Do you agree..

Unajua ndugu siko hapa for the purpose of coupling with ANYBODY!
Tukate ishu tu hayo mengine tuyaache.

Hahahaah i think hatuelewani na hatutaelewana....sijakwambia upo hapa kukata issue na mwanaume au NN...OR you might as well.... i know u r a married woman +kids....or may be sentesi yangu imepinda na hujaielewa what i meant!.........naona unataka complicate things!....

ok have a great night!....
 
Asante mdogo wangu..enjoy ur day too!
 
But celebrities are just human beings like us. What goes on in their lives for the most part is what goes on in regular folk's life. The only difference is that their personal lives become everybody's business once they get famous...

And thats the challenge they face that others don't have to. It's hard to have a personal relationship when it's not quit personal. But there are other reasons also which are of their own doing.
 
And thats the challenge they face that others don't have to. It's hard to have a personal relationship when it's not quit personal. But there are other reasons also which are of their own doing.

But marriage dissolutions and breakups don't only happen to celebrities. They happen to people of all walks of life....
 
But marriage dissolutions and breakups don't only happen to celebrities. They happen to people of all walks of life....

True true. I think these days people marry for the wrong reasons. Kuna kitu kinaitwa patience & you can't be patient in a relationship if you don't really love the person.
 
True true. I think these days people marry for the wrong reasons. Kuna kitu kinaitwa patience & you can't be patient in a relationship if you don't really love the person.

...hivi, wrong reasons ni zipi kwa mtazamo wako?
 
when you marry a beauty,your expectations are lets say umeoa size 10,sasa for some reasons within a span of two years mtu anajisahau na kuballon to size 16-that in many a man is recipe for disaster,sooner or later procedings come to an hefty end-ndio maana GYM ni muhimu
 
...hivi, wrong reasons ni zipi kwa mtazamo wako?

Kuoa/kuolewa kwa ajili ya pesa, kumuo/kuolewa ila kuridhisha watu e.g wazazi, Kuoa/kuolewa ili kuenhance your career, kumuoa/kuolewa na mtu kwa ajili ya uzuri et al. Una hitaji examples zaidi mkuu?
 
True true. I think these days people marry for the wrong reasons. Kuna kitu kinaitwa patience & you can't be patient in a relationship if you don't really love the person.

...hivi, wrong reasons ni zipi kwa mtazamo wako?

Kuoa/kuolewa kwa ajili ya pesa, kumuo/kuolewa ila kuridhisha watu e.g wazazi, Kuoa/kuolewa ili kuenhance your career, kumuoa/kuolewa na mtu kwa ajili ya uzuri et al. Una hitaji examples zaidi mkuu?

Kwa hiyo zamani hakukuwepo na watu waliokuwa wanaoa au kuolewa kwa sababu hizo?
 
That the first two years of marriage are the toughest? This question comes to me in light of the report that Usher Raymond filed for petition to dissolve his marriage to his wife of nearly two years....

Actually the 1st five years are very difficult in many marriages
 
To some YES-

Probably its because ndio muda pekee wa kumjua mwenzio jinsi alivyo- the true colours of his/hers. Mara nyingi hii hutokea kwa wale ambao hawakubahatika kukaa na kufahamiana vizuri wakati wa uchumba. So miaka miwili ya kwanza inakuwa kama vile ndio unamfahamu mwenzi wako kwa yote mema na mabaya. Kwa bahati nzuri wenzetu wanaume wengi hureveal makucha yao kwa haraka sana baada ya kukuoa so kama ni mtu wa kilevi sana basi utamjua within a second akishakuoa (hii ni kama alikuwa anajitahidi kuficha kipindi cha uchumba). Kama ni mpenda watoto utagundua pia- Hawajajaliwa kuplay it nicely especially akishaoa. So ni rahisi kukijua na hapo ndipo tunapohisi kuwa wnzetu wamebadilika haraka kumbe ni tabia zake za siku zote.

Kwa upande wa wanawake wengi huwa tunaitumia miaka hii ya mwanzo ya ndoa kuonyesha kuwa tu wake wema na kuwa wenzi wetu hawajafanya makosa kutuoa. Hapa tutaendelea kuficha makucha angalau muda upite so tutakuwa tunawahi majumbani kwetu after kazi, kumpikia, kufua na kufanya kila kile kinachowezekana kutuonyesha kuwa tu wake wema na wenzi wetu wamepata. Mara nyingi huwa tuna ndoto za kumfanay mwenzi wetu aonewe wivu na wengine kuwa amepata mke. So kwa kuwa tunaficha na kuvumilia tunaishia kuumizwa sana na wenzi wetu ambao tunawaona wamebadilika upesi (Tunaumia sana).

To some NO-
Kwa wale wanaume ambao wao wako wema na serious juu ya ndoa zao na wale ambao uchumba wao ulichukua muda mrefu kiasi cha kuweza kujuana vema. Mara nyingi huwa na ndoa ambazo ni za furaha na amani katika kipindi hiki. Hii ni kwa sababu hawa hawana makucha ya kuficha na kwa kuwa kipindi hiki hugongana na hali ya mwanamke kutaka kuprove kuwa yeye ni mke mwema basi maisha huwa paradiso ndogo.

