Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

mh.tundu lisu popote ulipo.

Kama ulilia juzi na wakati mh mwenyekiti cuf hakuguswa zaidi ya wapambe wake kupewa dicpline kidogo.

Kwa heshima ya mpiganaji akiyekuwa tayari kufa ili kumuokoa mpiga kura wako wa miaka 18 ijayo.naomba kesho uonyeshe machungu kama yale ili tafadhali.nisikuone mnafiki kuliko watu wote bungeni-

watanzania-najua tumetendewa mengi na polisi ,lakini kwa hili naomba tuungane kumuombea shujaa huyu.

Wapo wengi wanaopoteza maisha wakiwa kazini, lakini sababu sisi ni wakurupukaji tunafurahia.bika kujua kuwa inawezekana wanaofariki kama huyu ni wale polisi 5% wanaopedwa na wananchi.

Hembu wooote na tusome wasifu na harakati za kamanda huyu mpaka anafikwa na umauti alikuwa mtu wa namna gani, mtakubaliana na mimi.

R.i.p commonder.

Sote tu mavumbi, kwayo tutayarudia.

asante sana mkuu, naona mungu anakutumia vema.

Ubarikiwe!
 
Naona Kuna baadhi ya watu wanafurahia polisi huyo alivyouwawa ila tambueni siyo polisi wote ni wabaya natambua Kuwa polisi huwa wanatu onea lakini kwa kitendo alichofanyiwa huyu askari siyo cha kibinadamu kabisa
 
Mi naomba mungu ampeleke muuaji huyo akafyeke familia ya mmojawapo nyie mnaopongeza madhambi haya halafu tuone huyo lipumba unayempigia promo atakusaidia nn maana watu wamelewa siasa hata kwenye mambo ya kitaifa. Hao wanasiasa wanasaidia nn kazi kulinyonya taifa tu. Lkn hipo siku umuhimu wao mtakuja kuuona tu maana madharau na maneno ndo zenu lkn vitendo sifuri.
 
Kwanini aende kukamata mtuhumiwa peke yake? Harufu ya rushwa kama si maslahi binafsi au kutaka sifa mbele ya bosi. Haiingii akilini, kwa nn aendepeke yake? Na je alikuwa kazini?
 
Hii ni ripoti ya upande mmoja tena ya polisi wenye kuchakachua taarifa, tusubiri upande mwingine ili tuanzie hapo
 
Juzi Kuna trafik hapo darajani kawe mlalakuwa aliona mtu kapaki piki piki
Na akaingia msituni hapo kuficha silaha
Huyo trafik aliposhtuka akawaita askari
Ndiyo zikaja defenda na askari wakamkamata
Huyo mtu....je asingekamatwa mnajua ni balaa gani lingetokeaa
 
Wengi naona mna maswali juu hili jambo ni kwamba huyu askari alikuwa police kata ambao wanafanya kazi vijijini kwa kushirikiana na watendaji wa vijiji ss mwenye kiti wa kijiji baada kushuudia tukio baya na unyama lililokuwa likifanywa na baba dhidi ya mwanae ndipo kiongozi huyo wa kijiji alipompigia simu askari huyo hili akamuokoe mtoto hasiuwawe kwa kipigo kikali kutoka kwa baba ake baada ya askar kufika eneo la tukio alibisha hodi na kuingia ndani baada ya mahojiano mafupi alimsogelea mtoto aliyekuwa amepigwa vibaya alipompa mgongo mtuhumiwa inasemekana mtuhumia alichukua panga na kufyeka shingo ya askari huyo na ndo ilikuwa mwisho wa uhai wa askari huyo.
 
Siku ukiwa na dharura utajua kwa nini alikimbilia kwenye tukio. Assume mtu amekushikia panga unapiga simu polisi anakwambia ngoja niwakusanye wengine tuje ... He was right!

Nani kawaloga kuwa polisi wote hawatendi haki? Kama ni issue ya watu kutenda isivyo haki limeingia kila Taasisi. Mbona wanasiasa ambao ni vigogo wa rushwa hawauawi?

Nilitarajia watu tumpongeze kwa kuokoa maisha kwa uhai wake ila naona watu mnapiga porojo tu.
Angelikuwa mtoto wako ndio alikuwa mbioni kuchinjwa sidhani kama ungeandika utumbo huu!

Acha kukurupuka na kureply bila kutafakari. comment yangu ilikuwa na ubaya gani hadi wewe uwashwe matako yako?
 
Umeshaandaa wosia? Maana yawezekana kesho usiione wewe. Una akili za maiti zisizoweza hata kuona umesimama wewe. Marehemu!.

