ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,938
- 40,043
- Thread starter
- #241
Nilitegemea comment nyingine sio hiyo😂😂🤣🤣🤣🤣
Mjukuu unacheka nini?
Nilitegemea comment nyingine sio hiyo😂😂🤣🤣🤣🤣
Mjukuu unacheka nini?
Sie FT, mpira umerudi kati, kesho nayo siku!Half time🤣🤣
Nimekusaplaisi🤣🤣🤣Nilitegemea comment nyingine sio hiyo😂😂
Kwakweli nami acha nilale tu.Sie FT, mpira umerudi kati, kesho nayo siku!
😂😂 nilijua utasema you believe in sasampaNimekusaplaisi🤣🤣🤣
I do🤣🤣😂😂 nilijua utasema you believe in sasampa
Hapo hapoooo🤣🤣I do🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Bro na cheat bhna sa mtu ajidai busy wooiii😁😁
Parapanda hailii hapa
Wauzaji ni wengi kuliko wanunuajiWanaume wabahili wanajificha kwenye kichaka cha kusema hawanunui
Nani anauza kwani😃
I used to believe that when i was a young boy but today am grownup i don't believe in it at all...Do you believe in love? ❤️
Wadau, mnaamini kweli katika upendo wa kimahaba, au siku hizi ni hadithi tu?
Je, kuna mtu unampenda? Anajua hilo? Na unahisi anathamini upendo wako au hauoni kabisa?
Au wewe unapenda kimya kimya kwa kuogopa kuumizwa?
Labda umeamua kuachana na mapenzi kabisa na kuwekeza nguvu zako kwenye kazi, biashara, kilimo au kutafuta maisha.
Au unajidanganya tu kwamba huna unayempenda? 😉😁
Kwa upande mwingine, kuna sehemu unahisi unapendwa kweli? Au unaona ukipendwa na mama yako tu, hiyo inatosha?
NB: Wale wa hela kwanza, mapenzi baadaye msikimbilie kusema hivyo
🤣 Hela tunazitafuta s, lakini mapenzi nayo ni sehemu ya maisha.
ShesRise_1 ❤️💋🤚
Song Meddy Slowly
🤣🤣Wauzaji ni wengi kuliko wanunuaji
We kijana umesema nini hapa🤣🤣Love n minyanduano tuu, bila minyanduano hakuna love.
Kama kuna minyanduano, bc naamini hapo kuna love
Shida ni nini?Ufungeni huu mjadala basi,
It's a pain in my ass😥
WeweShida ni nini?
So, you used to believe in love but now you don't believe in it anymore?I used to believe that when i was a young boy but today am grownup i don't believe in it at all...
OkayWewe
Unanisaidiaje?Okay
Msaada gani uniataji?Unanisaidiaje?