ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,992
- 40,146
Basi ulivoanza na tukutane nikajua PM....Ooh ok tukutane kwenye jukwaa la sports
Mie Ivory Coast wamenisikitisha

Pole ... ila usijali takua nakushauri team za kuzishabikia ili usisikitike tena....mfano leo shabikia FranceOoh ok tukutane kwenye jukwaa la sports
Mie Ivory Coast wamenisikitisha
Sawa acha tuone nini kita happenPole ... ila usijali takua nakushauri team za kuzishabikia ili usisikitike tena....mfano leo shabikia France
Acha basi ningeshangaa na una ndoa takatifu babu yanguYes, I do. 😊
Sawa....Ulale salama...Sawa acha tuona nini kita happen
Nipo on badoSawa....Ulale salama...
Acha basi ningeshangaa na una ndoa takatifu babu yangu
Sawa....natamani kuja pm.Nipo on bado
Kuna nini huko PM njoo tuSawa....natamani kuja pm.
Aweeee msalimie bibiNiache vipi sasa! Truly, love is a beautiful thing. 😊
Nimefanya wapi vurugu aiseeNgoja nicheki gemu France vs Sweden, acha vurugu msichana.
Umefunga milangoKuna nini huko PM njoo tu
Kumbe ulifika kabisaUmefunga milango
Maongezi mengine ni ya watu wawili....Kumbe ulifika kabisa
Haya niambie hapa kuna ni kijana wa leo
Join 2011 ushaongea na wa ngap maongezi ya watu wawili mpka sasa?Maongezi mengine ni ya watu wawili....
Daaah aisee nilikua hata sikumbuki nimejoin lini.......sio mtu wa maongezi ya watu wawili kiivo....Join 2011 ushaongea na wa ngap maongezi ya watu wawili mpka sasa?
Vip kuhusu team kataa ndoa una cheo gani kwa kile chamaDaaah aisee nilikua hata sikumbuki nimejoin lini.......sio mtu wa maongezi ya watu wawili kiivo....
Hahahha daah hii VAR kiboko.....matukio tu ya mabinti kwa vijana......Vip kuhusu team kataa ndoa una cheo gani kwa kile chama
After VAR review unaonekana upo kwenye team kataa ndoa
Au sio😂Hahahha daah hii VAR kiboko.....matukio tu ya mabinti kwa vijana......