If you do me I do you!

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
3,512
6,482
Duniani pote ipo hivyo kile utachomfanyia mwenzako ndicho atachokufanyia pia.

Lakini bahati mbaya Sana huwa tunapenda kuwafanyia watu ubaya huku tukitarajia wao watufanyie vizuri kitu ambacho hata asili inakataa kabisa.

Formular ni moja tu, ukinifanyia jema nitakufanyia pia,ukinipenda nitakupenda pia,ukini dharau nitakudharau pia na listi inaendelea.

Uungwana ni kuwafanyia watu kile ambacho tungependa kufanyiwa Sisi pia, Kwa kufanya hivyo tutajihakikishia furaha na Amani siku zote.

Utakuta mtu anataka mke awe romantic kwake wakati yeye hajawa romantic Kwa mke wake! Je unarajia kupata nini sasa?

Na wanawake hivyo hivyo unataka Mme wake awe romantic kwako wakati wewe hujawa romantic Kwa Mume wako,je unarajia nini?

Always remember if u do me I do you

Unataka kuishi vizuri na majirani zako basi show love kwao na watashow love kwako pia, unataka kazini kwako kuwe sehemu nzuri ya kuishi wajali co workers wako nao watakujali pia.

Unaona mambo ni rahisi Sana lakini sijui kwanini tunapenda kuyafanya yawe magumu?

Ebu tuanze Leo kuifanya dunia iwe sehemu nzuri ya kuishi na kumbuka mabadiliko siku zote yanaanza na wewe.

Nakumbuka kipindi Fulani nilikuwa kampuni moja hivi, nilikuwa Afisa rasilimali watu,sasa nafasi hii ni mtihani Sana,kuna kipindi ukijali maslahi ya wafanyakazi basi maboss wanakuona we mbaya na ukisimamia Sheria za kampuni wafanyakazi wenzako nao wanakuona mbaya,basi ni changamoto Tu.

Sasa nilipokuwa natimiza wajibu wangu kulinda Sheria za kampuni zifuatwe wafanyakazi wenzangu wakaniona mbaya lakini wanasahau pale ninapo simama nao pamoja na kuwatetea.

Basi likaundwa genge la kwenda Kwa Sangoma/ mganga ili niondolewe kazini au kunidhuru,Ila kwakuwa nilikuwa mtu mwema kwao basi baadhi Yao wakaniuzia lile faili.

Na huyo aliyeniuzia ndio walimtegemea aniendee sehemu kuniseti coz ni mshirikina Sana,na walishaanza kuchanga pesa Kwa shughuli hiyo.

Akaniambia mkuu kuna moja mbili tatu lakini Kwa jinsi uavyoishi na Sisi vizuri hapa hakika siwezi kufanya upuuzi huo hata kidogo,nitawayeyusha Tu Kiana.

Anyways hata kama wasinge niuzia faili bado nilikuwa namtegemea Allah kwakuwa hakuna kinachoweza kufanyika pasina idhini yake.

Siku zote kumbuka if you do me I do you!

Ni hayo tu!
 
Uko sahihi , ni kanuni nyepesi ila uzingatiaji wake ni changamoto kuna wale tunataka wengine waanze kututendea mema na sisi tuwatendee mema ,kamchezo flani hivi kakutegeana
 
Kweli mkuu na mwisho wa siku tunajikuta wote tunakosa kile tunachokitarajia
 
Duniani pote ipo hivyo kile utachomfanyia mwenzako ndicho atachokufanyia pia.

Lakini bahati mbaya Sana huwa tunapenda kuwafanyia watu ubaya huku tukitarajia wao watufanyie vizuri kitu ambacho hata asili inakataa kabisa.

Formular ni moja Tu,ukinifanyia jema nitakufanyia pia,ukinipenda nitakupenda pia,ukini dharau nitakudharau pia na listi inaendelea.

Uungwana ni kuwafanyia watu kile ambacho tungependa kufanyiwa Sisi pia, Kwa kufanya hivyo tutajihakikishia furaha na Amani siku zote.

Utakuta mtu anataka mke awe romantic kwake wakati yeye hajawa romantic Kwa mke wake! Je unarajia kupata nini sasa?

Na wanawake hivyo hivyo unataka Mme wake awe romantic kwako wakati wewe hujawa romantic Kwa Mume wako,je unarajia nini?

Always remember if u do me I do you

Unataka kuishi vizuri na majirani zako basi show love kwao na watashow love kwako pia, unataka kazini kwako kuwe sehemu nzuri ya kuishi wajali co workers wako nao watakujali pia.

Unaona mambo ni rahisi Sana lakini sijui kwanini tunapenda kuyafanya yawe magumu?

Ebu tuanze Leo kuifanya dunia iwe sehemu nzuri ya kuishi na kumbuka mabadiliko siku zote yanaanza na wewe.

Nakumbuka kipindi Fulani nilikuwa kampuni moja hivi, nilikuwa Afisa rasilimali watu,sasa nafasi hii ni mtihani Sana,kuna kipindi ukijali maslahi ya wafanyakazi basi maboss wanakuona we mbaya na ukisimamia Sheria za kampuni wafanyakazi wenzako nao wanakuona mbaya,basi ni changamoto Tu.

Sasa nilipokuwa natimiza wajibu wangu kulinda Sheria za kampuni zifuatwe wafanyakazi wenzangu wakaniona mbaya lakini wanasahau pale ninapo simama nao pamoja na kuwatetea.

Basi likaundwa genge la kwenda Kwa Sangoma / mganga ili niondolewe kazini au kunidhuru,Ila kwakuwa nilikuwa mtu mwema kwao basi baadhi Yao wakaniuzia lile faili.

Na huyo aliyeniuzia ndio walimtegemea aniendee sehemu kuniseti coz ni mshirikina Sana,na walishaanza kuchanga pesa Kwa shughuli hiyo.

Akaniambia mkuu kuna moja mbili tatu lakini Kwa jinsi uavyoishi na Sisi vizuri hapa hakika siwezi kufanya upuuzi huo hata kidogo,nitawayeyusha Tu Kiana.

Anyways hata kama wasinge niuzia faili bado nilikuwa namtegemea Allah kwakuwa hakuna kinachoweza kufanyika pasina idhini yake.

Siku zote kumbuka if you do me I do you!

Ni hayo Tu!
Mkuu hata Kama if you do me I do you ,acha upumbavu wa kutetea watu masikin na wajinga ,hawana shukrani wala akili ....

Mfano mzuri mi magufuli
 
Back
Top Bottom