Do you agree..

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,588
That the first two years of marriage are the toughest? This question comes to me in light of the report that Usher Raymond filed for petition to dissolve his marriage to his wife of nearly two years....
 
Each marriage is unique, with its unique challenges.
Ziko couples nyingi tu bado zinafurahia honeymoon katika kipindi hicho cha miaka 2.
Kuna wengine hata mwaka hawakai.
 
That the first two years of marriage are the toughest?...

hapana, sikubaliani na hilo.

ugumu unawekwa na wanandoa wenyewe. Kuna wale ambao katika miaka miwili wanakuwa wamejipangia malengo ambayo kama hayajatimizwa utawaona wanaanza kutapa tapa.
malengo yapo mengi, lakini wengi hushindwa kwa haya;

1. presha za wazazi/ndugu/jamii kumtaka mwanamke abebeshwe mimba/awe keshazaa ndani ya muda huo

2. kushindwa kubadilika. Kujirudia kwa tabia za kukera ambazo wanandoa walikuwa nazo kabla ya uchumba, ambapo wengi walidhani baada ya ndoa kungekuwa na mabadiliko.

3. Dhana potofu, ya kwamba baada ya ndoa Mke amechukua role ya mama mzazi badala ya urafiki na mapenzi alokuwa nayo kabla hawajaoana, vile vile Mume kuchukua role ya unyapara na kumnyima mke uhuru wake kiasi cha kumfanyisha mke kuanza rebellion.

4. Reality ya kuamka kitanda kimoja na mtu huyo huyo siku 365 mwaka wa kwanza, 365 nyingine mwaka wa pili...kwa wengine hii ni boredom ya kutosha! nk...
 
4. Reality ya kuamka kitanda kimoja na mtu huyo huyo siku 365 mwaka wa kwanza, 365 nyingine mwaka wa pili...kwa wengine hii ni boredom ya kutosha! nk...

That's what scares the beejesus out of me.....
 
Na wewe hebu tulia....ebo!! Tuendelee kukata ishu....what do you think about my question?

what?...did you just say ebo?" to me?!......

okmiye nimetoa hoja kama ilivyo kwenye mada maana nimeona you guys mna-click .......mlikuwa enemies ila now good friends nikasema you guy can make a good couple WOS anakuja kusema ooh i hope tunaheshimiana kama vile nimemtusi.....what the hell!.....

of course namuheshimu ningekuwa simu heshimu ninegsema something really stipud!....i think yeye sasa ndiyo anani vunjia heshima mimi....
 
That the first two years of marriage are the toughest? This question comes to me in light of the report that Usher Raymond filed for petition to dissolve his marriage to his wife of nearly two years....

I think we shouldn't compare celebrity marriages to other marriages. The challenges facing a celebrity coupl/marriage is quit different from others.
 
I think we shouldn't compare celebrity marriages to other marriages. The challenges facing a celebrity coupl/marriage is quit different from others.

But celebrities are just human beings like us. What goes on in their lives for the most part is what goes on in regular folk's life. The only difference is that their personal lives become everybody's business once they get famous...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom