Dodoma city photo

Mara unasikia Dodoma imejengeka
Unapanda basi kuanza safari
Mara unafika stendi ya nanenane
Unaambiwa ndio umefika stendi kuu
Mara paa! Unadondoka na kuzimia
Unapelekwa hospital kuu ya Dodoma
Unaamuka unauliza uko zahanati gani
Mara unaambiwa upo hospitalkuu dodoma
Mara paa! Unazimia tena
Unapelekwa muhimbili unazinduka
Unazani ulikua unaota
😂😂😂
😃😃😃😃 Acha hizo mkuu. Stendi yenyewe bado inajengwa mkuu, nasikia kutakuwa na stendi nne...
 
Acheni ufala nyie. Dodoma ndio jiji linalokua kwa haraka kuliko Mwanza, Arusha, Mbeya au Tanga. Hata Dsm itapitwa maana serikali inalijenga jiji la Dodoma KWA MAKUSUDI. Tutafutane kwenye huu uzi baada ya miaka mitano muone picha zake.
Tena ungekua muungwana hata ungepiga picha ya jengo la LAPF hapo Makole ukaweka kisha ndio uulize viswali vyako uchwara. Shwaaaiin

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuache masihara,dodoma sehemu za misosi ya maana tena kwa bei chee ni nyingi sana sana,dar unaweza zunguka kutafuta msosi wa maana ukaishia kwa mama niongeze mchuzi nitilie maharage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4792484418_80f4f6feb2_b.jpg

jaman tuweni wakweli eti hili nalo n jiji au jiji la ccm:D:D kwa style hiii kweli waliompiga lissu risasi mgewapatia wapi ka njia yenyewe hata pikipiki tu ni changamoto
 
Mkuu tuache masihara,dodoma sehemu za misosi ya maana tena kwa bei chee ni nyingi sana sana,dar unaweza zunguka kutafuta msosi wa maana ukaishia kwa mama niongeze mchuzi nitilie maharage

Sent using Jamii Forums mobile app
halafu dar hawali maharage sana kama mikoani uku bora ule utumbo wakuku vidaki filigis maana kunahotel baadhi ya vitu kwenye kuku hawauzi. Dar mbona msosi kawaida kutokana na mzunguko mkubwa wa hela tofauti na mikoani kupata 20elfu at a muza madafu kitu cha kawaida tena ni faida
 
sqr.png
:D:D:D:D

hakika kuna tofauti kubwa sana kwenye hili jiji la kutamkwa yaaan "KWANZIA LEO DODOMA NI JIJI" mkulu sijiu alikua anawaza nini:D:D:D ila hongereni maendeleo hayana chama wala ukanda
 
Mara unasikia Dodoma imejengeka
Unapanda basi kuanza safari
Mara unafika stendi ya nanenane
Unaambiwa ndio umefika stendi kuu
Mara paa! Unadondoka na kuzimia
Unapelekwa hospital kuu ya Dodoma
Unaamuka unauliza uko zahanati gani
Mara unaambiwa upo hospitalkuu dodoma
Mara paa! Unazimia tena
Unapelekwa muhimbili unazinduka
Unazani ulikua unaota

We jombaa sio mzima.. wengine tulikanyaga dom 2006 hivyo tukipita saa hii tunaona transformation ya ukweli..

Dom itakuja kuwa jiji la kisasa kuliko yote Tz maana linakuwa kwa plan japo Dar ina league ya peke ake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hqdefault.jpg

dodoma airport siku hii abiria walikua wengi sana ndege zote ziliisha

watu tukawa tunacheza basketball ndege haamnaaa:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Acheni ufala nyie. Dodoma ndio jiji linalokua kwa haraka kuliko Mwanza, Arusha, Mbeya au Tanga. Hata Dsm itapitwa maana serikali inalijenga jiji la Dodoma KWA MAKUSUDI. Tutafutane kwenye huu uzi baada ya miaka mitano muone picha zake.
Tena ungekua muungwana hata ungepiga picha ya jengo la LAPF hapo Makole ukaweka kisha ndio uulize viswali vyako uchwara. Shwaaaiin

Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma onyo kbs!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom