<brWiki ya pili hii najifunza kucheza kiduku.
dah...Am so happy for this thread..thanks Sweet
Kama kuna mtu anapend animfundishe twist za kina Kabaka, aorodheshe jina kwa AshaDii...:drum:
shemeji sasa unaongea kichaga! animfundishe ndo nini? manake za kabaka nazipenda, na za kibaki pia. kuna ile moja kericho wanaipenda sana, ' i lov yu, yu lov me. i luku yu yu luku me! i lov me yu lov me! 'let us go!!''
We hovyo kabisa! Wenzako kina AD, AJ & Co. wanajifunza kucheza KAT*LERO we unaongelea kikudu hapa. Ovyooooo! Wenzako wanaongelea mmoja kutikisa KICHWA na mate wake kuzungusha HIPS! We vp banaa? Kikudu ile kama unapita kwenye matope? Ovyo tu ile.
<br />Wifi king acha UKOROFI!!! lol (alafu huo wimbo umechagua naona tubadilishe... you have to call HIM kaka... atakuaje Shem hali wewe wifi yangu...lol)
<br />....lol..... Naona hon' uko tayari kuonesha them moves (stil considering thou kama i want that).... The recruited will see how you Rock!!
<br />King alijikausha!! Kaona BAK in the house kaja mwenyewe....lol.... Thanks a bunch BAK.....
adi, niliwahi kuuliza hili swali siku ile nimezalika,na yeye sweetie wako akanijibu nimuite shemeji. tena niliuliza kwa kidhungu,hahaha! i had this song,sijui ulipotelea kwenye kimeo gani..u shld see them kenyan boys moving their chest muscles,ofcoz ladies too! ntakuimbia siku ukinikaribisha sunna ya futari,lol
<br
We hovyo kabisa! Wenzako kina AD, AJ & Co. wanajifunza kucheza KAT*LERO we unaongelea kikudu hapa. Ovyooooo! Wenzako wanaongelea mmoja kutikisa KICHWA na mate wake kuzungusha HIPS! We vp banaa? Kikudu ile kama unapita kwenye matope? Ovyo tu ile.
<br />Ukweli wa Mungu nikua the Kenyan dudes knows how to move it (ki music tu king...lol) frankly speaking... Unajua we learn from mistakes... Siku ile nilimwachia yeye aamue... sasa baada ya kutafakari nimetengua hivo it is me deciding what he and you should call each other....lol
wifi,whatever u say...nakuaminia
abt kenyan guys,let me nt say much. japo they know hw to make them moves nadhani they cant melt my heart,lol!
Hii post imenishtua kwakweli...ni vyema kama hujui jambo ukaacha lipite maana watu twaheshimiana humu...[/QUOTE.. Bora wewe imekushtua ukabaki mzima, mi fahamu zilinipotea, ndo zarejea just now...daaah nimeamini usilolijua usiku wa giza... Mshikaji kadandia treni kwa mbele mpaka hasira... Afu Sangara na AD jumlisha King'asti na Husninyo wote nimewanunia...
Bora wewe imekushtua ukabaki mzima, mi fahamu zilinipotea, ndo zarejea just now...daaah nimeamini usilolijua usiku wa giza... Mshikaji kadandia treni kwa mbele mpaka hasira... Afu Sangara na AD jumlisha King'asti na Husninyo wote nimewanunia...
Hahahaha! Nimewachekea baada ya kuisoma hiyo ID ya huyo mpendwa hapo... Nimemsamehe kwa moyo wangu wote... Habari ako binafsi AD? Mi miss you sana... Nisalimie wifi King'Dah!!! Hii nayo kali!! Yaaaaani kakuudhi DEADTEJA wee na Husny na sisi bado utununie sisi?? Kulikoni??
Hahahaha! Nimewachekea baada ya kuisoma hiyo ID ya huyo mpendwa hapo... Nimemsamehe kwa moyo wangu wote... Habari ako binafsi AD? Mi miss you sana... Nisalimie wifi King'
...lol... Jiachie mpendwa, maisha yenyewe haya kwa nini unune?.. Waswahili wanasemaga, raha jipe mwenyewe... Nafurah vile wewe bukheri... Mwaaaaaaah, hilo busu ni special kwa j2 ya leo! Akirudi wifi King mgawane, na ole wako umpunje mwenzio...Hapo sawa!!! Naona umerudi katika mstarai....lol... Niliogopa thought we had lost you...
Habari yangu nzuri... ni mda mrefu saaana umepita nikafurahia na kujiachia kama this
weekend... genuinely I feel Great namshukuru Mungu.....
Me miss you zaidi... alafu wifi King' kuna issue anafuatilia hivo kidogo ka-pause....