Unafikiri mi ni maiti mwenzio? huoni upuuzi unao-coment mpuuzi wewe, ccm ndio waliomtuma huyo jamaa atake kumuua mtt wake? au ndio waliomtuma akamuua mlinda usalama? wacha ujinga wewe..!!
 
Alikuwa ameenda kamata mtuhumiwa. Wakamshambulia na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

Mytake: Askari wasipojirekebisha watauawa sana.

UPDATES:

==============================================
TAARIFA YA POLISI

Marehemu wakati wa uhai wake:
attachment.php

attachment.php

Sasa Naanza Kuwaelewa Na Kukubaliana Na Wale Wabunge Na Wadau Wengine Waliotaka Kufanyike Mabadiliko Makubwa Mno Ktk Jeshi La Polisi.
 
Mungu sikia viliyo vya wengi mfiche muuwaji asionekane kwakuwa amewafuta macho wengi amen

na huyu hapa muuaji mwenyewe... sala yako haikufika
 
Attachments

  • 1423110099537.jpg
    1423110099537.jpg
    101 KB · Views: 333
  • 1423110116745.jpg
    1423110116745.jpg
    92.3 KB · Views: 322
Wewe unayejijua unaitwa kundule unapohamua kuchangia mada unatakiwa uijue kwanza siyo unakurupuka tu kuchangia usilolijua huyu kamanda amejitoa maisha yake kwa ajili ya hako mailaka kweli sisi ni kumwomba mungu amsamehe makosa yake maana kayatoa maisha yake roho ya marehemu ipumzike kwa amani wewe mawazo ya kundule yako kama jina lako tukusamehe maana inaelekea akili yako hap
 
Kwa mujibu wa WAPO radio leo asubuhi, raia mmoja mkaazi wa Chang'ombe, Dodoma, aliyetaka kumuuwa mwanaye wa umri wa miezi 8, amemuuwa askari aliyetaka kumwokoa kichanga huyo. Majirani wa raia huyo walipoona kijana huyo anataka kumchinja mwanae. ndipo polisi aliitwa kumwokoa kichanga huyo. Muuwaji akamchalanga mapanga askari huyo aliyekuja kumwokoa mtoto.

Habari hii inasononesha na kuhuzunisha. Askari huyo kauawa akiwa kazini.

Ila, kwa wakati mwingine polisi wanapouawa vituoni mwao au mitaani baadhi ya wanajamii wanafurahia. Wanaona kuwa wamelipiziwa kisasi kwa matukio ya uonevu, ukiukaji wa haki za binadamu, uawaji ambao polisi wamewatendea raia.

Raia waliouliwa na polisi,polisi wakiwa katika harakati zao za kuvunja haki za binadamu,ni wengi kuliko idadi ya polisi waliouawa. Katika hali kama hii, Tanzania inakuwa haitofautiani pakubwa kisaikolojia na ule mtazamo wa wapelistina dhidi ya askari wa israeli.
 
Hii nchi ina matatizo mengi sana, ila kama IGP unasoma hii chukua hatua, sifuraishwi na nilichokisoma hapa hata kidogo. Haiwezkani Polisi ameuawa halafu watu wanashangilia hata kama ni asilimia ndogo, hii inaonyesha kuwa kuna tatizo kwenye jamii yetu na linatakiwa kupatiwa ufumbuzi sasa hivi, IGP tusaidie kutenganisha jeshi lako na siasa, fanyeni kazi kitaalamu zaidi kuliko kutumika zaidi, wananchi walitakiwa kumsaidia polisi na sio kukimbia baada ya polisi kuuawa.

Kwa wataalamu wa saikolojia, huyu jamaa definitely alikuwa kichaa, kwanini alitaka kumuua mtoto wake mdogo? Jamii ilimsaidia namna gani? Kwanini polisi alienda na watu wawili kwenye mji kama dodoma wenye watu wengi? Kwanini polisi alipigiwa simu kama yeye binafsi bila kumshirikisha mkuu wa kituo? Mtendaji Kata alishindwa hata kuchukua majirani waliompigia simu wakaenda nao? Kwanini walimuacha akimbie baada ya kumuua polisi?

Kuna maswali mengi zaidi ya majibu, polisi ndio maana wanatembea wawili wawili ilikuwaje akaaenda peke yake? Mtendaji kwanini hakupiga simu polisi badala yake akampigia mwenyewe binafsi? Tuache kufanya kazi kwa mazoea tuwe tunafuata safety measures tulizowekewa, taratibu zilizoainishwa zifuatwe maana hata kama ni emergence huwezi kujua tatizo unaloenda kutatua litaspill kiasi gani!

