Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

Watu walio kuwa wanashabikia lipumba na wafuasi wa cuf kupigwa bila hatia,haohao leo ndio wana muonea huruma,au ndio mkuki kwa nguruwe....!!???wa tz tuna takiwa tuwe kitu kimoja kwenye mambo ya msingi kama haya.sio una kuta watu wana tetea mafisadi humu bila kujua wana chochea matatizo
 
Tunaomba Jeshi la polisi likae chili lijitafakari upya!!! Haliwezi kuwalinda watu ambao linauadui nao. Mbona kama lilisharudisha imani kwa wananchi najiuliza inawezekanaje likapoteza imani hiyo ghafla Hivi :-S. Waache kitumikia wanasiasa watumikie wananchi
 
Apumzike kwa Amani Afande ameondoka bado kijana sana
 
Inasikitisha sana with kufurahia Vigo vya wenzao.

Hebu piga picha kuwa huyo jamaa ni ndugu yako kwa maana ya kaka yako, mdogo wako, mtoto wako au hata rafiki au jirani yako wa karibu sana.

Kama kuwa mpinzani ni kuchekelea watumishi wa usalama wakiuawa kwakuwa wanawarushia mabomu ya machozi, risasi za mpira na maji ya Palapala basi tusitarajie kipya maana mtu anayehalalisha uovu kwa kuwa aliwahi kufanyiwa yeye, ndugu yake au rafiki yake hajitambui.

Vijana mnaoshabikia siasa za upinzani mtandaoni mnachafua harakati zone, ccm waliwahi kusema kuwa wapinzani wanafurahia mauaji yahusishayo polisi ili kuifanya serikali ionekane haifai itarudiwa na mwisho mtatuhumiwa kuwa ninyi ndio mnashirikiana na hao waharifu kuwaua polisi.

Badilikeni kifikra.
 
Dogo inaonekana alikua mwanaharakati mzuri, RIP
 
Mwanapropaganda

Inasikitisha sana na kushangaza kuona watu wachache wanafurahia kuuliwa kwa polisi wetu. HALI HII INAONYESHA WAZI KUWA SIASA YA SASA INATUPELEKA PABAYA SANA. KUNAHITAJIKA WANASIASA KUACHA KABISA KUFANYA SHUGHULI ZA KISIASA NA KUTUACHIA AMANI YETU.

TUACHENI CHUKI ZISIZO NA MAANA, TUPENDE WALINZI WETU. TUPENDANENI KAMA MUNGU ANAVYOTUPENDA.

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA. JINA LA BWANA LIBARIKIWE!

MUNGU AWAPE NGUVU WAFIWA PAMOJA NASI SOTE. AMEN
 
Last edited by a moderator:
Ifike mahali humu JF tuwe na busara na hakuna haja ya kuleta uzi hapa kama mtu hana taarifa sahihi kuhusu jambo fulani.
Ukweli ni kwamba askari ameuliwa na mtuhumiwa na cyo wananchi.

Mimi nimeenda sehemu ya tukio na kupata ukweli halisi wa jambo lenyewe.
 
Watu walio kuwa wanashabikia lipumba na wafuasi wa cuf kupigwa bila hatia,haohao leo ndio wana muonea huruma,au ndio mkuki kwa nguruwe....!!???wa tz tuna takiwa tuwe kitu kimoja kwenye mambo ya msingi kama haya.sio una kuta watu wana tetea mafisadi humu bila kujua wana chochea matatizo

Kwahiyo miongoni kwa polisi waliompiga lipumba huyo kijana marehemu alikuwepo? Je una hakika gani kwamba huyo kijana polisi aliyeuawa alikuwa anakubaliana na polisi wenzake waliowapiga cuf?

Au ukiwa polisi unashikiwa akili kwamba kifanywacho na polisi wote ni lazima ukikubali na kukiona kizuri hate kama unajua ni kibaya? Hakika kijana amekufa kishujaa akitetea uhai wa mtoto asiye na uwezo hata wa kujieleza.
 
ndani ya wiki tu vijana wa kilimanjaro wanamalizana tu,sijui ndo coincidence ama kitu gani? yupo yule alichinja mkewe.
na hili pia kamuua wapoti.

Bado na yule askari aliyejipiga risasi za mdomo, duh!!
 
Watu walio kuwa wanashabikia lipumba na wafuasi wa cuf kupigwa bila hatia,haohao leo ndio wana muonea huruma,au ndio mkuki kwa nguruwe....!!???wa tz tuna takiwa tuwe kitu kimoja kwenye mambo ya msingi kama haya.sio una kuta watu wana tetea mafisadi humu bila kujua wana chochea matatizo

Bora Lipumba kumbuka ya Mwangosi
 
Ifike mahali humu JF tuwe na busara na hakuna haja ya kuleta uzi hapa kama mtu hana taarifa sahihi kuhusu jambo fulani.
Ukweli ni kwamba askari ameuliwa na mtuhumiwa na cyo wananchi.
Mimi nimeenda sehemu ya tukio na kupata ukweli halisi wa jambo lenyewe.

Ni kweli kuna watu huwa wanadaka habari na kuwahi jamvini as if kuna umaarufu watapata kwakuwahi kufikisha uzi kumbe wanajichafua
 
Bora Lipumba kumbuka ya Mwangosi

Acha kuchochea chuki kwa Jeshi letu la Polisi. Inaonekana haupendi amani. Unakumbuka mabaya tu. Mbona mazuri ni mengi tu.

Hapa leo Mpendwa wetu ameuawa kikatili sana, na labda huyo muuaji labda sio mwanasiasa bali ni hasira za ulevi au ushetani. Nawe unaanza usiasa unaofanana na muuaji?
 
kuua asikari police sio ndo utaitoa ccm madarakani au ndo utaingiza chadema au cuf madarakani huo niujinga kuna watu humu wanashabikia kuuwawa kwa police lakini ipo siku watakuja kulia na kusaga meno.mungu mlaze mahara pema asikari wetu ameen!
 
Back
Top Bottom