Do you wanna Bet?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
Ukisema itatokea wiki hii, mimi nasema haitatokea; ukisema haitatokea wiki hii mimi nasema itatokea; ninachozungumzia ni kile ambacho wengi tunasubiri kitokee au tunadhani kitatokea au kinapaswa kutokea. In either case, one of us will be wrong... so do you wanna bet.. ?
 
Mwanakijiji,

Bet ya namna hiyo haina maslahi. Probability ya kutokea ni 50%
kwahiyo risk ya kukosa ni ndogo ni 50%. Nikiweka pound yangu moja sana sana nitapata pounds 2, hazitatosha hata beer.
 
but you will still be a winner.. u wanna bet?
 
Ukisema itatokea wiki hii, mimi nasema haitatokea; ukisema haitatokea wiki hii mimi nasema itatokea; ninachozungumzia ni kile ambacho wengi tunasubiri kitokee au tunadhani kitatokea au kinapaswa kutokea. In either case, one of us will be wrong... so do you wanna bet.. ?

Huwezi kufanya hiyo bet na msanii kama JK. Wengi tulitegemea reshuffle lakini ndiyo unajua kulipana fadhila ndiyo tatizo na matumbo ya wakubwa bado hayajashiba. Ipo siku inakuja na hakuna anayejua nini kitatokea.
 
Ukisema itatokea wiki hii, mimi nasema haitatokea; ukisema haitatokea wiki hii mimi nasema itatokea; ninachozungumzia ni kile ambacho wengi tunasubiri kitokee au tunadhani kitatokea au kinapaswa kutokea. In either case, one of us will be wrong... so do you wanna bet.. ?

Nyie wanafalsafa na wachambuzi wa fikra mmekosa cha kujadili sasa mmeanza biashara ya kubashiri. Naona wiki hii JF imelala, hakuna masuala mazito sana! Ndio maana mnakimbizana na upepo hapa.

Haya, mi nabashiri kikwete atavunja baraza la mawaziri leo au hivi karibuni.

I bet

Asha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom