Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

Yaani unaomba MUNGU amfiche mfuasi wa shetani, ili aendelee kuua? Hivi unajua Kijana wetu ni mwanaharakati wa kupinga mauaji ya Albino?.

Sasa mwenzetu ameuawa nawe unataka asikamatwe. kwanza ilitakiwa na wewe ukamatwe ili usiue au kuhifadhi uhalifu. Na hapo ndio utafunzwa neno upendo wa kweli ya MUNGU wetu aliye Mkuu.

Mungu msamehe uyu mtupa chakula ajui walio lala na njaa
 
Sijawai na sitokuwa mwanasiasa unaona sins busara sababu wewe aujaziba baba au mama kutokana tz police. Good to you not me

Nafuu kuandika kitu ambacho hakieleweki, kuliko kuhamasisha chuki. Sijui umetokea Kongo? au vitu vimeshapanda?
 
Umeshaandaa wosia? Maana yawezekana kesho usiione wewe. Una akili za maiti zisizoweza hata kuona umesimama wewe. Marehemu!.


Wacha upumbavu wewe soma alichosema kamanda wa polisi dom sio unarukia tu ka kunguru anavyorukia ch**pi kwenye kamba dar, ccm inahusikaje hapo..!?
 
Huyu afande alikua kitengo cha polisi jamii.

Alikua anapambana na mauaji ya albino.

Alipigiwa simu akitokea radio kuelimisha jamii juu ya mauaji ya alibino.

Mtendaji aliyepiga cm bado hajakamatwa kwa uchunguzi zaidi.

Mwaka huu ni wa uchaguzi na viongozi ndo wateja wa waganga.

The mission was planned.

RIP.

NAANGALIA MPIRA.
 
Still you have time to be convinced under this criminal police in tz.
what was the crime of the said corp? Dying defending life?
Do you call someone who defends life as a criminal?
 
Tanzania Tanzania Nakupenda kwa moyo wote! Maskini nchi yangu! :shock: tulipofika .....
"kila nafsi itaonja mauti, mungu amuhifadhi marehemu!
 
Kiukweli inasikitisha kuona watu wakishabikia mauaji haya ya askari wetu!
Lakini embu tujiulize ameuliwa akiwa kwenye kuzuia maandamano au kuokoa uhai wa mtu mwingine R.I.P kamanda
 
Tupeni detail zaidi

kuna utata na taarifa hii! marehemu alitokea kituoni? alikuwa na hati ya kukamata? alikua na silaha? wale polisi wanaozunguka na pikipiki na silaha kazi yao ni kukusanya hela toka kwa bodaboda tu?
 
Duh!!! anaonekana bwana mdogo bado...
 
MH.TUNDU LISU POPOTE ULIPO.

KAMA ULILIA JUZI NA WAKATI MH MWENYEKITI CUF HAKUGUSWA ZAIDI YA WAPAMBE WAKE KUPEWA DICPLINE KIDOGO.

KWA HESHIMA YA MPIGANAJI AKIYEKUWA TAYARI KUFA ILI KUMUOKOA MPIGA KURA WAKO WA MIAKA 18 IJAYO.NAOMBA KESHO UONYESHE MACHUNGU KAMA YALE ILI TAFADHALI.NISIKUONE MNAFIKI KULIKO WATU WOTE BUNGENI-

WATANZANIA-NAJUA TUMETENDEWA MENGI NA POLISI ,LAKINI KWA HILI NAOMBA TUUNGANE KUMUOMBEA SHUJAA HUYU.

WAPO WENGI WANAOPOTEZA MAISHA WAKIWA KAZINI, LAKINI SABABU SISI NI WAKURUPUKAJI TUNAFURAHIA.BIKA KUJUA KUWA INAWEZEKANA WANAOFARIKI KAMA HUYU NI WALE POLISI 5% WANAOPEDWA NA WANANCHI.

HEMBU WOOOTE NA TUSOME WASIFU NA HARAKATI ZA KAMANDA HUYU MPAKA ANAFIKWA NA UMAUTI AlIKUWA MTU WA NAMNA GANI, MTAKUBALIANA NA MIMI.

R.I.P COMMONDER.

Sote tu mavumbi, kwayo tutayarudia.
 
Masikini huyo kijana hanaga makuu na mtu ni kijana mwenzetu hakika umekufa ukitetea uhai wa mtanzania mwenzako tunakuweka kwenye kumbukumbu za mashujaa.

Acha watuchukie hila tuliapa kuwalinda hata kwa kwakumwaga damu zetu ee mungu tupe ujasiri na upendo katika kulilinda taifa letu.

Hicho kiswahili ulifundishwa wapi? Sema alikuwa hana makuu na mtu maana tayari hayuko duniani!! Ingekuwa amedundwa na RAIA ningesema "WAPIGWE TU" lakini sasa hivi kwa vile kauawa na mharifu mmoja nachelea kusema poleni sana wafiwa, jitihada zifanyike ili huyu muuaji akamatwe!! Na askari Wa siku hizi stamina ni zero kabisa!!
 
Alikuwa ameenda kamata mtuhumiwa. Wakamshambulia na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

Mytake: Askari wasipojirekebisha watauawa sana.

UPDATES:






==============================================
TAARIFA YA POLISI




Marehemu wakati wa uhai wake:
attachment.php

attachment.php


Na Wewe KU.NDU.LO kama huna taatifa kamili si ukae kimya ili wenye taarifa watuletee!! Haraka ya kupost ni ya nini?
 
inasikitisha sana jamani, polisi polisi be careful please halafu jifunzeni kutenda haki
 
Back
Top Bottom