Doctors

Dokta pamoja na madaktari kujenga maadli kutokana na taaluma ila kuna wengine ni bangi tupu na uharo.
Ni kweli mkuu..na mm kitu kikubwa nachopigana ni hii kufanya kazii kwa bidii na kuzingatia maadili(hasa kwenye kuheshimu kila mtu hasa wagonjwa)..tuendelee kupigania hilo chief
 
Ha ha ha ha ha ..siwezi fika kwenye mambo ya tiba mkuu.. Evelyn Salt atakuwa rafiki tu..si unajua tena sasa hivi najua atakuwa na majukumu..!!?
 
Dr una majibu ya busara mweh
ngoja nitoke kwenye hii thread nisijeingia majaribuni
cc Asprin
Usikimbie mamy..Aspirin ana-kutease tu..ushuhuda wako muhimu sana kwa ajili ya kuwapa moyo madaktari waendelee kufanya mambo kwa bidii sana na kwa upande huo wajitaidi kulinda status ambayo wengi wanajua ipo lkn hawajawahi kuskia live watu wakitamka namna hii..
 
Dogo tunakutania sisi wenyewe mnyonyo tunaujua..
 
Hakyamama acha nicheki na mods wamadilishe İD yangu iwe Dr. Asprin. haya mazali yanayowaangukia kina Dr. Mo si ya kuchekea.

Mpaka tunaenda mitamboni huyu daktari kashalengeshewa michepuko mitatu. Najuta kuendekeza hisabati badala ya baiolojia.
Hilo jina lako mkuu lenyewe linatosha bila kwenda kwa mods..mm hapa mwenyewe nimepigwa na mshangao na huu uzi..sikujua kama watu wanazimikia madr..nlijua ni mistari tu..ila wajue madr wengi hasa vijana tu maskini sana mkuu..sisi tunamsemo ndo professional peke yake iliyojaa watu waliovaa vzr lkn maskini..!
 
Ila mkuu mabazazi wapo mm kuna mshkaji nimesoma nae ..room yake tulikua tunaita room ya dawa ya usingizi..yaani mkienda mahali dakika tano nyingi kashaibuka na mtu..akija nesi mpya mahali ndani ya siku moja nesi wa watu kashaliwa..
Udr ni kazi yenye mvuto kama ambavo usoldier ni kazi yenye heshma
sasa kama mgonjwa kavutiwa na kajileta mwenyewe kwanini asiliwe?
kula tu dr.....
 
Now you are talking. basi labda mi nna bahati mbaya. Asilimia kubwa ya madaktari marafiki zangu wanakatabia kama hako. Ukichanganya na ulabu wanaopiga, basi huwa tunaenda sawa sana.
 
Walimu ndo masikini.....
 
Udr ni kazi yenye mvuto kama ambavo usoldier ni kazi yenye heshma
sasa kama mgonjwa kavutiwa na kajileta mwenyewe kwanini asiliwe?
kula tu dr.....

Hayo sasa ndo maneno. sio kuwajaza utakatifu. Na hii ni kwa wanaume wote. Kama binti kajilengesha kula aitii kiu yake. Umepewa bure toa bure bila kujali taaluma. Sema wenzetu wana added advantage, wana vitanta kwenye ofisi zao, na wanafanya kazi kwa shifti. Msimu huu wa kibaridi..... Niseme nisiseme???
 
Now you are talking. basi labda mi nna bahati mbaya. Asilimia kubwa ya madaktari marafiki zangu wanakatabia kama hako. Ukichanganya na ulabu wanaopiga, basi huwa tunaenda sawa sana.
πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:
 
Ndo maana sahivi muda wa call nami nalala muhimbili, usiniulize swali lolote mi sio dr wala nesi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…