Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa

Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi

Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali

Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko nyuma yameanza tena, kupitishwa kwa watu toka nje wasio na vibali hawa Immigration wanahusika 💯

Wakati muafaka sasa kuamini kama.wanapita bila vibali mipaka yetu haiko salama tena

Tunaomba mfuatilie na mtoe mfano kama nilivyoona waethipia wamekamatwa mbeya

Hawa hawajaja na ndege mpakaa wanakamatwa wamekutana na hawa jamaa Immigration/polisi pale boda na wakapita bila vibali

Wakati muafakaa sasa kudili na wahusika wanaowapitisha hawa Waethiopia nk na je wana nia gan nanchi yetu?

KAENI NA BOSS MKUU WA IMMIGRATION FUATILIENI CHENI NZIMA WALIOHUSIKA NA MPAKA BODA WALIZOPITA UKWRLI MTAWEKA HEESHIMA IKIWEZEKANA PELEKENI MAHAKAMANI FUNGENI KABISA HAWA NI WAHUNI WANAOPITISHA WATU BODA BILA VIBALI

Mwisho nawatakia kazi njema na Mungu awatangulie
 
Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko nyuma yameanza tena, kupitishwa kwa watu toka nje wasio na vibali hawa Immigration wanahusika

Wakati muafaka sasa kuamini kama.wanapita bila vibali mipaka yetu haiko salama tena

Tunaomba mfuatilie na mtoe mfano kama nilivyoona waethipia wamekamatwa mbeya

Hawa hawajaja na ndege mpakaa wanakamatwa wamekutana na hawa jamaa Immigration/polisi pale boda na wakapita bila vibali

Wakati muafakaa sasa kudili na wahusika wanaowapitisha hawa Waethiopia nk na je wana nia gan nanchi yetu?

KAENI NA BOSS MKUU WA IMMIGRATION FUATILIENI CHENI NZIMA WALIOHUSIKA NA MPAKA BODA WALIZOPITA UKWRLI MTAWEKA HEESHIMA IKIWEZEKANA PELEKENI MAHAKAMANI FUNGENI KABISA HAWA NI WAHUNI WANAOPITISHA WATU BODA BILA VIBALI

Mwisho nawatakia kazi njema na Mungu awatangulie

Duuuh sasa hao wahabeshi si wanaenda Sauzi? Inakuuma nini mkuu
 
Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa

Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi

Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali

Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko nyuma yameanza tena, kupitishwa kwa watu toka nje wasio na vibali hawa Immigration wanahusika 💯

Wakati muafaka sasa kuamini kama.wanapita bila vibali mipaka yetu haiko salama tena

Tunaomba mfuatilie na mtoe mfano kama nilivyoona waethipia wamekamatwa mbeya

Hawa hawajaja na ndege mpakaa wanakamatwa wamekutana na hawa jamaa Immigration/polisi pale boda na wakapita bila vibali

Wakati muafakaa sasa kudili na wahusika wanaowapitisha hawa Waethiopia nk na je wana nia gan nanchi yetu?

KAENI NA BOSS MKUU WA IMMIGRATION FUATILIENI CHENI NZIMA WALIOHUSIKA NA MPAKA BODA WALIZOPITA UKWRLI MTAWEKA HEESHIMA IKIWEZEKANA PELEKENI MAHAKAMANI FUNGENI KABISA HAWA NI WAHUNI WANAOPITISHA WATU BODA BILA VIBALI

Mwisho nawatakia kazi njema na Mungu awatangulie
Lini hili tatizo la wahamiaji haramu hasa waethiopia liliisha??tena ktk kipindi cha meko walitunga na sheria kali kabisa za kutaifisha na vyombo vinavyotumika kuwasafirisha, lakini wapi?!!msiwe mnataka kukosoa kwa kulinganisha vitu wakati hata ushahidi wake huna?tena hakuna kipindi ambacho wahamiaji hao walikamatwa nchini kwa wingi kama kipindi cha 2015-2021!!!
 
