Do you wanna Bet?

We Asha umenikumbusha maandishi niliyoyaona kwa mara ya kwanza kwenye ubaomweusi daraas la kwanza "baba","babu", "bibi", "bobo"...
 
Shule ya msingi umesomea wapi...Mtakuja?
Na shuleni ulikuwa unaendaje na ukilema wako huo...? Na hilo chongo ulilonalo...vision yako itakuwa 10/10...
 
Kuna shule moja iko karibu na Mbuyu.. inaitwa Mbuyuni... mwanzoni nilikuwa natembea na lile gongo moja kama ngongoti, lakini wakaja wazungu fulani wakaniletea baiskeli ya kusukuma na mikono... tatizo lilikuwa kupanda ngazi za darasa; hadi nilipotengeneza ubao wangu wa kupandia; nikajiona mwenyewe genious.. unajua ukikosa kiungo kimoja kile kilichopo kinacompensate.. so hili jicho langu lina vision ya ajabu kweli utadhani mwewe!!
 
hivi hii ni mada au? be serious guys! kuna sehemu maalum za kubet ,hapa leteni yale yanayojadilika wenye upeo wajadili.au tumekuwa bored na mijadala kujirejea? i mean chadema ,ccm kila sekunde?
 
Back
Top Bottom