DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,650
- 81,555
Namkubali Sana Slaaaa
Ahahahahaha! Nani kwa mfano atarejea!?Kwa dalili hizi wengi watarejea aisee
Matapeli wa kisiasaAliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.
View attachment 3280978
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.
Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.
Kwani sasa hivi uchaguzi unapofanyika nani anaongoza?no reform no election
halafu uchaguzi usipofanyika CCM bado itaendelea kuongoza, chunguzeni vizuri
Msigwa, Halima, Matiko na BulayaAhahahahaha! Nani kwa mfano atarejea!?
Akikujibu nitag tafadhali.Kwani sasa hivi uchaguzi unapofanyika nani anaongoza?
Hakuna ulazima wa kuchoma biblia ukisilimu toka ukristo na kuwa muisilamu.Sheria inasema uanachama wa chama chako unakoma automatically ukihamia chama kingine. Hakuna ulazima wa kuchoma biblia ukisilimu toka ukristo na kuwa muisilamu.
Ila kubwa la mapandikizi(pandikizi kuu) limerudishwa?Wale covid 19 wasirudishwe ni mapandikizi ya ccm ; yatakihujumu chama!
Was Edwin Mtei behaving imprudently as well when he retired his chairmanship? Do you know what RETIRE translates? Definitely if asked for advice or financial contributions he is gonna do that though after the terribly dirty outbursts during the chairmanship campaigns it's better for him and for the new leadership to give each other a space.Duh! Perhaps he's harboring some resentment, or maybe it's due to his financial ties with CCM being severed. However, given his status as a retired chairman, he shouldn't have distanced himself to such an extent. Even during the "Tone Tone" fundraising campaign, he remained entirely absent ,not even making an appearance via Skype, as Maria Sarungi and Dr. Slaa did. He really ought to abandon such imprudent behavior.
Ni jambo jemaAliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.
View attachment 3280978
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.
Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.
Adui mpende uenda akasilimu na kukufaa sana tuKweli chama kimekufa, mtu aliyeandika kitabu kuwa lissu ni muongo na mropokaji leo anapokelewa kama Shujaa. Chama hakina watu hiki kinachukua makap
Kama lowwasa akirejea ccm, Kuna tatizo Gani slaa kurejea kwenye chama chake Cha zamani?Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.
View attachment 3280978
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.
Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.
Msigwa nae anataka kurudi?
Nadhani atawaambia ukweli kwenye vikaovyao kama wanataka support ya wananchi wengi, waache ujinga wakumsingizia jembe Magufuli mambo ya kipuuzi.Kinacho mbeba slaa ni kumuunga mkono mzalendo JPM .Tanzania ni lazima itoke mikononi wa Raia feki na kurudi kwa wazawa
Mzee bado anayo kadi ya chama tawala na hakuwahi irejesha.Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.
View attachment 3280978
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.
Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.
Ukiacha Mch. Msigwa hao wengine sio wako huko huko?Msigwa, Halima, Matiko na Bulaya