Mie huwa sielewi, serikali ya Tanzania kukalia kila leo kufukuzana na kukamata hao 'wahabeshi' na kutumia pesa na resources nyingi kama polisi, uhamiaji, kuendesha kesi na watu magereza kulisha watu hao, ambao kimsingi hawana haja ya kukaa Tanzania, bali wako ' on transit kwenda SA ambako huwa wanapokewa katika wakimbizi. Hata huko Kenya wanakopitia nafikiri walichokaa kutumia gharama za kukamata na kulisha magerezani, na nafikirihivyo ni kama waliamua ' unofficially' kuwa wanawapa 'safe passage' waendelee mbele kwa mbele. Sasa Tz mnaingia gharama 'unnecessary' badala ya kuwaruhusu waendelee mbele kwa mbele kukwepa gharama.... kaazi kwelikweli.
Duuuh sasa hao wahabeshi si wanaenda Sauzi? Inakuuma nini mkuu
 
Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa

Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi

Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali

Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko nyuma yameanza tena, kupitishwa kwa watu toka nje wasio na vibali hawa Immigration wanahusika 💯

Wakati muafaka sasa kuamini kama.wanapita bila vibali mipaka yetu haiko salama tena

Tunaomba mfuatilie na mtoe mfano kama nilivyoona waethipia wamekamatwa mbeya

Hawa hawajaja na ndege mpakaa wanakamatwa wamekutana na hawa jamaa Immigration/polisi pale boda na wakapita bila vibali

Wakati muafakaa sasa kudili na wahusika wanaowapitisha hawa Waethiopia nk na je wana nia gan nanchi yetu?

KAENI NA BOSS MKUU WA IMMIGRATION FUATILIENI CHENI NZIMA WALIOHUSIKA NA MPAKA BODA WALIZOPITA UKWRLI MTAWEKA HEESHIMA IKIWEZEKANA PELEKENI MAHAKAMANI FUNGENI KABISA HAWA NI WAHUNI WANAOPITISHA WATU BODA BILA VIBALI

Mwisho nawatakia kazi njema na Mungu awatangulie
UHAMIAJI iko chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, ina waziri wake.
 
Mie huwa sielewi, serikali ya Tanzania kukalia kila leo kufukuzana na kukamata hao 'wahabeshi' na kutumia pesa na resources nyingi kama polisi, uhamiaji, kuendesha kesi na watu magereza kulisha watu hao, ambao kimsingi hawana haja ya kukaa Tanzania, bali wako ' on transit kwenda SA ambako huwa wanapokewa katika wakimbizi. Hata huko Kenya wanakopitia nafikiri walichokaa kutumia gharama za kukamata na kulisha magerezani, na nafikirihivyo ni kama waliamua ' unofficially' kuwa wanawapa 'safe passage' waendelee mbele kwa mbele. Sasa Tz mnaingia gharama 'unnecessary' badala ya kuwaruhusu waendelee mbele kwa mbele kukwepa gharama.... kaazi kwelikweli.
Hata Mimi hushangaa Kama wanapita Bila kulipa watozwe mala mbili unawakamatia mbeya kwengine kote wamepita Kama madhara tayari wamesha fanya
Dawa ni kuwatoza chaji ya transit tuigeuze fursa si ndio farsafa ya uchumi Changa Moto ni fursa ikitumika vizuri
 
Hao watu wanakimbia Shida kwao, ki ubinadamu hakuna sababu ya kuwatoza chochote, wapite waende huko wanapotaka kwenda.
 
Uhamiaji wakiamua hawa waethiopia na wasomali haramu hawatakuwepo
 
Ni ujinga kuamini kwamba wote wanapita halafu badae tutaanza kuulizana wahalifu wakigeni wanatokea wapi tusirahisishe mambo magumu.
Wahalifu wa kigeni ni sawa na wasio wa Kigeni. Hakuna cha ajabu.
 
Back
Top Bottom