Watu walisema hii nchi watu wote ni vichaa, lakini wengine wakaja na kubisha kuwa hakuna vichaa, hii nchi watu wako frastrated sana kiasi cha kupoteza conscious mind
 
Pole sana mtoto.ila huyo mwingine labda nimuuzie pole yangu.
 
Wengi naona mna maswali juu hili jambo ni kwamba huyu askari alikuwa police kata ambao wanafanya kazi vijijini kwa kushirikiana na watendaji wa vijiji ss mwenye kiti wa kijiji baada kushuudia tukio baya na unyama lililokuwa likifanywa na baba dhidi ya mwanae ndipo kiongozi huyo wa kijiji alipompigia simu askari huyo hili akamuokoe mtoto hasiuwawe kwa kipigo kikali kutoka kwa baba ake baada ya askar kufika eneo la tukio alibisha hodi na kuingia ndani baada ya mahojiano mafupi alimsogelea mtoto aliyekuwa amepigwa vibaya alipompa mgongo mtuhumiwa inasemekana mtuhumia alichukua panga na kufyeka shingo ya askari huyo na ndo ilikuwa mwisho wa uhai wa askari huyo.

RIP askari muelimishaji, ukisoma hii habari (kama ni kweli) unaweza ona askari kufanya kazi katika jamii ili m dilute labda akajisahau!!!

Polisi jamii iwe approach tu Polisi abaki kuwa polisi, iko haja ya kuangalia tena hii dhana
 
Hii nchi ina matatizo mengi sana, ila kama IGP unasoma hii chukua hatua, sifuraishwi na nilichokisoma hapa hata kidogo. Haiwezkani Polisi ameuawa halafu watu wanashangilia hata kama ni asilimia ndogo, hii inaonyesha kuwa kuna tatizo kwenye jamii yetu na linatakiwa kupatiwa ufumbuzi sasa hivi, IGP tusaidie kutenganisha jeshi lako na siasa, fanyeni kazi kitaalamu zaidi kuliko kutumika zaidi, wananchi walitakiwa kumsaidia polisi na sio kukimbia baada ya polisi kuuawa.

Kwa wataalamu wa saikolojia, huyu jamaa definitely alikuwa kichaa, kwanini alitaka kumuua mtoto wake mdogo? Jamii ilimsaidia namna gani? Kwanini polisi alienda na watu wawili kwenye mji kama dodoma wenye watu wengi? Kwanini polisi alipigiwa simu kama yeye binafsi bila kumshirikisha mkuu wa kituo? Mtendaji Kata alishindwa hata kuchukua majirani waliompigia simu wakaenda nao? Kwanini walimuacha akimbie baada ya kumuua polisi?

Kuna maswali mengi zaidi ya majibu, polisi ndio maana wanatembea wawili wawili ilikuwaje akaaenda peke yake? Mtendaji kwanini hakupiga simu polisi badala yake akampigia mwenyewe binafsi? Tuache kufanya kazi kwa mazoea tuwe tunafuata safety measures tulizowekewa, taratibu zilizoainishwa zifuatwe maana hata kama ni emergence huwezi kujua tatizo unaloenda kutatua litaspill kiasi gani!

Watu walisema hii nchi watu wote ni vichaa, lakini wengine wakaja na kubisha kuwa hakuna vichaa, hii nchi watu wako frastrated sana kiasi cha kupoteza conscious mind

Kuna mengine nakuunga mkono ila community policing kuna contact persons ambaye inaonekana alikuwa ndio huyu marehemu so namba zake wanazo kama kianzio cha mchakato, waweza kuta alitoa taarifa then yeye akaamua ku advance kuweka cover akiamini jamii aliyoifundisha wangeweza ku arrest situation Pamoja (ukimuangalia u can see honest and trust in him) badala ya kusubiri nguvu na inawezekana mpaka anafika nguvu ilikuwa bado kufika na situation went out of hands, hapa umuhimu wa handies ndio unapokuja sasa, so inabidi tuangalie pande zote!!!

Raia anabaki kuwa raia tu hata kama ni polisi jamii hawezi kuwa na ujasiri wa ku charge against situation akishaona damu especially ya polisi ambaye ndio walikuwa
wakimtegemea. So kulaumu raia kwa kweli ni kukataa majukumu kwa mlango wa nyuma, let us stand and face reality! !!!

The boy did his job, he was brave and strong only that he wasnt well equiped wud he have a gun???!!
Comming December his history would be different!!!

Kapotea askari haswa wa mfano, hasara kwa jeshi na hasara kwa jamii nzima!!
 
Back
Top Bottom