Dodoma city photo

Sitaki kuwa mshabiki, nakuwa mkweli kwa ninachokiona. Majengo ya serikali yanajengwa mangapi hadi iweze kuipita Mwanza kwa muda mfupi kiasi hicho?
Kwa majiji na miji majengo ya serikali huwa hayazidi majengo ya watu wengine wakiongozwa na wawekezaji. Jee unayo takwimu gani inayoonesha wawekezaji watakuwa wengi Dodoma kuliko Mwanza kwa kipindi kifupi unachodai?
Dom labda mwekezaji akawekeze mifugo
 
Kiukweli tuache utani, Dodoma inakuja juu jamani....ila inaweza ipita Mwanza kwa majengo marefu tuu ambayo mengi ni politically ila kwa population na kupanuka Dodoma haiwezi kamwe kuipita Mwanza....Mwanza ni nouma bhana kanda ya ziwa yote inakimbilia Mwanza....
Kwa majengo gan marefu ya kuipita mwanza
 
Wakuu changamkeni,,sasahivi ndo muda wa kununua viwanja dodoma,,Dodoma itakuja badilika tu taratibu,,
Ni muhimu sana kimiliki site Idodomya,,
 
Unajua kujliwaza unahisi, subiri treni ikuharibikie Dodoma ndio utaweza kutofautisha Kati ya Kigoma na Dodoma.
Dodoma bado sana sehemu iliyochanamka aifikishi kilomita 10 unakuta poli na nyumba zimechoka.
 
Hivi kwenye mitandao huwa wagogo hawamo watete kwa nguvu mkoa na jiji lao maana watu wa mikoa mingine wanashambuliaaa hata sion defend ya kutoka dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili hiyo ya kupambana kama vijana wa Arusha, Dar na Mwanza hawana hao pusi wa ccm. Wapo busy wanakula viwavi jeshi a.k.a 'lya mwidebe' wanasubiri uchaguzi ufike wakaichague ccm warudi tena kwenye lya mwidebe.
 
Back
Top Bottom