vinaweza tumika vifaa ya kukusanya sample kwenye crime scene ,lakini Tena bila DNA database ni useless.
As for fingerprint ,hata Kama Kuna database,Kama wahalifu ni profesheni,wanavaa gloves ama watafanya sanitation ya eneo la tukio kabla hawajaondoka
Lakini mtuhumiwa hapo alifungwa kamba pia kavuliwa kanzu ni sehemu za kutafuta sampuli ya watuhumiwa naamini hata uume watakuwa waliushika wameacha alama hapo
 
Ndio,Kama hawakuvaa gloves ama hawakufuta
 
Waliomteka Ben Saanane? ni watu wasiojulikana
Waliomteka Azory? ni watu wasiojulikana
Waliompiga risasi Lissu? ni watu wasiojulikana
Waliotemka Roma ? ni watu wasiojulikana
Waliomteka Manji? ni watu wasiojulikana
Na huyo miliki wa shule? ni watu wasiojulikana
Kipindi kile Tundu Lissu anapigwa risasi watu walishangilia sana na kesi yake iliisha juu juu huku wameshasahau kuwa kuyaacha yaendelee ni kuhalalisha mauaji ndiyo haya yanayotokea. Utekaji popote pale ni kinyume na sheria sasa vyombo vya usalama vikikaa kimya basi vimeruhusu utekaji.
Mwanamke akikushinda mwache.... sasa kitakachoendelea ni kuwatafuta waliomuua na waliowatuma wakaue.
Damu ya mtu haipotei hivihivi watapatikana tuu
 
Lakini mtuhumiwa hapo alifungwa kamba pia kavuliwa kanzu ni sehemu za kutafuta sampuli ya watuhumiwa naamini hata uume watakuwa waliushika wameacha alama hapo
Kwani jeshi letu la polisi tayari lina kanzidata (database) ya DNA?
Hapo labda watumie finger prints zinaweza kushabiihana na mojawapo ya specimen zilizopo NIDA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom