Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

Polisi wanaua watanzania maeneo ya migodi mikubwa, wanatumbikiza watanzania kwenye cyanide. I don't feel sorry, a good police is a dead one.
 
Kwahiyo miongoni kwa polisi waliompiga lipumba huyo kijana marehemu alikuwepo? Je una hakika gani kwamba huyo kijana polisi aliyeuawa alikuwa anakubaliana na polisi wenzake waliowapiga cuf? Au ukiwa polisi unashikiwa akili kwamba kifanywacho na polisi wore ni lazima ukikubali na kukiona kizuri hate kama unajua ni kibaha? Hakika kijana amekufa kishujaa akitetea uhai wa mtoto asiye na uwezo hata wa kujieleza.

Nifuraha kubwa kwa wananchi walio wengi bila kujali askari alikuwa anafanya nini kutokana na sisi wananchi wengi tomewachoka. Waonevu wauawaji wezi wanapiga ata Dada zetu pole familia kukubali kijana akafanye kazi taasisi iliyokwisha chafuka kama hiyo kwa damu za watu.
 
Kuna watu wana mapepo humu JF. Askari amekufa akijaribu kuokoa maisha ya mtoto na kuzuia jinai halafu wanakuja na kuanza kulinganisha na issue ya maandamano as if askari wote ni sawa. Huo ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa kabisa!

This Corp is a hero. Imagine ungekuwa mama wa huyo mtoto, ungejua namna ya kumshukuru!
 
nifuraha kubwa kwa wananchi walio wengi bila kujali askari alikuwa anafanya nini kutokana na sisi wananchi wengi tomewachoka. Waonevu wauawaji wezi wanapiga ata dada zetu pole familia kukubali kijana akafanye kazi taasisi iliyokwisha chafuka kama hiyo kwa damu za watu.
you are insane ... Period!
 
Imekuwaje hapo Dom?
Intelijensia haikuwepo au?Hata hivo nasema acha wapigwe tu!

Jana nimemsikia Mkulu wanji hii akisema WATU WANASHANGAA NINI LIPUMBA AKIPIGWA NA POLISI???
Na mimi nauliza hivi, WATU WANASHANGAA NINI POLISI AKIUAWA NA WANANCHI?????

This is TIT for TAT. Lazima kitaeleweka tu.

Ndimi zao zinakuwa na immediate impacts
 
Mungu iiweke roho ya marehemu mahali pema peponi aimeeeeni,bwana ametoa na bwana ametwaa
 
Kwanini askari aende peke yake na ameambiawa mapema taarifa ya mtuhumiwa kwamba ni mtu hatari?


pia hii ni dalili kwamba mtuhumiwa kuwa ktk mikono ya police si salama ndio maana jamaa akaamua kupambana.


police tendeni haki kwa raia ili kuondoa chuki dhidi yenu..
 
One day you will follow my word.
Nope! I don't judge indiscrimately as you do!
Everyone will carry his or her burden.

Yes, a lot of police are doing worst things a corp can do, but this guy was doing his job, trying to save life and paid ultimate price. Nothing you say can convince me on this matter (even if another corp kills me today).
He is and will remain a HERO, life saver!
 
Nawashangaa sana watanzania kwa kutoelewa kwamba kuna idadi kubwa ya watu wake wenye matatizo ya akili na vilevi kama bangi na viroba ndio vinachochea hali ya ugonjwa wa akili kwa kuwa na hasira kali hata kwa paka tu.

Huyu muuwaji atakuwa ni mgonjwa wa akili sana akamwatwe asije leta mazara makubwa.
 
kuua asikari police sio ndo utaitoa ccm madarakani au ndo utaingiza chadema au cuf madarakani huo niujinga kuna watu humu wanashabikia kuuwawa kwa police lakini ipo siku watakuja kulia na kusaga meno.mungu mlaze mahara pema asikari wetu ameen!
Mungu sikia viliyo vya wengi mfiche muuwaji asionekane kwakuwa amewafuta macho wengi amen
 
Kwanini askari aende peke yake na ameambiawa mapema taarifa ya mtuhumiwa kwamba ni mtu hatari? pia hii ni dalili kwamba mtuhumiwa kuwa ktk mikono ya police si salama ndio maana jamaa akaamua kupambana.
Siku ukiwa na dharura utajua kwa nini alikimbilia kwenye tukio. Assume mtu amekushikia panga unapiga simu polisi anakwambia ngoja niwakusanye wengine tuje ... He was right!


police tendeni haki kwa raia ili kuondoa chuki dhidi yenu..
Nani kawaloga kuwa polisi wote hawatendi haki? Kama ni issue ya watu kutenda isivyo haki limeingia kila Taasisi. Mbona wanasiasa ambao ni vigogo wa rushwa hawauawi?

Nilitarajia watu tumpongeze kwa kuokoa maisha kwa uhai wake ila naona watu mnapiga porojo tu.
Angelikuwa mtoto wako ndio alikuwa mbioni kuchinjwa sidhani kama ungeandika utumbo huu!
 
Na wachukia sana Polisi ...lakini kwa huyu dogo nimesikitika sana kwa kuzingatia nia aliyokuwa nayo mpaka mauti kumkuta...jamani kweli si Polisi wote wanafurahia kutesa wapinzani,ni nature ya Kazi ya tekeleza kwanza....lalamika baadaye...Dah?!

R.I.P dogo...gone too soon...Kwa kitengo alichokuwa dogo ni dhahiri alikuwa mwanaharakati mzuri sana wa kupinga vitendo vya kikatili.Poleni sana jamani..
 
Nifuraha kubwa kwa wananchi walio wengi bila kujali askari alikuwa anafanya nini kutokana na sisi wananchi wengi tomewachoka. Waonevu wauawaji wezi wanapiga ata Dada zetu pole familia kukubali kijana akafanye kazi taasisi iliyokwisha chafuka kama hiyo kwa damu za watu.

Inaonekana wewe ni mwanasiasa wa kufurahia mauaji. Maneno yako hayana ukweli wowote. Unajikanyaga kanyaga tu na pia hauna busara kabisa.
 
Nope! I don't judge indiscrimately as you do!
Everyone will carry his or her burden.

Yes, a lot of police are doing worst things a corp can do, but this guy was doing his job, trying to save life and paid ultimate price. Nothing you say can convince me on this matter (even if another corp kills me today).
He is and will remain a HERO, life saver!

Still you have time to be convinced under this criminal police in tz.
 
Ndiyo mavuno ya mbegu waliyo panda, imeanza kuota bado mavuno.
 
Mungu sikia viliyo vya wengi mfiche muuwaji asionekane kwakuwa amewafuta macho wengi amen

Yaani unaomba MUNGU amfiche mfuasi wa shetani, ili aendelee kuua? Hivi unajua Kijana wetu ni mwanaharakati wa kupinga mauaji ya Albino?. Sasa mwenzetu ameuawa nawe unataka asikamatwe. kwanza ilitakiwa na wewe ukamatwe ili usiue au kuhifadhi uhalifu. Na hapo ndio utafunzwa neno upendo wa kweli ya MUNGU wetu aliye Mkuu.
 
Huyo mtuhumiwa sababu ameua polisi ndo mana kapata hifadhi kwa raia wema.
 
Inaonekana wewe ni mwanasiasa wa kufurahia mauaji. Maneno yako hayana ukweli wowote. Unajikanyaga kanyaga tu na pia hauna busara kabisa.

Sijawai na sitokuwa mwanasiasa unaona sins busara sababu wewe aujaziba baba au mama kutokana tz police. Good to you not me
 
Back
Top Bottom