N.B: Hali ya mwanamke kutaka kuprove kwa mwenzie kuwa yeye ni mke mwema na kuwa mwenzie hakufanya makosa kumuoa inaweza kumtokea hata mwanaume. Yaani mwanaume akataka kumwonyesha mkewe kuwa yeye ni mume bora duniani na kuwa hatakaa ajutie kumkubali maishani.

Ni mtazamo wangu!
 
To some YES-

Probably its because ndio muda pekee wa kumjua mwenzio jinsi alivyo- the true colours of his/hers. Mara nyingi hii hutokea kwa wale ambao hawakubahatika kukaa na kufahamiana vizuri wakati wa uchumba. So miaka miwili ya kwanza inakuwa kama vile ndio unamfahamu mwenzi wako kwa yote mema na mabaya. Kwa bahati nzuri wenzetu wanaume wengi hureveal makucha yao kwa haraka sana baada ya kukuoa so kama ni mtu wa kilevi sana basi utamjua within a second akishakuoa (hii ni kama alikuwa anajitahidi kuficha kipindi cha uchumba). Kama ni mpenda watoto utagundua pia- Hawajajaliwa kuplay it nicely especially akishaoa. So ni rahisi kukijua na hapo ndipo tunapohisi kuwa wnzetu wamebadilika haraka kumbe ni tabia zake za siku zote.

nadhani haya mambo hayatabiriki, unaweza kukaa na mwanaume/mwanamke kipindi kirefu cha uchumba mkajuana/fahamiana lakini isisaidie kitu, na unaweza ukaingia bado hujafahamu matabia yake vizuri na mambo yakasonga, kipindi cha miaka 2 kwa cku hizi ndoa nyingi zinakumbwa na misukosuko kibao, hapo ndio panapohitajika uvumilivu/uckivu na maelewano, sasa warembo/wakaka wa cku hizi wanaingia coz ya u beauty,mali etc mkiingia ndani kasheshe kidogo likizuka hakuna alie tayari kuvumilia/kukaa chini na kuongelea tofauti zenu coz binti atajiona mie mzuri haniambiii lolote na mr atajiona mie napesa naweza kuchukua yoyote, miaka miwili ni midogo sana kwa mitafaruku ya ndoa mpaka watu wafikie kutengana, uvumilivu/mapenzi ya dhati nayahitajika.
 
That the first two years of marriage are the toughest? This question comes to me in light of the report that Usher Raymond filed for petition to dissolve his marriage to his wife of nearly two years....

Haya mambo hayana formula yoyote ile. kwa wengine miaka miwili ni migumu na kwa wengine ni shwari kabisa. Haya mambo yako 50/50
 
NN,

From a personal experience, problems started on year 7 of marriage with three kids manufactured.... So, its good to treat each marriage separately. the first seven years were splendind

Ila naskia kuna uchawi siku hizi, ukimpenda mwenzi tu hapa bongo lazma wanga wapige kambi usiku mpaka mkome... sijui ni kweli?
 
To some YES-

Probably its because ndio muda pekee wa kumjua mwenzio jinsi alivyo- the true colours of his/hers...

hao 'wachache' wanaofanya hivyo wanakosea! walikuwa na muda wa kutosha kipindi cha uchumba kujuana hizo true colors. Ndoa ni hitimisho/kilele cha mapenzi, sio uwanja wa majaribio.
 
hao 'wachache' wanaofanya hivyo wanakosea! walikuwa na muda wa kutosha kipindi cha uchumba kujuana hizo true colors. Ndoa ni hitimisho/kilele cha mapenzi, sio uwanja wa majaribio.

Ni kweli usemayo Mbu ila amini usiamini bado wapo ambao uwa na uchumba mfupi sana tena ule ambao wanakuwa wapofu kiasi kwamba akiaambiwa muda huu tumia kumchunguza mwenzi wako yeye anautumia kuyaona na kutafuta mazuri yake tu. Tena basi akisharidhika hakuna jiwe la dahani litakalomzuia asifunge ndoa kwani huona kama mnamwuonea gere amepata mwenzi bora.

pili kuna sababu nyingi ambazo hupelekea wengi kuwa na uchumba mfupi mojawapo ni kupata mimba kwa mke wakati uhusiano bado ni mchanga. Wengi wa couples za sasa hivi hali hii ikitokea huwa wanajitahidi sana kufunga ndoa ili tu mtoto azaliwe ndani ya wedlock na ikiwezekana kabla tumbo halijachomoza.

Sasa inapotokea hivi wakati uhusiano bado mpya hupelekea hawa wanaojidhania wanafahamiana vya kutosha kuoana.
 
Kuoa/kuolewa kwa ajili ya pesa, kumuo/kuolewa ila kuridhisha watu e.g wazazi, Kuoa/kuolewa ili kuenhance your career, kumuoa/kuolewa na mtu kwa ajili ya uzuri et al. Una hitaji examples zaidi mkuu?

hapana bro, ila nahitaji unitajie Right reasons zinazowafanya watu kuoana.

Siku hizi kumeibuka sana huo msemo "I married a wrong partner", "I married for wrong reasons", nk!... zi wapi "personal" responsibilities?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom