Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
Ni kweli usemayo Mbu ila amini usiamini bado wapo ambao uwa na uchumba mfupi sana tena ule ambao wanakuwa wapofu kiasi kwamba akiaambiwa muda huu tumia kumchunguza mwenzi wako yeye anautumia kuyaona na kutafuta mazuri yake tu. Tena basi akisharidhika hakuna jiwe la dahani litakalomzuia asifunge ndoa kwani huona kama mnamwuonea gere amepata mwenzi bora...
nakubaliana nawe, ila hawawi wapofu ila "wanachagua kutoangalia"
...hii kujitetea kwamba mapenzi ni upofu ni msemo ambao watu huutumia kujivutia upande wao...
hivi: Busara = Akili timamu + experience? au?